BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Kiufupi sisi watanganyika ni mabwege haiwezekani tunatawaliwa na nchi nyingine
Na tunakenua tu meno!
Na tunakenua tu meno!
ilikuwa nchi huru kabla ya kuwa koloni la Denmark.Ni kweli, lakini nadhani history nayo ina sehemu yake. Greenland haijawahi kuwa taifa huru kama ambavyo Zanzibar imewahi kuwa.
Hata hivyo, Greenland (just like the Faroe Islands) imetengewa viti viwili kwenye Bunge la Denmark. Watu 56,000 kuwakilishwa na wabunge wawili sio haba!
Kutesa kwazam 😁😁😁😁 "mkuki kwa nguruwe 🐷 kwa binadamu 👉🏽😭😭😭"Greenland wana mamlaka karibia yote kama Zanzibar waliyo nayo sasa ila hawaingilii mambo ya Denmark kama Zanzibar ambavyo imejipenyeza/inaingilia katika mambo ya Tanganyika.
No. Ni kama sisi tu tulivyokuwa na chiefdoms zetu ambazo zilikuwa hazina recognition kama sovereign states!ilikuwa nchi huru kabla ya kuwa koloni la Denmark.
doont take life that serious, you will eventually leave itMuungano ukirekebishwa tuondoe utaifa wa Zanzibar hayo mengine ni kiini macho tu
Una uza na kuamia zanzobar hakuna jinsiNa nyumba zetu zilizoki Bara itakuwaje
... kwakweli Wazanzibari wameulipia muungano huu Kwa damu zao, maana tusisahau na yale mauaji yaliyofanywa na serikali ya Mkapa dhidi ya Wazanzibari wakati wa mtafaruku wa uchaguzi 2001.WATANZANIA BARA NI WABINAFSI SANA NA WENYE ROHO ZA CHUKI DHIDI YA ZANZIBAR ! LEO HII KWASABABU RAIS SAMIA NI MZANZIBAR NDIO WANAONA MUUNGANO UNA MAPUNGUFU NA HAIFAI KUWEPO.
LAKIN WAMESHAU KUWA 2012 UAMSHO KUTOKA ZANZIBAR WALIKUWA HAWAUTAKI MUUNGANO NA WAKAANDAMANA LAKINI MATOKEO YAKE WALISINGIZIWA KESI ZA UGAIDI NA WENGINE KUFIKUA GEREZANI KEKO.
WALIO PONA NI WALE BAADA YA MAMA SAMIA KUINGIA MADARAKANI
LAKIN LEO HII WANAKUJA VIJANA WASHAMBA WASHAMBA KUTOKA VIJIJINI HUKO MBWINDE KWA SABABU RAIS NI MZENJI ETI NA WAO HAWATAKI MUISLAMU WA ZANZIBAR.
ILA KIPINDI KILE WALIPIGA KIMYA WAO NA MMASKOFU WAO WAKATI UAMSHO WAKIPEWA KESI ZA HILA KUWA NI MAGAIDI
Mzee wewe ni extremists balaa.Una uza na kuamia zanzobar hakuna jinsi
Rais wa Zanzibar, Bw Jumbe alitenguliwa na Wazanzibari au na Bara? Hakuruhusiwa hata kurudi kwao Zanzibar !!Unaweza kutoa mfano wa jinsi Zanzibar inavyoingilia mambo ya bara?
Alitenguliwa na CCM (chama kilichokuwa kimempitisha kugombea nafasi hiyo)!Rais wa Zanzibar, Bw Jumbe alitenguliwa na Wazanzibari au na Bara? Hakuruhusiwa hata kurudi kwao Zanzibar !!