Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe

Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe

Wanabodi,

Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za KMT, kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, binadamu wote ni sawa na kila mtu anastahili heshima kwa ubinaadamu wake, asitweze utu wake!, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote ile heshina ya kibinaadamu ya kuheshimu utu wake.

Namalizia kwa msisitizo huu

Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.​

Paskali
Watu wameuawa tume uchwara ikaenda Kizimkazi kumridhisha Malikia Yezebeli?
Kumuita binadamu yeyote Yezebeli, sio jina la heshima, sembuse huyo uliyemuita!.
Zingatia hoja za bandiko hili!.
P
 
Even the devil was once an angel. Alipokengeuka akawa shetani mpaka leo. Hakuna anayemuita malaika any more!
Huu ndio uzuri wa Mungu, shetani akitubu, anasamehewa na kurejea kuwa malaika!.
Haya mambo ya Mungu na shetani, akina sisi tuliwashauri watu humu, Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani na hapa PreGE2025 - Uchaguzi Wetu ni Umungu/Ushetani? Anayekinukisha kuuzuia Uchaguzi wa Kimungu ni Shetani, ila Kama ni wa Kishetani, anayeuzuia Afanya Kazi ya Mungu au?
P.
 
Last time I checked, neither the devil nor the Kizimkazi’s fazafaka had taken the trouble to repent!
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, siku za Jumapili, nikiwa nimejimpumzikia home baada ya ibada, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za KMT, kwa maslahi ya taifa, ambazo ni za kuwafunda wadogozetu humu, makala ya leo ni makala ya kufunda wadogozetu humu kuhusu heshima ambacho ni kitu cha bure, Mwalimu Mkuu wa heshima humu JF, ni Maalim Mzee Mohamed Said , ametusaidia sisi wengine kujifunza kutoka kwake lugha za kistaarabu za minakasha ya humu, hivyo na mimi sasa nawafunza wengine.

Binadamu wote ni sawa na kila mtu anastahili heshima kwa ubinaadamu wake, asitweze utu wake!, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote ile heshima ya kawaida ya kibinaadamu ya kuheshimu utu wake, lakini kwasababu huyu ni kiongozi wetu mkuu, anapaswa kuheshimiwa heshima ya wajibu wa lazima kumheshimu mkuu wako wa nchi.

Kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana change status, ana assume status ya dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili ndani ya mmoja, two in one!, rais ni binadamu wa kawaida, at the same time rais ni taasisi ya urais, yaani ni mtu taasisi, an institutional hivyo anageuka a super human!, hali, hakosei, haendi haja, yaani sio binadamu! , hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, ambayo ni wajibu wa lazima, akosolewe kistaarabu kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.
Hitimisho
Rais Samia ni rais wetu, tumpende, au tusimpende, ni lazima tumheshimu, tumsuport, na hata ikitokea, kuna sehemu anakosea tumkosoe kwa heshima na staha kwa kumfanyia a constructive criticism, kumweleza makosa yake na kutoa ushauri wa the right thing to do kurekebisha makosa hayo, including the righ ways do do things right.

Kwa sisi wengine ambao tunamkubali Samia kama Mama, mzazi wako, hata akukosee vipi, kamwe huwezi kumtukana mzazi wako!. Rais Samia ni japo ni mwanamke, sio Mama wa Taifa, huyu ni mwanamke ambaya kwa taifa letu ni kama baba, halafu mume wake ni mwenza wake, hivyo tumheshimu!. Je Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba? Wajua Rais Samia ni Kichwa kama Baba?.

Namalizia kwa msisitizo huu

Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.​

Paskali
Yaani huyu Samia bana…..kila afunguapo domo lake kuongelea
Naendelea kusisitiza matumizi ya lugha za kistaarabu na lugha za kiungwana kwa heshima ya jf.

Kwa sisi wa zamani humu, enzi zetu, mwana wa mwenzio ni mwanao, ukipita mahali ukakuta mtoto anatukana matusi, unamwadhibu na kumpeleka kwa wazazi wake nao wanamwadhibu.

Vivyo hivyo kwa watoto, baba au mama wa mwenzio ni baba yako na mama yako, hivyo Rais Samia, zaidi ya kuwa ni rais wetu, ambapo Watanzania wote, despite all the odds, tunawajibu wa kumheshimu ile heshima ya lazima ya wajibu, kwasababu ndiye kiongozi wetu mkuu, pia huyu ni mwanamke na ni mama, kuna ile heshima ya kawaida ya curtesy
to address a lady kutumia lugha za kiungwana na kistaarabu.

Hii lugha iliyotumika hapa sio ya kiungwana, staha au ya kistaarabu, kwasababu huyu ni mama, ana watoto, jichukulie mwanae au wanae ni rafiki zako, mchukulie kama ni mama yako mzazi!.
Ni ushauri tuu, no offence intended!.

P
 
Natumai ujumbe umefika !
Ni kweli ujumbe umefika, ila kuna vitu vibaya watu wanavifanya bila wao kujijua kuwa vinawaletea laana!, mtunajikuta mambo yako hayakunyookei, ukijiuliza sababu, hupati jibu, wenye imani duni, wanaweza kuamini kuwa wamelogwa, kumbe ni umejichumia dhambi na laana za kumtukana mtu wa umri wa mama yako mzazi, laana ya kumtukana mama wa mwingine inakushukia kama vile umemtukana mama yako!.

P
 
Naendelea kusisitiza matumizi ya lugha za kistaarabu na lugha za kiungwana kwa heshima ya jf.

Kwa sisi wa zamani humu, enzi zetu, mwana wa mwenzio ni mwanao, ukipita mahali ukakuta mtoto anatukana matusi, unamwadhibu na kumpeleka kwa wazazi wake nao wanamwadhibu.

Vivyo hivyo kwa watoto, baba au mama wa mwenzio ni baba yako na mama yako, hivyo Rais Samia, zaidi ya kuwa ni rais wetu, ambapo Watanzania wote, despite all the odds, tunawajibu wa kumheshimu ile heshima ya lazima ya wajibu, kwasababu ndiye kiongozi wetu mkuu, pia huyu ni mwanamke na ni mama, kuna ile heshima ya kawaida ya curtesy
to address a lady kutumia lugha za kiungwana na kistaarabu.

Hii lugha iliyotumika hapa sio ya kiungwana, staha au ya kistaarabu, kwasababu huyu ni mama, ana watoto, jichukulie mwanae au wanae ni rafiki zako, mchukulie kama ni mama yako mzazi!.
Ni ushauri tuu, no offence intended!.

P
Muuaji hastahili heshima yoyote ile.

Samia ni muuaji. Kashindwa kuheshimu utu na ubinadamu wa Watanzania.

Katoa amri wauliwe hovyo hovyo.

Anastahili heshima gani huyo?

Wewe kama unampenda sana endelea kumheshimu.

Mimi siwezi kumheshimu muuaji aliyeua hadi watoto wadogo kabisa kwa kuwapiga risasi za kuulia tembo.

Fuk Samia 🖕

IMG_8637.jpeg
 
Wanabodi,

Binadamu wote ni sawa na kila mtu anastahili heshima kwa ubinaadamu wake, asitweze utu wake!, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote ile heshima ya kawaida ya kibinaadamu ya kuheshimu utu wake, lakini kwasababu huyu ni kiongozi wetu mkuu, anapaswa kuheshimiwa heshima ya lazima ambayo ni wajibu wa lazima kumheshimu mkuu wako wa nchi.

Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.​

Paskali
Malaya Samia lazima awajibishwe tu.
Cumma la mamake huyo Samia. Ni muuaji mkatili asiyestahili heshima yoyote ile.
Malaya Samia ni wa kuuliwa tu. Hawezi kuachwa aendelee kuishi kwa kutumia kodi za watu ambao kawaulia watoto wao.
This is wrong. It is indefensible. And the bitch will pay. Fuk her
Huyu ni mke wa mtu, ni mama wa mtu, ni kiongozi mkuu wa nchi, despite all the odds, huwezi kumuita kwa hilo jina!, suppose angekuwa ni mama yako mzazi, ungemuita hivyo?!.
Sisi wa Afrika na Watanzania, mtu atu akiwa na umri wa mama yako, ni mama yako, unamuheshimu kama mama yako!
Shika adabu yako na ikushike!.

Kuna watu majina yenu ni ma icon humu jf, tena kama sikosei wewe uko kwenye ile Top Ten ya Wana JF wa mwanzo ile 2006, nyinyi ndio ma legendary, kama unaweza kumuita hivyo huyu mtu wetu, unawafundisha nini hawa madogo humu?.

Pia nimekunote, kila ukitukana, unaweka graphic photos za dilapidated dead bodies za watoto, that is morbid curiosity!,
its sickness!, ni sadism hivyo you could be sadist bila kujijua!, mwenzako ni huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea? tena niliuliza PostGE2025 - Voices from Within: Mauaji ya wananchi Dar, tusiwalaumu Polisi. Je Amri ya kuua Ilitoka kwa muuaji huyu?

Naam,

Hawa nao ni Watanzania. Ni watoto wa Watanzania ambao huyo unayedai ni kiongozi wa nchi, ni mke wa mtu, mama wa mtu, ndo alitoa amri ya kuwaua kisa tu wamekutwa barabarani au wamekutwa kwenye vibanda wakiangalia mpira.

Hawa watoto wa Watanzania hawatorudi tena. Uhai wao umechukuliwa kutokana na ukatili wa Samia.

Cumma la mamake huyo Samia. Ni muuaji mkatili asiyestahili heshima yoyote ile.

Anachostahili ni kuadhibiwa kwa kifo chenye maumivu makali kupita yote.

Na wewe unayemuunga mkono huyo muuaji, cumma la mamako pia.

Wewe ombea usije ukakutana na mimi bado ukiwa hai maana nitaugeuza uso wako kuwa pepperoni pizza.

Malaya Samia ni wa kuuliwa tu. Hawezi kuachwa aendelee kuishi kwa kutumia kodi za watu ambao kawaulia watoto wao.

This is wrong. It is indefensible. And the bitch will pay. Fuk her and fuk you, too.

IMG_9672.jpeg
IMG_8624.jpeg
IMG_8616.png
 
Back
Top Bottom