Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #261
Wanabodi,
kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume status ya dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili ndani ya mmoja, two in one!, rais ni binadamu wa kawaida, at the same time rais ni taasisi, an institutional hivyo anageuka a super human!, hali, hakosei, haendi chooni, yaani sio binadamu! , hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.
Hitimisho
Rais Samia ni rais wetu, tumpende, tumheshimu, tumsuport, na hata ikitokea, kuna sehemu anakosea tumkosoe kwa heshima na staha kwa lugha ya kistaarabu na kiungwana.
Kwa sisi wengine ambao tunamkubali Samia kama Mama, mzazi wako, hata akukosee vipi, kamwe huwezi kumtukana!. Samia ni Mama wa Taifa, tumheshimu!.
Namalizia kwa msisitizo huu
Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.
Paskali
Mkuu shemeji Tate Mkuu , heshima kitu cha bure, neno limama likatili sio lugha ya staha, tutumie lugha za kistaarabu, despite all the odds, Tanzania ni nyumba yetu, huyo ni mama yetu, ni kama mama yako mzazi hata afanye nini huwezi kumuita limama!. Thread 'Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!' Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!Hili limama ni likatili sana. Maneno yake na vitendo vyake, ni vitu viwili tofauti.
Huyo Samia mtekaji na muuaji hastahili kupendwa wala heshima, Paschal ni chawa pro maxMkuu shemeji Tate Mkuu , heshima kitu cha bure, neno limama likatili sio lugha ya staha, tutumie lugha za kistaarabu, despite all the odds, Tanzania ni nyumba yetu, huyo ni mama yetu, ni kama mama yako mzazi hata afanye nini huwezi kumuita limama!. Thread 'Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!' Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
P
So far, hakuna uthibitisho wowote kuwa hivi vitendo vya utekaji na mauaji, rais Samia au serikali yake inahusika, ndio maana baada ya kifo cha Mzee Kibao, Rais Samia aliamuru uchunguzi.
- Huyo Samia mtekaji na muuaji hastahili kupendwa wala heshima,
Kiukweli mwanzo nikikuwa nakasirika sana kuitwa chawa, najiona kama ninatukanwa!, kwa vile mimi mwenyewe najijua sio chawa, na jf ina members wa aina tatu, simple minds, ordinary minds na great minds, wanao niana mimi ni chawa ni wale ma simple minds, ma ordinary minds na ma GT, wananijua mimi sio chawa na sio tuu nimeisha eleza humu, bali hii hoja ya uchawa na machawa, nimeiandikia makala magazetini,Paschal ni chawa pro max
Paskali, watu wengi ni great mind hapa JF, with few exceptions. Pia tunaweza kuwa na simple minds wachache, lakini watu wanaoku-challenge kuhusu utetezi wako wa serikali ya mama hata kama ni simple minds lakini wanaona kuwa kinachofanyika sasa hivi siyo sahihi. Kuna great minds kama Palamagamba Kabudi, Kitila Mkumbo na wengine wa caliber hiyo, lakini kama great minds inaongea upumbavu na kutetea wahuni wanaochezea nchi yetu, then hao siyo great minds tena.So far, hakuna uthibitisho wowote kuwa hivi vitendo vya utekaji na mauaji, rais Samia au serikali yake inahusika, ndio maana baada ya kifo cha Mzee Kibao, Rais Samia aliamuru uchunguzi.
Vitendo hivi vinafanywa na watu wasiojulikana, na kwasababu kuna
Wasiojulikana wa aina mbili
"Wasiojulikana" na 'wasiojulikana', kama wanaotenda vitendo hivi ni 'wasiojulikana', then karma itawashughulikia, don't assume things na kuwavunjia watu heshima.
Kiukweli mwanzo nikikuwa nakasirika sana kuitwa chawa, najiona kama ninatukanwa!, kwa vile mimi mwenyewe najijua sio chawa, na jf ina members wa aina tatu, simple minds, ordinary minds na great minds, wanao niana mimi ni chawa ni wale ma simple minds, ma ordinary minds na ma GT, wananijua mimi sio chawa na sio tuu nimeisha eleza humu, bali hii hoja ya uchawa na machawa, nimeiandikia makala magazetini,
Thread 'Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!' Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!
Chawa hawezi kubandika mabandiko kama haya
Ila pia naheshimu mawazo ya watu hata nisio kubaliana nao, kama wewe unamuona Pascal Mayalla ni chawa pro max, then muone hivyo na muite tuu hivyo.
- https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...fanyika-mkutano-mkuu-wa-ccm-ni-batili-4905320
- Thread 'Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa' Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
- Thread 'Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!' PreGE2025 - Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!
P
Mkuu Fidi Masha, Field Marshall 11 ,there you are, udhaifu mkubwa wa jinsia ya kike ni lack of confidence kwenye mapenzi na insecurity, wanataka assurances kuwa wanapendwa, hivyo from time to time, tell them you love them, mimi nilimwandikia kabisa barua, a love letter kumu assure tunampenda, Thread 'Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa' Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwaTatizo la Rais Samia Suluhu Hassan anadhani anadharauliwa, lakini asichokijua hajui ni kuwa watu hatumchukii, tunampenda sana,
Kwenye hili naungana na wewe, baada kile kifo cha yule Mzee, na kuuliwa vile, ni kweli Mama aliumia aka order uchunguzi, wakamdanganya kuwa yule ni commando wa JWTZ, walipanga kukupindua!. Nilimueleza kuwa wamemdanganya Thread 'Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!' Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!Paskali, ameamua kutuumiza na kutumaliza watanganyika), anaangalia status quo yake kwa style tofauti........She worried much about her ego!
Mbona urais ni kazi rais, tenda haki, usimuonee mtu, usiteke mahakama, usifunge wapinzani wako, kwa sababu lazima wapinzani wako waseme lolote lile kwa sababu ndiyo kazi yao......Sasa kwa sababu anataka ku-keep her ego/status quo anaonesha reaction mbovu.....kukamata, kutesa na kuua.
Anavyo-amplify vitu kiasi hiki anaamsha hasira kutoka kwa watendaji wake kuumiza watu, mkwe wake Mchengerwa waziri wa TISS(Kifua kipana) unategemea asimfurahishe mama mkwe wake? Ataua kila mtu ili mkwe afurahi.......Akiulizwa mbona kafanya hivyo.....Jibu lake litakuwa "Mama hawa wanapanga kukupindua"
Kweli kuna mtu anataka kumpindua mama?
Kwenye hili, naungana na wewe, na naamini karma ipo na itawashughulikia wote. Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!Mwisho nataka nikwambie Paskali, Siku hizi adhabu zilizopo hapa Tanzania ni ya kifo, baada ya mateso, kubakwa, kulawitiwa, kupotezwa bila kuonekana na ndugu zako na mwisho kuuawa??? Nasema hivyo, baada ya kuona visa vya akina Sativa, amepigwa risasi kichwani bila kosa.....hajamtukana rais, wala serikali....hivi hamuoni aibu. Mdude Nyagali sidhani kama yupo hai kwa zile damu na pia Humphrey Polepole kwa kiasi cha damu kilichomwagika.
Bado watu mnashangilia? Inawezekana Mungu hayupo lakini kuna Karma, inaweza isiwe leo, wala kesho lakini itakuja kesho kutwa
Kutoa roho ya mtu ni jambo kubwa sana, tunazaa watoto na tunaona wanavyokuwa, si jambo rahisi hata kidogo, Sijui kama umesoma Biology hata katika O' level.....It is a process, ukiona utatamani kila mtu aishi hadi mwisho wa maisha yake....Ni kazi kubwa. Nchi yetu adhabu iliyobaki ni kutesa, kubaka, kulawiti, kuua na kutesa maiti na kuwatelekeza tusikojua. Kiutaratibu, hata kama mtu amenyongwa, kwa ustaarabu mwili wake wanapewa familia. Leo watu zaidi ya mia moja hatujui wapo wapi? Kuhusu Ali Kibao, kama waliona ni commando si wangetumia utaratibu wa kawaida, kumuita kituoni na kufanya ukaguzi nyumbani kwake. Kumuua, kuchezea mwili wake, kumwagia acid na kumtoboa macho maana yake ni nini?Kwenye hili naungana na wewe, baada kile kifo cha yule Mzee, na kuuliwa vile, ni kweli Mama aliumia aka order uchunguzi, wakamdanganya kuwa yule ni commando wa JWTZ, walipanga kukupindua!. Nilimueleza kuwa wamemdanganya Thread 'Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!' Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!
P
Naomba tusiende huko, kwa vile ni mgombea wetu wa urais, naomba niruhusu nibaki na version yangu hii ya Samia Thread 'Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”' Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”siogopi kusema, Samia ana roho mbaya kama alivyo, Samia ni yule mama wa uswahilini ambaye kahamishia mambo ya kule ikiwemo kusutana, wizi, ufisadi, uonevu, unyang'anyi kuleta kwenye serikali, Simply.......Hana quality ya urais, na yeye anajua hilo. Ukifuatilia maisha yake kabla ya huyo Aman Karume hajamteua utashangaa.....
Dah! Umeongea kwa hisia saana na umegusa mambo mengi saana kwa comment zako mbili hapo juu nmejikuta hata ile imani ndogo ilikuwepo juu ga huyu mama kama imepotea.Kutoa roho ya mtu ni jambo kubwa sana, tunazaa watoto na tunaona wanavyokuwa, si jambo rahisi hata kidogo, Sijui kama umesoma Biology hata katika O' level.....It is a process, ukiona utatamani kila mtu aishi hadi mwisho wa maisha yake....Ni kazi kubwa. Nchi yetu adhabu iliyobaki ni kutesa, kubaka, kulawiti, kuua na kutesa maiti na kuwatelekeza tusikojua. Kiutaratibu, hata kama mtu amenyongwa, kwa ustaarabu mwili wake wanapewa familia. Leo watu zaidi ya mia moja hatujui wapo wapi? Kuhusu Ali Kibao, kama waliona ni commando si wangetumia utaratibu wa kawaida, kumuita kituoni na kufanya ukaguzi nyumbani kwake. Kumuua, kuchezea mwili wake, kumwagia acid na kumtoboa macho maana yake ni nini?
Naomba niseme hili kwa sababu naelewa nachosema na siogopi kusema, Samia ana roho mbaya kama alivyo, Samia ni yule mama wa uswahilini ambaye kahamishia mambo ya kule ikiwemo kusutana, wizi, ufisadi, uonevu, unyang'anyi kuleta kwenye serikali, Simply.......Hana quality ya urais, na yeye anajua hilo. Ukifuatilia maisha yake kabla ya huyo Aman Karume hajamteua utashangaa.....
Naunga mkono hoja,huyu jamaa ana power of passuasive,angekuwa ni mwanasiasa, akawaambia watu twendeni。。。,watu wanajitoa!Dah! Umeongea kwa hisia saana na umegusa mambo mengi saana kwa comment zako mbili hapo juu nmejikuta hata ile imani ndogo ilikuwepo juu ga huyu mama kama imepotea.
Na naanza kupata picha kwanini nchi za wenzetu kila siku watu ni maandamano tu na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Mkuu Mayor Quimby japo naheshimu mawazo yako lakini heshima kitu cha bure Thread 'Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe' Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanweSamia is not that clever, predictable and controlled; ni sawa kuweka katoto Ikulu.
Huyo mama hana akili hata chembe; ni puppet on a string wa puppet masters luluki.
Lakini Samia kichwani ni zero.
Kuna wasaa wanatia hasira, unasahau adhabu ya kunyofolewa kucha japo unajua ukubwa wa madaraka yao,Mkuu Mayor Quimby japo naheshimu mawazo yako lakini heshima kitu cha bure Thread 'Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe' Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe
P
Kule nyuma nilishauri vigezo vya urais kuongezwa aptitude test ya IQ Thread 'Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?' Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?Kuna wasaa wanatia hasira, unasahau adhabu ya kunyofolewa kucha japo unajua ukubwa wa madaraka yao,
Who fits I don’t know nonetheless fate will determine for Samia, using “Giardano Bruno” as a case study (in case you don’t know the chap how managed piss a lot of different groups) leading to his demise; Google him.Kule nyuma nilishauri vigezo vya urais kuongezwa aptitude test ya IQ
haya ndio matokeo, tuvumilie October 29 tumpe tuu, tusipo mpa tumpe nani?.
P
Wanabodi,
Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.
Paskali
Umeanza vizuri kuwa hutaki kutukana mtuSikati kutukana mtu
Ikawaje tena?. Heshima Kitu cha Bure!Huyu mama kizimkazi ni mpumbavu MUNGU MWENYEZI amlaani milele huyu mama kajua kutuumiza aisee