sasa mnaabudu wathungu..Wazungu Wanatisha
Pigo la UMSOLOPACCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka,pigo takatifu.
Mpaka wamtoe Msimamizi wa Tume yao ya Uchaguzi!!Wazungu Wanatisha
Nakupa mifano miwili kisha itafakariWanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Shnagazi yako ndio stupid. pambafu acha kumtukana Mh Rais hata kama humpendi. Huyo ndio Rais wa Tanzania mpaka 2030 hutaki hamia BurundiSamia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
wewe mwenye akili ya Isaac Newton mbona hukupewa nchi?Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Very very trueIt's all about money but money can't make them happy
Sasa Umeelewa Matamko tofauti kati ya amagufuli na Mama Samia..Una ufahamu wowote kuhusu Tamko Rasmi la Serikali kupitia The Government Gazette la Kulivunja Bunge Rasmi?
"Baada ya kusema yote sasa natamka kuwa Bunge hili linavunjwa rasmi na tarehe itatangazwa rasmi kwenye gazeti la Serikali. Niwatakie mafanikio mema".
Kauli ya mwisho ya Rais Magufuli akilivunja Bunge la 11 tarehe 16/6/2020. Umeelewa nini hapo?
Ni sawa na aliyehukumiwa kunyongwa anaendelea kuishi hadi siku iliyopangwa ya kutiwa kitanzi. Some people bwana!
Sio mwaka huu tu nakumbuka hata 2015 ilikuwa hivyo ila sikumbuki kama 2020 ilikiwa hivyo lakini lengo kuu ni kwamba waendelee kupokea mshahara angalau kwa mwezi mmoja zaidi.Kwanini mwaka huu!!? ,,Ndo swali la mleta mada 👆👆👆
Ndio umeandika nini!We akili yako imejaa kinyesi, Samia siyo km mamako aliyekunya siyo kuzaa
Inasadikika, taarifa za elimu ya rais hazipo?.. mzumbe alisoma nini?Inasadikika alisoma diploma!
Kutoelewa kwako shauri yako.Sasa Umeelewa Matamko tofauti kati ya amagufuli na Mama Samia..
Mama Samia kasema Ameahirisha Shuhuri za Bunge na Litavunjwa Rasmi Tarhe 03/08 ila Magufuli alitamka Rasmi kuvunja..
Kuahirisha na Kuvunja ni Tofaouti