Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,527
- 6,306
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na jana tarehe 3 kashindwa tena kuvunja kzi ipo
Taarifa ya maulid kitenge kasema limevunjwaHahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na jana tarehe 3 kashindwa tena kuvunja kzi ipo
Nafikiri leo huna maswali tena.Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Ok. Samia alifeli, ana vyeti fake, ana PhD za kichawa nk. Lakini haiondoi ukweli Dr. Samia Suluhu Hassan ndoye Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu. Hata umchukie vipi kamwe wewe, ukoo wenu na kijiji chenu kizima hamtokuja kufikia hata level ya Wanu au Abdul sikwambii Samia mwenyeweElimu ya kubumba, na hapo umeogopa kuweka hata vi nchi kama pakistani n.k
Ukilitafuta jina lake kama mhitimu Manchester University hulipati.
Hawasemi alihitimu mwaka gani, kozi gani? Tuwaulize Manchester University. Wao huwaga hawadanganyi. CCM Wameweka CV iwe vague, imekaa kiusanii.
Kwani ukisema tu hajasoma kuna ubaya. Wakati mwingine mnaporuhusu malumbano na wajinga mnakuwa mnawapa faida bure tuManchester university ni postgraduate diploma, mzumbe advanced diploma, kipindi hicho ni IDM
hata tukifika then what?Ok. Samia alifeli, ana vyeti fake, ana PhD za kichawa nk. Lakini haiondoi ukweli Dr. Samia Suluhu Hassan ndoye Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu. Hata umchukie vipi kamwe wewe, ukoo wenu na kijiji chenu kizima hamtokuja kufikia hata level ya Wanu au Abdul sikwambii Samia mwenyewe
akishanipa faida then what?Kwani ukisema tu hajasoma kuna ubaya. Wakati mwingine mnaporuhusu malumbano na wajinga mnakuwa mnawapa faida bure tu
Unateseka nini sasa kwa watu ambao sio level yako wala ukoo wenu mzima! Fanya yako, pambania familia yako itakuwa bora sanahata tukifika then what?
Ahaa kumbe mnataka sana umbeya...akishanipa faida then what?
kama hutaki akosolewe mwambie aachie nafasi ya uongozi wa umma, arudi kulima zabibuUnateseka nini sasa kwa watu ambao sio level yako wala ukoo wenu mzima! Fanya yako, pambania familia yako itakuwa bora sana
Wewe ushamwambia sana, kakudharau na ndokwaaaanza anatanua wigo kwa kuingiza ndugu zake. Nishakushauri fanya yako, Samia sio level yako wala ukoo wenu au kijiji chenu nyoote na kamwe hamtokuja kumfikia. Eti aachie ngazi. We kama nani mpk akusikize zaidi ya kukupuuza tukama hutaki akosolewe mwambie aachie nafasi ya uongozi wa umma, arudi kulima zabibu
Kama hataki kuachia ngazi, ndo utuache sasa tumkosoe. Kama hanisikilizi mbona twitter kaniblock?Wewe ushamwambia sana, kakudharau na ndokwaaaanza anatanua wigo kwa kuingiza ndugu zake. Nishakushauri fanya yako, Samia sio level yako wala ukoo wenu au kijiji chenu nyoote na kamwe hamtokuja kumfikia. Eti aachie ngazi. We kama nani mpk akusikize zaidi ya kukupuuza tu