Turekebishe muungano wa Tanganyika na Zanzibar uwe kama wa Denmark na Greenland

Muungano uliotengeneza nchi ya Tanzania ni muungano unaochanganya sana, hauleweki na pia wenye changamoto nyingi sana kwa pande zote mbili. Muungano wetu unaweza kurekebishwa kwa kuiga mfumo wa muungano uliopo kati ya Denmark and Greenland, ambapo Greenland ni sehemu ya nchi ya Denmark ikiwa na serikali yake kamili lakini masuala ya ulinzi wa mipaka, mambo ya nje na rasilimali ndio yanaamuliwa Copenhagen.

Zanzibar iachwe na serikali yake kamili ijiamulie mambo yake yote kasoro Ulinzi wa mipaka na mambo ya nje tu ndio yabaki kuwa mambo ya muungano, katiba ya Tanzania irekebishwe kuondoa kifungu cha kutaka Rais au Makamu wa Rais kutoka Zanzibar, wabunge wa Zanzibar wabaki Zanzibar tu badala yake watume wawakilishi wachache kama itakavyoafikiwa kwenye kamati ya bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama.
Naheshimu mawazo yako, muungano wetu adhimu ni muungano very unique, kwasababu ni muungano wa union kwa upande mmoja ambapo nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana na kuunda nchi moja ya Tanzania, huku nchi hizo zote mbili zikipoteza utaifa wake na kuukabidhi kwa Tanzania. Nchi ya Tanganyika haipo na nchi ya Zanzibar haipo, ila kuna sehemu inayoitwa Zanzibar ambayo sio nchi bali ni sehemu ya Tanzania.

Ila kwa upande wa ndani, muungano wetu ni federation ya nchi mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani iliyokuwa Zanzibar, au Tanzania Zanzibar yenye utawala wake wa ndani.

Muungano wetu hivi alivyo ulikuwa na kero zaidi ya 20 za muungano, zimetatuliwa zote sasa zimebaki kero 3 tuu ambazo kama tukimpa tena Samia mitano tena, anakwenda kuzimaliza. Thread 'Kongamano Miaka 61 ya Muungano Samia funga kazi. Kati ya Kero 25 ametatua 15 zimebaki 3, apewe maua yake' Kongamano Miaka 61 ya Muungano Samia funga kazi. Kati ya Kero 25 ametatua 15 zimebaki 3, apewe maua yake

October 29 tijitokeze kwa wingi tukampe!.

P
 
Naheshimu mawazo yako, muungano wetu adhimu ni muungano very unique, kwasababu ni muungano wa union kwa upande mmoja ambapo nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zimeungana na kuunda nchi moja ya Tanzania, huku nchi hizo zote mbili zikipoteza utaifa wake na kuukabidhi kwa Tanzania. Nchi ya Tanganyika haipo na nchi ya Zanzibar haipo, ila kuna sehemu inayoitwa Zanzibar ambayo sio nchi bali ni sehemu ya Tanzania.

Ila kwa upande wa ndani, muungano wetu ni federation ya nchi mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani iliyokuwa Zanzibar, au Tanzania Zanzibar yenye utawala wake wa ndani.

Muungano wetu hivi alivyo ulikuwa na kero zaidi ya 20 za muungano, zimetatuliwa zote sasa zimebaki kero 3 tuu ambazo kama tukimpa tena Samia mitano tena, anakwenda kuzimaliza.
October 29 tukampe

P
Kiongozi save this post.

Samia anaitisha katiba mpya kwa msukumo wa OMO 100%

Hiyo katiba kwa bara itajaa upuuzi tu, sehemu kubwa ni Zanzibar kuinyonya bara wakiwa ndani ya muungano.

Samia is not that clever, predictable and controlled; ni sawa kuweka katoto Ikulu.

Huyo mama hana akili hata chembe; ni puppet on a string wa puppet masters luluki. Wazanzibari wenye agenda zao tofauti, wazanzibari pro muungano, mafisadi ya bara, power struggle ndani ya CCM na usalama wa taifa.

Yaani yupo hapo kwa vita ya watu wengi.

Lakini Samia kichwani ni zero.
 
Kiongozi kuna wasaa hao watu inabidi upatie-patie dawa zao.

Kukikucha akili zikikaa sawa unasema salaleh; huu ugomvi nilio nunua mungu aingilie kati.

Hila wanakerq, hasa kwenye kutumia nguvu kwa vitu vya hovyo.
Haya ni matokeo ya low IQ, ila hili niliwahi kuuliza Thread 'Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.' Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!. naomba sana usiulize div yake!.
P
 
Muungano uliotengeneza nchi ya Tanzania ni muungano unaochanganya sana, hauleweki na pia wenye changamoto nyingi sana kwa pande zote mbili. Muungano wetu unaweza kurekebishwa kwa kuiga mfumo wa muungano uliopo kati ya Denmark and Greenland, ambapo Greenland ni sehemu ya nchi ya Denmark ikiwa na serikali yake kamili lakini masuala ya ulinzi wa mipaka, mambo ya nje na rasilimali ndio yanaamuliwa Copenhagen.

Zanzibar iachwe na serikali yake kamili ijiamulie mambo yake yote kasoro Ulinzi wa mipaka na mambo ya nje tu ndio yabaki kuwa mambo ya muungano, katiba ya Tanzania irekebishwe kuondoa kifungu cha kutaka Rais au Makamu wa Rais kutoka Zanzibar, wabunge wa Zanzibar wabaki Zanzibar tu badala yake watume wawakilishi wachache kama itakavyoafikiwa kwenye kamati ya bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama.
Denmark haina muungano na Greenland.

Greenland ilianza kama koloni ya Norway, lakini uhusiano wake na Denmark ulianza kupitia Muungano wa Denmark-Norway.

Norway (pamoja na Greenland) iliungana na Denmark na kuunda Muungano wa Denmark-Norway. Greenland iliendelea kutawaliwa kama koloni la Norway.

Wakati Muungano wa Denmark-Norway uliposambaratika mnamo 1814, Denmark ilibakia na umiliki wa Greenland.

Katiba mpya ya Denmark ya 1953 iliifanya Greenland kuwa jimbo la Denmark badala ya koloni.

Baadaye, Greenland ilipewa hatua za kujitawala, na kupata mamlaka zaidi mwaka 1979 na kisha Self-Government mnamo 2009. Hata hivyo, inabaki kuwa sehemu ya Ufalme wa Denmark
 
Maswala ya katiba yanataka watu wanaolewa shida halisi ilipo.

Sio upuuzi wa wafuasi wa CDM.

Who in his right mind would think Warioba’s constitution draft makes sense.

My god hawa watu wangejua legal interpretation ya ujinga uliojaa mule. Swali lingekuwa how is Warioba even a lawyer na wapuuzi wengine waliokuwa kwenye ile kamati.

Rasimu ya Warioba ni ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom