GE2025 Kwanini Bunge lifungwe Leo, na kuvunjwa Aug 3, 2025? Kwanini isivunjwe Leo?. Is Yes Reforms, Yes Election Coming?

GE2025 Kwanini Bunge lifungwe Leo, na kuvunjwa Aug 3, 2025? Kwanini isivunjwe Leo?. Is Yes Reforms, Yes Election Coming?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nikurekebishe Japo Sijaangalia Video Uliyotuma..
Rais Alipohutubia Bunge alitangaza Presidential Decree ya Kuvunja Bunge Tarehe 20/08/2015 na Sio tarehe 20/09/2015..

Hiyo Tarehe 09/7/2015 ndo siku UKAWA waliosusia Kuingia Bungeni na Kikwete Akaamua Kutoa Presidential Decree ya Kuvunja Bunge..

Nimekwisha Kusema Kwa Kutoa Hoja Ya Kikatiba na Si Maneno TupuIbara ya 90(2) inasema:

"Baada ya kuvunjwa kwa Bunge, uchaguzi wa Rais na wabunge utafanyika ndani ya muda usiozidi siku tisini kutoka siku ya kuvunjwa kwa Bunge."
Kwa sheria hii basi ndiyo maana bunge litavunjwa agosti, sababu ukilivunja leo, uchaguzi itabidi ufanyike mapema oktoba,ndipo itakua chini ya siku 90
 
Mambo ya UKAWA ni wakati wa bunge la katiba siyo bunge la bajeti
Sahihi kabisa; Mkubwa hajaangalia video; nadhani swali la kujiuliza baada ya Rais Kikwete kutangaza Bunge litakoma Setember 2015, je kipindi hicho Bunge liliwahi kuitishwa tena? Je shughuli zingine za kiuchaguzi hazikuendelea?

Ni muhimu tukijifunza zaidi ila tusikatae kuwa Rais alitamka ukomo wa Bunge utakuwa september 2015.
 
Mambo ya UKAWA ni wakati wa bunge la katiba siyo bunge la bajeti
Una Uhakika Unajua Hata UKAWA iliamza Lini?
Bunge la matiba Najua Lilianza Lini na Bunge la Najeti najua Lilianza Lini Nilichozungumzia Ni Mwezi wa Saba je Ukawa Walikaa Mwezi wa Saba Kususia Bunge?
Unajua Ukawa Walisusuia Kwa Sababu gani Siku hiyo?
Ukawa walitangaza kususia Bunge hili kutokana na uamuzi wa serikali kuwasilisha miswaada mitatu ya mafuta na gesi kwa hati ya dharura!

Ndugu Najua Ninachokisema vizuri sana
 
Ninapendekeza uiangalie kwanza video mkuu with due respect; baada ya kuona mchango wako kuwa Bunge lilikoma tarehe uliyoitaja niliamua kwenda kujiridhisha - records zinaonesha otherwise: no hard feelings
NImekuambia Kuwa Kulikuwa na Presidential Decree ya Kuvunja Bunge iliyotolewa na Rais Kikwete sasa Kwanini Niende Nikaangalie Wakati Nilikuwepo 20/08/2015 ndo Bunge lilipovunjwa Hata Humu JF tulikuwa Tulikesha Sana Kulidiacuss Hilo Poa Tafuga Utapata
 
Daaah, haya bwana. Basi unajua kila
Kitu kiongozi. Ngumu sana kujadili na mtu anyejua kila kitu.

Umetoa challenge, mimi imebidi nikasikilize hotuba ya kufunga bunge 2015 na 2020 na sasa 2025 (kimsingi zote zinaonesha similarities fulani) 2020 Bunge lilivunjwa lakini Rais JPM alisema terehe rasmi itatangazwa kwenye gazeti la serikali ....

Wewe umepewa challenge, ili kujiokoa unadiscredit kila kitu kutoka kwa wenzio; ngoja nikatafute na hotuba ya 2010 kama naweza kuipata.
 
Mkuu Sijakataa ulichosema Ila Nilichokuambia Ni kwamba Tarehe Rasmi ni Gazeted Date na Si Vinginevyo kwa Mwaka Huu Tarehe Iliyokuwa Gazeted ni Tarege 03 mweizi wa 8..

Na Mwaka 2020 Ni Tarehe 20.....Siku anayohutubia Huenda Isiwe siku anayovunja Ila Tamko la tarehe ndyo Humata..

Na Nirekebishe Kitu Mkuu, Sijui Kila Kitu Ila nasimamia Msimamo wa Ninachokijua mpaka Pale nitakapopata Msimamo Mwingine wenye Hakika
 
Leo limekamilisha shughuli zake kwa kipindi cha miaka mitano ila 3 August ndo linamaliza muda wa uhai wake kwa maana 4 August itakuwa ni siku ya uteuzi wa wagombea. Wabunge wataendelea kuwa wabunge mpaka siku tume itakapoteua wagombea wa nafasi za ubunge na kampeni kuanza rasmi.
Kwanini mwaka huu!!? ,,Ndo swali la mleta mada 👆👆👆
 
Mkuu Sijakataa ulichosema Ila Nilichokuambia Ni kwamba Tarehe Rasmi ni Gazeted Date na Si Vinginevyo kwa Mwaka Huu Tarehe Iliyokuwa Gazeted ni Tarege 03 mweizi wa 8..

Na Mwaka 2020 Ni Tarehe 20.....Siku anayohutubia Huenda Isiwe siku anayovunja Ila Tamko la tarehe ndyo Humata..

Na Nirekebishe Kitu Mkuu, Sijui Kila Kitu Ila nasimamia Msimamo wa Ninachokijua mpaka Pale nitakapopata Msimamo Mwingine wenye Hakika
Hiki ndicho ninachosema; Maana yake,

2015 - shughuli za Bunge zilihitimishwa july 9 ila tarehe ya mwisho iliyokowa gazeted ni september 20

2020 - Shughuli zilisitishwa 16 june lakini kuna tarehe rasmi iliyokuwa gazeted (haikutangazwa na Rais JPM) lakini Rais alisema hivyo.

2025 - shughuli zimesitishwa leo 27 June lakini tarehe ya kuwa gazeted ni 3 August.

Sasa Je, shida hapo ni ipi???? 2015 ilikuwa gazeted september 20 lakini uchaguzi ulifanyika kama kawaida - yaani mimi sioni kipya, ndiyo maana nataka kuelimishwa na kujielimishq zaidi. Cha msingi tu hapo nachoona ndugu zangu wabunge watakula mshahara wa mwezi 1 buree bila kuufanyia kazi, ambapo 2015 walikula mshahara wa miezi 2 bureeee
 
Mpigie simu chawa wa BATA - Yeriko Nyerere atakujibu - Jasusi aliye Mweupeee peeee
 
Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Rais mpendwa sana. Kila mtanzani mwenye akili timamu anasema Rais samia is good for leadeship unlike jpm ambaye aliua kila kitu
 
Jiuli
Hiki ndicho ninachosema; Maana yake,

2015 - shughuli za Bunge zilihitimishwa july 9 ila tarehe ya mwisho iliyokowa gazeted ni september 20

2020 - Shughuli zilisitishwa 16 june lakini kuna tarehe rasmi iliyokuwa gazeted (haikutangazwa na Rais JPM) lakini Rais alisema hivyo.

2025 - shughuli zimesitishwa leo 27 June lakini tarehe ya kuwa gazeted ni 3 August.

Sasa Je, shida hapo ni ipi???? 2015 ilikuwa gazeted september 20 lakini uchaguzi ulifanyika kama kawaida - yaani mimi sioni kipya, ndiyo maana nataka kuelimishwa na kujielimishq zaidi. Cha msingi tu hapo nachoona ndugu zangu wabunge watakula mshahara wa mwezi 1 buree bila kuufanyia kazi, ambapo 2015 walikula mshahara wa miezi 2 bureeee
ze why 2010,2015,2020, Zanzibar pia haikuhairisha Baraza la wawakilishi ila this year nao wamehairishaa
 
Issue ni mishahara, kumbuke mshahara wa mbunge kwa mwezi ni zaidi ya million 14.

Ccm hawajawahi kuwa serious na maisha ya Watanzania.

Anayefikiri hapo kuna issue ya reform wala siyo maana yake, haya majitu ni malafi hayana huruma na hatuwezi kuyaondowa kwa hiyari.
Wabunge ni 393 so kila mwezi mshara wa wabunge ni kama 5.5b
 
Nikurekebishe Japo Sijaangalia Video Uliyotuma..
Rais Alipohutubia Bunge alitangaza Presidential Decree ya Kuvunja Bunge Tarehe 20/08/2015 na Sio tarehe 20/09/2015..

Hiyo Tarehe 09/7/2015 ndo siku UKAWA waliosusia Kuingia Bungeni na Kikwete Akaamua Kutoa Presidential Decree ya Kuvunja Bunge..

Nimekwisha Kusema Kwa Kutoa Hoja Ya Kikatiba na Si Maneno TupuIbara ya 90(2) inasema:

"Baada ya kuvunjwa kwa Bunge, uchaguzi wa Rais na wabunge utafanyika ndani ya muda usiozidi siku tisini kutoka siku ya kuvunjwa kwa Bunge."
Katiba ni kijitabu tu.
 
Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
she already worst president ever in our country, yani ataachia madaraka atake asitake.
 
Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.

Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.

Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.

Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Hili kwa kweli halijawahi kutokea hapa nchini na duniani kote kwa ufahamu wangu. Majibu ya speculation ya sababu ya kufanya hivyo ni nyingi zikiwemo zifuatazo:

1. Serikali kwa sasa haina hayo mabillion na pengine matrilioni ya pesa ya kulipa pension za hao wabunge kama bunge lingevunjwa leo.

2. Kuwapunguzia wabunge wa sasa nguvu za kwenda kuhonga wajumbe kwenye mchakato wa kuchaguliwa kuwa wagombea kwenye majimbo yao kwani hizo pensheni zao nono watakuwa hawana.

3. Wanasubiri maamuzi ya Mbowe kuwa mgombea urais kupitia chama cha CHAUMA. Akifanya hivyo chadema itakuwa imeshazikwa rasimu kuwa mpinzani mwenye nguvu na wataachana naye. Chama cha upinzani chenye nguvu kuliko vyama vingine vya upinzani havitakuwa na nguvu kama CHAUMA kama Mbowe atajiunga nacho kama mgombea wa kiti cha urais na mchuano utakuwa mtamu.

4. Wanatoa muda wa kukubaliana na reforms za kisheria wanazozitaka chadema (ambazo hadi sasa hawazijaziweka wazi) ili chadema ishiriki kwenye uchaguzi mkuu huu. Hii ina maana Tundu Lissu aachiwe huru kwa nolle prosecution ya DPP kwa mashitaka yake yote yaliyoko mahakamani yakiwamo ya uhaini. Bunge litaitishiwa kuzibariki kisheria hizo reforms za chadema..

NB: Athari kubwa inaweza ikatokea kama hiyo namba 4 itafanyika ambazo ni pamoja na zifuatazo:

(i). Serikali itakuwa imekubali kwamba mashitaka hao ya Tundu Lissu yalikuwa ni ya kubambikiziwa.

(ii). Watanzania wataamini kwamba ni kweli serikali yao huwa inawabambikizia mashitaka ya uwongongo watu mbali mbali. Hivyo wananchi watapoteza imani kwa serikali yao na wanaweza wasiichague tena.

(iii). Mawakili na wanasheria wa serikali wakiwamo mahakimu na majaji watavunjika moyo na performance yao kupungua.

(iv). Watakuwa wameipa promosheni kubwa chadema na Tundu Lissu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwapa nafafasi kubwa ya kufanya kama walichokifanya kwa Freeman Mbowe na kuhitimisha hegemony ya utawala wa ccm. Singaliwashauri wafanye kitu kama hicho. Waache mkondo wa sheria uendelee hadi mwisho kuanzia mahakama ya hakimu mkazi, mahakama kuu hadi mahakama ya rufaa. Hii itatoa fusa ya kuboresha sheria zetu hasa zile zinazohusiana na makosa makubwa kama ya uhaini siku zijazo.
 
Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Unatumia jina fake ili uwezi kutukan humu ,lugha yenyewe uliyojaribu kutumia imekushinda ndio maana ukaamua kutumia kiswahili.
Ni hasara kwa aliekuzaa kwa kweli .Ninao wasiwasi kama unamjua hata baba yako.
 
Unabii unaenda kutimia!

Damu inaweza kumuishia njiani

Haya maji yanaonekana kutulia huku juu...ila chini yanachemka kwa kasi! Kitu kigumu kugundua maana hayatoi hata mvumo!
 
Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.

Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.

Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?

Loudly thinking!
Good night!
Kufunga Bunge, hiki ndio kikao cha mwisho cha mkutano wa Bunge kama Bunge.

Kuvunja Bunge ni siku Bunge linavunjwa, mawaziri wote wanakuwa sio mawaziri tena.

Kuahirisha Bunge, kunamaana japo Bunge limevunjwa rasmi leo, lakini uhai wa Bunge hili utaendelea hadi Agosti, kuna tetesi za jambo kubwa la IGA na HGA ya LNG inahitaji baraka Bunge, kama hii ni kweli nitashangaa sana! maana...
P
 
Katiba haijavunjwa wakuu ? Hii ya kurefusha bunge bila sababu kuelezwa ni ukiukwaji mkubwa

Habari kwa kina :
Dk. Mwinyi alitoa kauli hiyo leo, Juni 23,2025 wakati akihutubia hotuba ya kulifunga baraza hilo huko Chukwani, Zanzibar, ambapo alisema ukomo wa Baraza la 10 utafikia mwisho Agosti 13 2025, kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar.

Amesema kwa mujibu wa Kifungu cha 91(2)(a) cha Sheria ya Zanzibar ya mwaka 1984, anayo mamlaka ya kuongeza muda wa Baraza hilo

Wakili msomi Edson Kilatu aliye pia mchambuzi wa maswala ya sera na katiba anatupitisha exclusively kuchambua mamlaka ya rais wa Jamhuri ya Muungano na pia rais wa SMZ katika kurefusha ukomo wa bunge au Baraza la Wawakilishi :

26 June 2025

BUNGE LA MUUNGANO DODOMA

Kwa upande wa Bunge la Dodoma je hali ipoje kisheria na kikatiba, wakili msomi anafafanua

View: https://m.youtube.com/watch?v=109seI462uQ

Wakili msomi Edson Kilatu : ibara ya 65 ya katiba ya 1977 kuhusu Bunge la Muungano kuvunjwa, bunge huvunjwa ikiwa limemaliza miaka 5 , pia ibara ya 90 inaweza kuvunjwa kabla ya wakati au ibara ya 91 kurefusha muda Bunge la Dodoma na la Baraza la Wawakilishi haitakiwi kutofautiana hivyo inawezekana Bunge la Dodoma kuongezewa muda ...ikiwa ...

(3) Muda wa maisha ya Bunge ukimalizika Bunge litahesabiwa kuwa limevunjwa; isipokuwa kwamba muda huo ukiisha wakati wowote ambapo Jamhuri
ya Muungnao iko katika vita Bunge laweza mara
kwa mara kuongeza muda huo uliotajwa katika ibara
ya 65 ya Katiba hii kwa muda usiozidi miezi kumi na
miwili mara kwa mara lakini maisha ya Bunge hayawezi
kuongezwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo
hii kwa muda unaozidi miaka mitano.

(4) Kukitokea hali ya hatari au kama kuna hali ya
hatari ambayo Rais
anaona inasababisha kuitisha
Mkutano wa Bunge na iwapo wakati huo Bunge limevunjwa na matokeo ya kura zilizo nyingi za Uchaguzi Mkuu hayajatangazwa basi Rais aweza kutoa Taarifa Maalum ya kuitisha Mkutano wa Bunge na kuagiza kwamba Spika na watu wote waliokuwa
Wabunge mara tu kabla Bunge halijavunjwa wahudhurie Mkutano huo wa Bunge na watu hao pamoja na huyo Spika, watahesabiwa kuwa ndio
Wajumbe wa Bunge kwa madhumuni ya Mkutano
huo na watahesabiwa hivyo mpaka usiku wa manane wa siku yatakapotangazwa matokeo ya kura zilizo nyingi za Uchaguzi Mkuu.

91.-(1) Rais atalihutubia Bunge Jipya katika Mkutano wake wa Kwanza na kulifungua rasmi
Bunge hilo.

(2) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya

(1), Rais aweza wakati wowote kulihutubia Bunge
Rais aweza kulihutubia Bunge
Sheria ya 1984 Na. 15 ib.
14
 
Back
Top Bottom