Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
- #261
Wanabodi,
kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume status ya dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili ndani ya mmoja, two in one!, rais ni binadamu wa kawaida, at the same time rais ni taasisi, an institutional hivyo anageuka a super human!, hali, hakosei, haendi chooni, yaani sio binadamu! , hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.
Hitimisho
Rais Samia ni rais wetu, tumpende, tumheshimu, tumsuport, na hata ikitokea, kuna sehemu anakosea tumkosoe kwa heshima na staha kwa lugha ya kistaarabu na kiungwana.
Kwa sisi wengine ambao tunamkubali Samia kama Mama, mzazi wako, hata akukosee vipi, kamwe huwezi kumtukana!. Samia ni Mama wa Taifa, tumheshimu!.
Namalizia kwa msisitizo huu
Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.
Paskali
Mkuu shemeji Tate Mkuu , heshima kitu cha bure, neno limama likatili sio lugha ya staha, tutumie lugha za kistaarabu, despite all the odds, Tanzania ni nyumba yetu, huyo ni mama yetu, ni kama mama yako mzazi hata afanye nini huwezi kumuita limama!. Thread 'Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!' Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!Hili limama ni likatili sana. Maneno yake na vitendo vyake, ni vitu viwili tofauti.
P