GE2025 Kwanini Bunge lifungwe Leo, na kuvunjwa Aug 3, 2025? Kwanini isivunjwe Leo?. Is Yes Reforms, Yes Election Coming?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Refo
Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.

Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.

Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.

Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Reforms zimeshafanyika broo.
 
Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Haya maandishi yanafanana sana na mwandishi husika! Si ajabu.
 
Nitakuja kuwaambia kipi kimejificha

Ifikapo August 3
 
Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.

Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.

Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.

Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Bunge tayari limeshastishwa na Rais ila kuvunjwa huwa inachukuwa muda kama mwezi mmoja hivi ili shughuli mbalimbali zilizopitishwa na Bunge ziweze kukamilika ndio livunjwe kabisa haliwezi vunjwa siku moja wakati kuna shughuli zingine hazijamalizika bado.

Pia cheki video hapa chini wakati wa JK.
 
Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.

Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.

Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.

Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Good thinking
 
Hoja ilikua kurudia,rais kasoma mzumbe, manchester university, open university
Elimu ya kubumba, na hapo umeogopa kuweka hata vi nchi kama pakistani n.k
Ukilitafuta jina lake kama mhitimu Manchester University hulipati.

Hawasemi alihitimu mwaka gani, kozi gani? Tuwaulize Manchester University. Wao huwaga hawadanganyi. CCM Wameweka CV iwe vague, imekaa kiusanii.
 
Hata Zanzibar bado halijavunjwa.
Something is cooking in the air
Ngoja tuone hii July inatuambia Nini.
Mahanjumati ya kuvutia ambayo hayachoshi kula yanapikwa, nasikia Julai kuna mfululizo wa matukio kiunabii
 
Elimu ya kubumba, na hapo umeogopa kuweka hata vi nchi kama pakistani n.k
Ukilitafuta jina lake kama mhitimu Manchester University hulipati.

Hawasemi alihitimu mwaka gani, kozi gani? Tuwaulize Manchester University. Wao huwaga hawadanganyi. CCM Wameweka CV iwe vague, imekaa kiusanii.
Manchester university ni postgraduate diploma, mzumbe advanced diploma, kipindi hicho ni IDM
 
Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.

Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.

Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.

Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Itakuwa wanalinda vyeo vya mawaziri.
 
Leo limekamilisha shughuli zake kwa kipindi cha miaka mitano ila 3 August ndo linamaliza muda wa uhai wake kwa maana 4 August itakuwa ni siku ya uteuzi wa wagombea. Wabunge wataendelea kuwa wabunge mpaka siku tume itakapoteua wagombea wa nafasi za ubunge na kampeni kuanza rasmi.
NA mawaziri pia.
 
Issue ni mishahara, kumbuke mshahara wa mbunge kwa mwezi ni zaidi ya million 14.

Ccm hawajawahi kuwa serious na maisha ya Watanzania.

Anayefikiri hapo kuna issue ya reform wala siyo maana yake, haya majitu ni malafi hayana huruma na hatuwezi kuyaondowa kwa hiyari.
Kwa muda huu wabunge watalipwa stahiki zao, pensheni, salary nk. Baadaye Kwa watakaopitishwa na vyama kugombea wataanza kampeni. Ni hilo TU.
 
Back
Top Bottom