Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe

Wanabodi,

Kama kawaida yangu, siku za Jumapili, nikiwa nimejimpumzikia home baada ya ibada, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za KMT, kwa maslahi ya taifa, ambazo ni za kuwafunda wadogozetu humu, makala ya leo ni makala ya kufunda wadogozetu humu kuhusu heshima ambacho ni kitu cha bure, Mwalimu Mkuu wa heshima humu JF, ni Maalim Mzee Mohamed Said , ametusaidia sisi wengine kujifunza kutoka kwake lugha za kistaarabu za minakasha ya humu, hivyo na mimi sasa nawafunza wengine.

Binadamu wote ni sawa na kila mtu anastahili heshima kwa ubinaadamu wake, asitweze utu wake!, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote ile heshima ya kawaida ya kibinaadamu ya kuheshimu utu wake, lakini kwasababu huyu ni kiongozi wetu mkuu, anapaswa kuheshimiwa heshima ya wajibu wa lazima kumheshimu mkuu wako wa nchi.

Kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana change status, ana assume status ya dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili ndani ya mmoja, two in one!, rais ni binadamu wa kawaida, at the same time rais ni taasisi ya urais, yaani ni mtu taasisi, an institutional hivyo anageuka a super human!, hali, hakosei, haendi haja, yaani sio binadamu! , hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, ambayo ni wajibu wa lazima, akosolewe kistaarabu kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.

Hoja hii ni kufuatia mjadala mingi kwenye mitandao ya kijamii kwenye issue ya DPW na Bandari zetu, kuna watu wamevuka mipaka na kumkosea adabu na heshima Rais Samia kwa kumkosoa kwa lugha kali, kumtweza, kumkashifu na wengine kuvuka mipaka hadi kumtukana matusi ya nguoni!, this is not right!, huu sio Utanzania, huu sio Uafrika!, tusilete uzungu kwenye utamaduni wetu. Mimi nina familia mbili, (si unajua tena sisi wazee wa Kisukuma, ule uzungu wa kamoja tuu, ulitushindaga), familia moja iko ughaibuni na familia ya pili iko Bongo. Nikiwa ughaibuni, jinsi ninavyojibiwa na watoto wangu mwenyewe, wangekuwa Bongo, cha moto wangekipata!, la ughaibuni ni ughaibuni, hivyo nawaomba wenzetu za ughaibuni, hizo lugha zenu na heshima zenu za ughaibuni, msituletee humu jf, kuongea bila heshima kwa viongozi wetu!.

Angalizo la Uzalendo Uchawa Vs Uzalendo Halisi!.
Kufuatia kuibuka kwa dhana mpya ya uchawa, kuna watu wanajiita kabisa chawa wa Mama, hivyo mtu kama mimi nikijitokeza kutaka kumtetea Rais Samia aheshimiwe na wote, watu wenye akili fupi hawachelewi kuniita chawa!. Mimi sio chawa na hili sio bandiko la kichawa! ni bandiko la kukumbushana heshima ya kiasili ya Kiafrika ya heshima kitu cha bure, mkubwa kumheshimu mdogo, na mdogo kumheshimu mkubwa, heshima kwa wote.

Declaration ya Kutosaka Uteuzi.
Kumezuka mtindo wa sisi waandishi wa habari na watu wa media, tukiusifu utawala kwa mazuri au tukisifu viongozi wanapofanya mazuri, ili kuwatia moyo waendelee,, tunaonekana kuwa tunasaka uteuzi, naomba niwahakikishie tena Paskali hasaki uteuzi wowote na hili Paskali aliisha mueleza mteuzi mwenyewe face to face Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

The Duality of President.
Heshima ya Lazima ya Kimamlaka!, Akosolewe kwa Staha na Asitukanwe!.

Duality ni kanuni ya mtu mmoja kuwa na personalities mbili tofauti kwa wakati mmoja.
Rais wa nchi ni dual personality ana personalities mbili ambazo they exist in duality ndani ya mtu mmoja as one!. Yaani ni mtu mmoja mwenye two personalities ambazo zote mbili zina exist kwa pamoja ndani ya mtu mmoja as one and the same at the same time!.

Kanuni hii ya dual personality sio double personality, dualty imezungumzwa vizuri na mwana Saikolojia mahiri wa Marekani, Dr. Sigmund Freud katika kukichambua kitabu cha Dr. Jekyll and Mr. Hyde, kilichoandikwa na Dr. Robert Luis Stevenson aliyeandika pia kitabu cha Kisiwa chenye Hazina, Treasure Island, ambapo mtu mmoja mwenye double personality mchana yuko vingine na usiku yuko vingine kama watu wawili tofauti, na hivi ndivyo walivyo ma psychopath!.

Hii duality ipo sana kwa binadamu wote, yaani nafsi na roho, au me & I. mambo kama ya de javu, third eye, physical body na astra body, mambo ya Ying na Yang, vyote hivi vinatumia kanuni ya duality.

Wanawake wengi wanalelewa kwa kuandaliwa kuwa wife materials, ili kupata mchumba kuolewa na kuwa mke wa mtu hivyo katika kusaka ndoa anakuwa na one personality na akiisha pata ndoa na kuolewa, ana change na ku show her true colours!, anakuwa ni mtu mwingine kabisa!, anachanua makucha na kuonyesha rangi zake halisi.

Jamii zetu nyingi za kiasili za Kiafrika kuna watu wanaishi double life mfano mzuri ni wanga, wachawi na washirikina, ukiwaona mchana ni watu wa kawaida, lakini usiku ni watu wengine kabisa!.

Na kwenye siasa ndio usiseme!.
Ila pia kuna tofauti kati ya double personality na dual personality, double personality na mtu kuwa na personality mbili tofauti sehemu mbili tofauti kwa nyakati tofauti, hivyo kuonekana kama ni watu wawili tofauti, lakini dual personality ni personality mbili tofauti ambazo ziko kwa mtu mmoja and they exist at the same time and place!.

The Duality of The President.
Personality ya kwanza ya Rais wa nchi ni human personality, yaani rais ni binadamu, a human being kama binadamu mwingine yoyote wa kawaida anayestahili mahitaji yote ya kibinadamu, anakula, anakwenda haja, anahitaji zile huduma mambo mengine yote ya kibiaadamu, hivyo rais wetu Samia ni mtu anayeitwa Samia Suluhu Hassan, huyu ni human being, Binti wa Mzee Hasani, she has all human needs including feelings, love and compassion na ana mahitaji mengine yote ya kibinaadamu kama binadamu wengine, ikiwemo kupenda, kupendwa na heshima, love and dignity and can make mistakes just like any other human beings, na akiudhiwa, anajifungia chumbani analia, mpaka hasira zake zinapoa. Hivyo huyu Samia ambaye she is only a human, unaweza kumpenda au usimpende, unaweza kumkubali au usimkubali, unaweza kumchukia, kumbeza, unaweza kumtukana na kumdhalilisha au kusema chochote kumhusu mtu anayeitwa Samia Suluhu Hassan na hakuna tatizo!. Mfano mzuri wa hili ni huyu mtu niliyemzungumzia hapa Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? bandiko kama hili liliwezekana kupandishwa kwasababu she is just a human na enzi hizo alikuwa na single personality, sasa with dual personality bandiko kama hili haliwezi kupanda.

Je ni Lazima Kumpenda Rais?.
Kumpenda mtu yoyote ni person preferences, ni utashi binafsi wa mtu yoyote anaweza kumpenda mtu mwingine yeyote, kwa sababu zozote au bila sababu yoyote, au unaweza usimpende mtu kwa sababu zozote, au bila sababu yoyote, yaani unajikuta tuu, picha haziendani na hakuna kosa lolote kutompenda yeyote lakini hata ikitokea mtu fulani humpendi, bado una wajibu wa kumheshimu na kuulinda na kuuheshimu utu wake na ubinaadamu wake!.

Hivyo watu wako huru kumpenda Rais Samia ama kutompenda, it's an option lakini kumheshimu is not an option ni wajibu ndio maana kumtukana mtu ni kosa.

Personality ya pili ya Rais Samia, ni rais wa nchi, hivyo huyu binadamu anaitwa Samia Suluhu Hassan, baada ya kuwa ni rais wa nchi ana, assume kitu kinachoitwa presidential personality, huyu sasa sio mtu binadamu, ni mtu taasisi yenye mamlaka ya juu kabisa ndani ya JMT, hivyo rais wa nchi kwa personality yake ya urais, ni lazima aheshimiwe, utii kwa mamlaka, huwezi kumtukana, huwezi kumdhalilisha, itakuwa ni kuitukana taasisi ya urais. Dini zote zinafundisha utii kwa mamlaka, iwe ni mamlaka halali au haramu, una wajibu wa kutii mamlaka, ndio maana hata enzi za yule Blaza wangu, kabla hajagombea urais, toka ile 2014 nilipoambiwa ni yeye, nilileta angalizo humu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli baada tuu ya kushinda nikatoa ushauri huu Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! na pia nikatoa angalizo hili Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!, hivyo despite all the odds heshima na utii kwa mamlaka ni jambo la wajibu!.

Rais Samia kama taasisi ya urais, huhitaji kumpenda lakini ni lazima kumheshimu!. Rais Samia kama taasisi ya urais, she is not human, hawezi kufanya makosa ndio maana hawezi kushitakiwa!.

Wito kama huu niliwahi kuutoa enzi za utawala wa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim! na wakati wa Magufuli pia nilishauri Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli, hivyo sasa tuko na Samia, tunaweza tusimpende lakini lazima tumuheshimu na ukitokea ukosoaji, tumkosoe kwa lugha ya staha na sio kumtukana na kumdhalilisha!.

Niliwahi kushauri humu kuwa Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda unaweza usimpende lakini ni lazima kumheshimu.

Hitimisho
Rais Samia ni rais wetu, tumpende, au tusimpende, ni lazima tumheshimu, tumsuport, na hata ikitokea, kuna sehemu anakosea tumkosoe kwa heshima na staha kwa kumfanyia a constructive criticism, kumweleza makosa yake na kutoa ushauri wa the right thing to do kurekebisha makosa hayo, including the righ ways do do things right.

Kwa sisi wengine ambao tunamkubali Samia kama Mama, mzazi wako, hata akukosee vipi, kamwe huwezi kumtukana mzazi wako!. Rais Samia ni japo ni mwanamke, sio Mama wa Taifa, huyu ni mwanamke ambaya kwa taifa letu ni kama baba, halafu mume wake ni mwenza wake, hivyo tumheshimu!. Je Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba? Wajua Rais Samia ni Kichwa kama Baba?.

Namalizia kwa msisitizo huu

Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.​

Paskali
"Nazi mbovu, harabu ya nzima"

Jifunze kunyamaza dingilai. Sio lazima kila mtu ajue wewe ni mbumbumbu.
 
Samahani, sijasoma bandiko lako lote ila kichwa cha habari kitafanya wengi wasisome.(Mawazo tu) Hali ya nchi kwa sasa waijuia then bandiko kama hili.
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Kwani Rais ni malaika anayetakiwa kujua kila kitu?

Kama sio malaika, akikosea tumuite vipi kama sio mjinga?
Rais sio malaika ni binadamu na anaweza kukosea hili hata mimi nimelisema humu na sio mara moja https://www.jamiiforums.com/threads...-ya-kukoseshwa-tumvumilie-tumpe-muda.1883239/

Anapokosea akosolewe kwa lugha ya staha, huwezi kuandika "Kama Samia angekuwa na akili timamu" "kwasababu ya ujinga"

Mkuu wa nchi ni kama mzazi wako, hata akikosea huwezi uliza kama ana akili timamu au kumuita mjinga huko ni kumtukana!
P
 
Kumuita mzazi wangu mjinga kama hajui jambo fulani ni kosa?
 
Waheshimu Baba na mama, upate miaka mingi na kheri duniani.
Japo neno mjinga sio tusi ni kutokujua, kwa vile linatumiwa kutukana, ukimuita mzazi wako mjinga ni kumtukana!, kama ilivyo jina la mama kwa kibantu ni mama, mae, nina, noko, nyoko, lakini kufuatia jina hilo likitanguliwa na jina la kile kiungo cha K, ni kutukana tusi, kwa sasa hata bila utangulizi wa k, huwezi kumuita mama yako mae, nina, noko, nyoko, atahesabika umemtukana.

Kuuliza kama nanii ana akili timamu, na kumuita mjinga sio heshima stahiki inayopaswa kutolewa kwake.

Unaleta tabia za mawakili wa serikali.

Maneno mengi huku umeshakiri kuita mtu mjinga sio tusi!.
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, siku za Jumapili, nikiwa nimejimpumzikia home baada ya ibada, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za KMT, kwa maslahi ya taifa, ambazo ni za kuwafunda wadogozetu humu, makala ya leo ni makala ya kufunda wadogozetu humu kuhusu heshima ambacho ni kitu cha bure, Mwalimu Mkuu wa heshima humu JF, ni Maalim Mzee Mohamed Said , ametusaidia sisi wengine kujifunza kutoka kwake lugha za kistaarabu za minakasha ya humu, hivyo na mimi sasa nawafunza wengine.

Binadamu wote ni sawa na kila mtu anastahili heshima kwa ubinaadamu wake, asitweze utu wake!, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote ile heshima ya kawaida ya kibinaadamu ya kuheshimu utu wake, lakini kwasababu huyu ni kiongozi wetu mkuu, anapaswa kuheshimiwa heshima ya wajibu wa lazima kumheshimu mkuu wako wa nchi.

Kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana change status, ana assume status ya dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili ndani ya mmoja, two in one!, rais ni binadamu wa kawaida, at the same time rais ni taasisi ya urais, yaani ni mtu taasisi, an institutional hivyo anageuka a super human!, hali, hakosei, haendi haja, yaani sio binadamu! , hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, ambayo ni wajibu wa lazima, akosolewe kistaarabu kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.

Hoja hii ni kufuatia mjadala mingi kwenye mitandao ya kijamii kwenye issue ya DPW na Bandari zetu, kuna watu wamevuka mipaka na kumkosea adabu na heshima Rais Samia kwa kumkosoa kwa lugha kali, kumtweza, kumkashifu na wengine kuvuka mipaka hadi kumtukana matusi ya nguoni!, this is not right!, huu sio Utanzania, huu sio Uafrika!, tusilete uzungu kwenye utamaduni wetu. Mimi nina familia mbili, (si unajua tena sisi wazee wa Kisukuma, ule uzungu wa kamoja tuu, ulitushindaga), familia moja iko ughaibuni na familia ya pili iko Bongo. Nikiwa ughaibuni, jinsi ninavyojibiwa na watoto wangu mwenyewe, wangekuwa Bongo, cha moto wangekipata!, la ughaibuni ni ughaibuni, hivyo nawaomba wenzetu za ughaibuni, hizo lugha zenu na heshima zenu za ughaibuni, msituletee humu jf, kuongea bila heshima kwa viongozi wetu!.

Angalizo la Uzalendo Uchawa Vs Uzalendo Halisi!.
Kufuatia kuibuka kwa dhana mpya ya uchawa, kuna watu wanajiita kabisa chawa wa Mama, hivyo mtu kama mimi nikijitokeza kutaka kumtetea Rais Samia aheshimiwe na wote, watu wenye akili fupi hawachelewi kuniita chawa!. Mimi sio chawa na hili sio bandiko la kichawa! ni bandiko la kukumbushana heshima ya kiasili ya Kiafrika ya heshima kitu cha bure, mkubwa kumheshimu mdogo, na mdogo kumheshimu mkubwa, heshima kwa wote.

Declaration ya Kutosaka Uteuzi.
Kumezuka mtindo wa sisi waandishi wa habari na watu wa media, tukiusifu utawala kwa mazuri au tukisifu viongozi wanapofanya mazuri, ili kuwatia moyo waendelee,, tunaonekana kuwa tunasaka uteuzi, naomba niwahakikishie tena Paskali hasaki uteuzi wowote na hili Paskali aliisha mueleza mteuzi mwenyewe face to face Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

The Duality of President.
Heshima ya Lazima ya Kimamlaka!, Akosolewe kwa Staha na Asitukanwe!.

Duality ni kanuni ya mtu mmoja kuwa na personalities mbili tofauti kwa wakati mmoja.
Rais wa nchi ni dual personality ana personalities mbili ambazo they exist in duality ndani ya mtu mmoja as one!. Yaani ni mtu mmoja mwenye two personalities ambazo zote mbili zina exist kwa pamoja ndani ya mtu mmoja as one and the same at the same time!.

Kanuni hii ya dual personality sio double personality, dualty imezungumzwa vizuri na mwana Saikolojia mahiri wa Marekani, Dr. Sigmund Freud katika kukichambua kitabu cha Dr. Jekyll and Mr. Hyde, kilichoandikwa na Dr. Robert Luis Stevenson aliyeandika pia kitabu cha Kisiwa chenye Hazina, Treasure Island, ambapo mtu mmoja mwenye double personality mchana yuko vingine na usiku yuko vingine kama watu wawili tofauti, na hivi ndivyo walivyo ma psychopath!.

Hii duality ipo sana kwa binadamu wote, yaani nafsi na roho, au me & I. mambo kama ya de javu, third eye, physical body na astra body, mambo ya Ying na Yang, vyote hivi vinatumia kanuni ya duality.

Wanawake wengi wanalelewa kwa kuandaliwa kuwa wife materials, ili kupata mchumba kuolewa na kuwa mke wa mtu hivyo katika kusaka ndoa anakuwa na one personality na akiisha pata ndoa na kuolewa, ana change na ku show her true colours!, anakuwa ni mtu mwingine kabisa!, anachanua makucha na kuonyesha rangi zake halisi.

Jamii zetu nyingi za kiasili za Kiafrika kuna watu wanaishi double life mfano mzuri ni wanga, wachawi na washirikina, ukiwaona mchana ni watu wa kawaida, lakini usiku ni watu wengine kabisa!.

Na kwenye siasa ndio usiseme!.
Ila pia kuna tofauti kati ya double personality na dual personality, double personality na mtu kuwa na personality mbili tofauti sehemu mbili tofauti kwa nyakati tofauti, hivyo kuonekana kama ni watu wawili tofauti, lakini dual personality ni personality mbili tofauti ambazo ziko kwa mtu mmoja and they exist at the same time and place!.

The Duality of The President.
Personality ya kwanza ya Rais wa nchi ni human personality, yaani rais ni binadamu, a human being kama binadamu mwingine yoyote wa kawaida anayestahili mahitaji yote ya kibinadamu, anakula, anakwenda haja, anahitaji zile huduma mambo mengine yote ya kibiaadamu, hivyo rais wetu Samia ni mtu anayeitwa Samia Suluhu Hassan, huyu ni human being, Binti wa Mzee Hasani, she has all human needs including feelings, love and compassion na ana mahitaji mengine yote ya kibinaadamu kama binadamu wengine, ikiwemo kupenda, kupendwa na heshima, love and dignity and can make mistakes just like any other human beings, na akiudhiwa, anajifungia chumbani analia, mpaka hasira zake zinapoa. Hivyo huyu Samia ambaye she is only a human, unaweza kumpenda au usimpende, unaweza kumkubali au usimkubali, unaweza kumchukia, kumbeza, unaweza kumtukana na kumdhalilisha au kusema chochote kumhusu mtu anayeitwa Samia Suluhu Hassan na hakuna tatizo!. Mfano mzuri wa hili ni huyu mtu niliyemzungumzia hapa Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? bandiko kama hili liliwezekana kupandishwa kwasababu she is just a human na enzi hizo alikuwa na single personality, sasa with dual personality bandiko kama hili haliwezi kupanda.

Je ni Lazima Kumpenda Rais?.
Kumpenda mtu yoyote ni person preferences, ni utashi binafsi wa mtu yoyote anaweza kumpenda mtu mwingine yeyote, kwa sababu zozote au bila sababu yoyote, au unaweza usimpende mtu kwa sababu zozote, au bila sababu yoyote, yaani unajikuta tuu, picha haziendani na hakuna kosa lolote kutompenda yeyote lakini hata ikitokea mtu fulani humpendi, bado una wajibu wa kumheshimu na kuulinda na kuuheshimu utu wake na ubinaadamu wake!.

Hivyo watu wako huru kumpenda Rais Samia ama kutompenda, it's an option lakini kumheshimu is not an option ni wajibu ndio maana kumtukana mtu ni kosa.

Personality ya pili ya Rais Samia, ni rais wa nchi, hivyo huyu binadamu anaitwa Samia Suluhu Hassan, baada ya kuwa ni rais wa nchi ana, assume kitu kinachoitwa presidential personality, huyu sasa sio mtu binadamu, ni mtu taasisi yenye mamlaka ya juu kabisa ndani ya JMT, hivyo rais wa nchi kwa personality yake ya urais, ni lazima aheshimiwe, utii kwa mamlaka, huwezi kumtukana, huwezi kumdhalilisha, itakuwa ni kuitukana taasisi ya urais. Dini zote zinafundisha utii kwa mamlaka, iwe ni mamlaka halali au haramu, una wajibu wa kutii mamlaka, ndio maana hata enzi za yule Blaza wangu, kabla hajagombea urais, toka ile 2014 nilipoambiwa ni yeye, nilileta angalizo humu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli baada tuu ya kushinda nikatoa ushauri huu Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! na pia nikatoa angalizo hili Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!, hivyo despite all the odds heshima na utii kwa mamlaka ni jambo la wajibu!.

Rais Samia kama taasisi ya urais, huhitaji kumpenda lakini ni lazima kumheshimu!. Rais Samia kama taasisi ya urais, she is not human, hawezi kufanya makosa ndio maana hawezi kushitakiwa!.

Wito kama huu niliwahi kuutoa enzi za utawala wa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim! na wakati wa Magufuli pia nilishauri Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli, hivyo sasa tuko na Samia, tunaweza tusimpende lakini lazima tumuheshimu na ukitokea ukosoaji, tumkosoe kwa lugha ya staha na sio kumtukana na kumdhalilisha!.

Niliwahi kushauri humu kuwa Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda unaweza usimpende lakini ni lazima kumheshimu.

Hitimisho
Rais Samia ni rais wetu, tumpende, au tusimpende, ni lazima tumheshimu, tumsuport, na hata ikitokea, kuna sehemu anakosea tumkosoe kwa heshima na staha kwa kumfanyia a constructive criticism, kumweleza makosa yake na kutoa ushauri wa the right thing to do kurekebisha makosa hayo, including the righ ways do do things right.

Kwa sisi wengine ambao tunamkubali Samia kama Mama, mzazi wako, hata akukosee vipi, kamwe huwezi kumtukana mzazi wako!. Rais Samia ni japo ni mwanamke, sio Mama wa Taifa, huyu ni mwanamke ambaya kwa taifa letu ni kama baba, halafu mume wake ni mwenza wake, hivyo tumheshimu!. Je Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba? Wajua Rais Samia ni Kichwa kama Baba?.

Namalizia kwa msisitizo huu

Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.​

Paskali
Unajisumbua tuu, hakuna nywinywi wala nywinywi.
 
Back
Top Bottom