Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea sana!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi

Utangulizi Kuhusu Mashuhuri na Maarufu
Mtu mashuhuri nambari moja, kwenye nchi yoyote ni mkuu wa nchi, rais, ila kunaweza kuwa na mtu mwingine ambaye sio mashuhuri, na akawa ni maarufu kuliko mkuu wa nchi!. Kwenye Uzinduzi wa TASAF II Uwanja wa Jamhuri Dodoma, mgeni rasmi ni Rais JK,, rais alipokuwa anaingia, tukatangaziwa na MC, wote tusimame kumpokea mgeni rasmi, Jukwaa Kuu wakasimama wote, majukwaa mengine hawana time!.

Wakati JK ameusha kaa, watu wa protocal, hawaruhusu tena mtu mwingine yoyote kuingia ndani kupitia geti kuu, msanii Diamond na msafara wake wa yale ma ndiga yake makali akafika geti kuu kutaka kuingia, msafara ukazuiliwa, akaelezwa lazima ushuke, azunguke kwa miguu kuingilia geti dogo!, kumbe kosa!, ile Diamond kushuka tuu na kuanza kutembea kuelekea geti dogo na wale ma bodyguards wake, kukaibuka kelele huko nje, watu wakamzonga, polisi wakashindwa nguvu, watu wa usalama sukumiza kule, umati ukavamia geti kubwa, sukumiza geti chini, Diamond kuingia tuu ndani, kila mtu alisimama hadi JK kuangalia hii ni vurugu ya nini, kumbe ni Diamond!, hivyo Dai alikuwa maarufu kuliko JK!.

Baada ya verdict ya prima facie, kwa Tundu Lissu, kukutwa ana kesi ya kujibu, sasa Tundu Lissu ndie mwanasiasa maarufu number 1 Tanzania kuliko hata nanilii, hivyo kwa sisi tunaomjua, naomba tuwasaidie wengine wasiomjua, ili wamjue, kwasababu tunaweza kuwa tufanya vi mambo vya ajabu ajabu tukijua ndio tuna mkomoa, kumbe ndio tunamuongezea umaarufu, huku nchi yetu ikizidi kubagazwa na kuchafuka kitaifa na kimataifa, kwa viongozi wetu kufanya maamuzi bila kutumia ile kanuni ya "The Law of Unintended Consequences" ukajikuta badala ya kujenga ndio unaharibu zaidi!.

Bandiko hili ni bandiko elimishi kumhusu Tundu Lissu ninayemfahamu mimi toka shuleni kule Ilboru. Kama kuna watu wanadhani kumpiga kwa Prima Facie will bow him down kunyenyekea!, they are dead wrong!, Lissu ni wale watu watu wa type ya no retreat, no surrender, unapigana kufa na kupona, mpaka risasi ya mwisho, chozi la mwisho na tone la mwisho la damu, ni wale wabishi wa type ya it's not over until its over!, hivyo kwa Lissu, hii ngoma, it is not over untill it is over!, linapokuja suala la kutetea haki, heri afe huku amesimama kuisimamia kweli na haki, kuliko kuishi huku amepiga magoti kuunyenyekea uovu!.

Naomba kwanza ni declare interest, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa mahakama kuu, neno "tutakinukisha" sio uhaini ni sedition tuu!, hivyo kama mahakama yetu imeona kuna prima facie ya uhaini, kwa maoni yangu, nauona uamuzi huu kama unakwenda sio tuu kutubagaza nchi yetu, but to expose how rot our justice system is before the eyes of international community. Msimamo wangu kuhusu kesi hii ni ule ule Pascal Mayalla: Kusema Tutakinukisha au kuandamana ...

Kwa vile TL namfahamu, ni mwana Ilboru mwenzangu, so does Mwigulu Nchemba na Lazaro Nyalandu, sisi wana Ilboru, tumefundishwa kusimama kwenye kweli, no matter what!.

Kama lengo la hii prima facie, is to make TL to bow down kwa kuogopa kuhukumiwa kifo kwa kosa la uhaini, hivyo baada ya kukutwa na prima facie, atakutwa na hatia, na atahukumiwa kifo kwa kunyongwa mpaka afe!, lakini baada ya hukumu kutoka, atatokea a saviour fulani, atamsamehe TL kwa msamaha wa rais, hivyo TL atarejea uraiani kichwa chini na hawezi tena kugombea wadhifa wowote!, then they are doing a terrible mistake!, the law of unintended consequences will take charge, hili jambo linakwenda kututesa kama nchi kuliko linavyochukuliwa sasa!.

Sisi wana Ilboru, tumefunzwa kusimama na haki, kuliko kunyenyekea kwa wadhalimu, huwa tuko tayari kufa, huku tumsimama kwenye haki, kuliko kuishi huku tumepiga magoti kuwanyenyekea wadhalimu!, sasa kwa vile sii wengi wanamfahamu TL kijuu juu tuu, mimi ni mmoja wa tunao mfahamu TL kwa undani.
Ili kuwasaidia na wengine, wasiomjua TL kwa undani, huyu ndiye TL ninayemfahamu mimi

View: https://youtu.be/nl3DZK-bXOM?si=wb7HlEOxwPdnNNcd

Hivyo kama amepigwa PF ili apige magoti kunyenyekea na kuomba msamaha,, huyu ni mtu wa no retreat, no surrender!, kama "tutakinukisha" sio uhaini, lakini watu wenye nia ovu, wameamua kulihainisha neno
"tutakinukisha na kuwa uhaini", then TL ata opt bora anyongwe, ila damu yake iwakomboe Watanzania, kuliko kuwa huru huku amepiga magoti kuwanyenyekea madhalimu!.

Mzee Pasco
Rejea za Mwandishi kumhusu Tundu Lissu
  • ​

Watesi wake ni wajinga tu and mijitu isiyo jitambua inaweza sababisha Nchi kuingia kwenye machafuko zaidi kuliko before endapo lissu akihukumiwa Kwa influence Aliyonayo inaweza kuleta shida kubwa sana katika Taifa

Lakini Kwa kuwa mi- ccm ni vichaa hayalioni Hilo , lissu ni ile falsafa aliyokuwa anapenda kuitumia Mugabe - Unapong'atwa na mbu kwenye mapumbu usimpige Kofi , tafuta njia sahihi ya kumuondoa Akimaanisha utakapo mpiga Kofi utamuua ndio lakini nawewe utaathirika Kwa kuyaumiza mapumbu Yako unaweza kuua nguvu za kiume pia na kubaki hanithi

Jambo dogo tu walilopaswa kujiuliza kama mtu alipigwa Risasi zote zile aka survive na Bado akarudi nchini kuendelea na mapambano ya kile anacho kiamini ni jambo Gani lingine linaloweza kumtisha !!!!!!

Ccm ni laana Nyerere alituachia tatizo zito nchini zaidi ya wakoloni
 
Tatizo mwenyekiti wetu ni mtu wa kukurupuka sana na anapaniki kwa haraka Yani hafanyi mambo kwa timing na kuangalia nini kitatokea mbele....kiukweli huyu mama anatuharibia chama chetu na atatupa shida sana miaka ya baadae kuwanadi wagombea wetu kwa wananchi......Eeeeh mwenyezi Mungu simama na chama chetu pendwa cha CCM
 
Attachments

  • IMG_20260821_170521~2.jpg
    IMG_20260821_170521~2.jpg
    627 KB · Views: 19
Lengo lao ni kutaka akutwe na hatia ili kumuondolea sifa ya kugombea nafasi yoyote ya kisiasa hii ikiwa ni plan B iwapo atagoma kuwapigia manoti.

Wangeweza kumpa kesi ya uchochezi ila wamechagua ya uhaini kwasababu kuna kitisho cha kunyongwa ili kumfanya awapigie magoti.
 
Mi sio mwanasheria na tangu awali naona kesi hii ilichukuliwa kisiasa zaidi Kwa pande zote mbili washtaki na mshtakiwa, shida inarudi kulekule kuanzia October 29, Kuna namna Fulani upande wa upinzani hawaamini vile mambo yanatokea, it's like Kila kinachofanyika kilikua kinalenga kumshinikiza mtawala kustep down hakufanya hivyo, hata mwenendo wa hii kesi wafuasi wengi wa TL walitegemea kuwa washtaki wanamzungusha then watamuachia na tukihisi aidha hawana ushahidi wa kutosha au hawana uwezo wa kuipigania hii kesi hata wakiambiwa TL ana kesi ya kujibu... Ila mpaka sasa mambo yanakua ni Surprise tu.. Nafkiri acha wapambane bila kutia huruma. Mchumia janga
 
sisi wana Ilboru, tumefundishwa kusimama kwenye kweli, no matter what!

ukishakuwa CHAWA tu huwezi kusimama kwenye ukweli LISU ameweza kwa sababu LISU sio chawa..

na sio sababu ni mwana ILBORU.ukiwa chawa hata uwe profesa,hata uwe mwana havard,..utakuwa sawa tu na lukasi mshmba na tlaa tla.
ukishachagua upande kaa upande mmoja kama chawa kuwa chawa kweli kama unasimamia ukweli simamia ukweli kikwelli kweli.
sina unakuwa vugu vugu si moto wa si baridi.
kuna wakati unakuwa lukasi mashamba kuba wakati unakuwa tindu lisu,chagua upande mmoja.
kuna mapatano gani kati ya NURU na GIZA...chagua moja ima NURU ama GIZA.
 
Ni Lissu huyo huyo ambaye alipinga ufisadi kwa nguvu zote lakini Lowassa alipogombea urais kupitia chama cha CHADEMA kwa ghafla, alipita akimsafisha kwenye kampeni.

Kwa hiyo Lissu hata na yeye sio PERFECT kama watu wanavyoaminishana.

Namkubali kisheria, namkubali kwa kurudi ulingoni hata baada ya kukutana na kifo uso kwa uso, namkubali kwa kurudisha ile Vibe ya CHADEMA kusimamia haki.

Lakini point ya CHADEMA kujiona wana legitimacy kwenye maridhiano ni kupora haki ya wananchi ambao wao ndio waliingia barabarani pasipo kujali vyama bali mustakabali wa nchi yao.

CHADEMA kuanza kutoa soft spot kwa serikali kuwa wamtoe Lissu ndio wakae meza moja. Ni dhahiri kuwa wanalegeza kamba kwa kutumia kete ya Lissu ambaye hayupo kifungoni kwa sababu ya oct 29. So wanatoa mwanya wa serikali kusolve hiki kitu kwa njia za kisiasa pasipo kuwa accountable kwa kikichotokea ndio maana hata CHADEMA inaimba maridhiano zaidi kuliko accountability

Ni wazi CHADEMA & Lissu wanaitumia kete ya oct 29 kisiasa zaidi kuliko kuondoa grievances za waathirika ndio maana wameidandia na kuikumbatia figure ya 518 kwa tabasamu lote..

So ukiniuliza mimi, kuna dalili CHADEMA inajichelewesha tu kuzuga ila eventually wataingia kwenye mfumo ila wakifanya hivyo watapoteza golden chance ya kumaliza mchezo 2030..

So wanachadema mkitaka kunivamia, shauri yenu, ila mimi sio mwanasiasa ni mwananchi tu nisiye na chama. Ila fungueni bongo zenu na muwaze clearly.

Wanasiasa wengi nchii hii wametofautiana upande ila nature ni ileile
 
Wanabodi

Utangulizi Kuhusu Mashuhuri na Maarufu
Mtu mashuhuri nambari moja, kwenye nchi yoyote ni mkuu wa nchi, rais, ila kunaweza kuwa na mtu mwingine ambaye sio mashuhuri, na akawa ni maarufu kuliko mkuu wa nchi!. Kwenye Uzinduzi wa TASAF II Uwanja wa Jamhuri Dodoma, mgeni rasmi ni Rais JK,, rais alipokuwa anaingia, tukatangaziwa na MC, wote tusimame kumpokea mgeni rasmi, Jukwaa Kuu wakasimama wote, majukwaa mengine hawana time!.

Wakati JK ameusha kaa, watu wa protocal, hawaruhusu tena mtu mwingine yoyote kuingia ndani kupitia geti kuu, msanii Diamond na msafara wake wa yale ma ndiga yake makali akafika geti kuu kutaka kuingia, msafara ukazuiliwa, akaelezwa lazima ushuke, azunguke kwa miguu kuingilia geti dogo!, kumbe kosa!, ile Diamond kushuka tuu na kuanza kutembea kuelekea geti dogo na wale ma bodyguards wake, kukaibuka kelele huko nje, watu wakamzonga, polisi wakashindwa nguvu, watu wa usalama sukumiza kule, umati ukavamia geti kubwa, sukumiza geti chini, Diamond kuingia tuu ndani, kila mtu alisimama hadi JK kuangalia hii ni vurugu ya nini, kumbe ni Diamond!, hivyo Dai alikuwa maarufu kuliko JK!.

Baada ya verdict ya prima facie, kwa Tundu Lissu, sasa Tundu Lissu ndie mwanasiasa maarufu number 1 Tanzania kuliko hata nanilii, hivyo kwa sisi tunaomjua, naomba tuwasaidie wengine wasiomjua, ili kuwasaoidie wamjue, kwasababu tunaweza kuwa tufanya vi mambo vya ajabu ajabu tukijua ndio tuna mkomoa, kumbe ndio tunamuongezea umaarufu, huku nchi yetu ikizidi kubagazwa na kuchafuliwa kimataifa, kwa viongozi wetu kufanya maamuzi bila kutumia kanuni ya The Law of Unintended Consequences, ukajikuta badala ya kujenga ndio unaharibu zaidi!.

Bandiko hili ni bandiko elimishi kumhusu Tundu Lissu ninayemfahamu mimi toka shuleni kule Ilboru. Kama kuna watu wanadhani kumpiga kwa Prima Facie will bow him down kunyenyekea!, they are dead wrong!, Lissu ni wale watu watu wa type ya no retreat, no surrender, unapigana kufa na kupona, mpaka risasi ya mwisho, chozi la mwisho na tone la mwisho la damu, ndipo its over!, hivyo kwa Lissu, it is not over untill it is over!, linapokuja suala la kutete haki, heri afe huku amesimama kuisimamia kweli na haki, kuliko kuishi huku amepiga magoti!.

Naomba kwanza ni declare interest, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa mahakama kuu, neno "tutakinukisha" sio uhaini ni sedition tuu!, hivyo kama mahakama yetu imeona kuna prima facie ya uhaini, kwa maoni yangu, nauona uamuzi huu kama unakwenda sio tuu kutubagaza nchi yetu, but to expose how rot our justice system is before the eyes of international community. Msimamo wangu kuhusu kesi hii ni ule ule Pascal Mayalla: Kusema Tutakinukisha au kuandamana ...

Kwa vile TL namfahamu, ni mwana Ilboru mwenzangu, so does Mwigulu Nchemba na Lazaro Nyalandu, sisi wana Ilboru, tumefundishwa kusimama kwenye kweli, no matter what!.

Kama lengo la hii prima facie, is to make TL to bow down kwa kuogopa kuhukumiwa kifo kwa kosa la uhaini, hivyo baada ya kukutwa na prima facie, atakutwa na hatia, na atahukumiwa kifo kwa kunyongwa mpaka afe!, lakini baada ya hukumu kutoka, atatokea a saviour fulani, atamsamehe TL kwa msamaha wa rais, hivyo TL atarejea uraiani kichwa chini na hawezi tena kugombea wadhifa wowote!, then they are doing a terrible mistake!, the law of unintended consequences will take charge, hili jambo linakwenda kututesa kama nchi kuliko linavyochukuliwa sasa!.

Sisi wana Ilboru, tumefunzwa kusimama na haki, kuliko kunyenyekea kwa wadhalimu, huwa tuko tayari kufa, huku tumsimama kwenye haki, kuliko kuishi huku tumepiga magoti kuwanyenyekea wadhalimu!, sasa kwa vile sii wengi wanamfahamu TL kijuu juu tuu, mimi ni mmoja wa tunao mfahamu TL kwa undani.
Ili kuwasaidia na wengine, wasiomjua TL kwa undani, huyu ndiye TL ninayemfahamu mimi

View: https://youtu.be/nl3DZK-bXOM?si=wb7HlEOxwPdnNNcd

Hivyo kama amepigwa PF ili apige magoti kunyenyekea na kuomba msamaha,, huyu ni mtu wa no retreat, no surrender!, kama "tutakinukisha" sio uhaini, lakini watu wenye nia ovu, wameamua kuhainisha neno
"tutakinukisha na kuwa uhaini", then TL ata opt bora anyongwe, ila damu yake iwakomboe Watanzania, kuliko kuwa huru huku amepiga magoti kuwanyenyekea madhalimu.

Mzee Pasco
Rejea za Mwandishi kumhusu Tundu Lissu

  • ​

Huyo akifa itakua vizuri zaidi,huyo na makamu wake,waliosema uchaguzi hautofanyika,tutakinukisha na kweli pakatokea vurugu,hao hawatakiwi kuuona mwanga wa jua na chama chao kifutwe
 
Lengo lao ni kutaka akutwe na hatia ili kumuondolea sifa ya kugombea nafasi yoyote ya kisiasa hii ikiwa ni plan B iwapo atagoma kuwapigia manoti.

Wangeweza kumpa kesi ya uchochezi ila wamechagua ya uhaini kwasababu kuna kitisho cha kunyongwa ili kumfanya awapigie magoti.
Huyo shenzy hatakiwi kuwa uraiani,ni vile sikupoteza ndugu oktoba,ningepoteza I personally ningewinda uhai wake
 
Watesi wake ni wajinga tu and mijitu isiyo jitambua inaweza sababisha Nchi kuingia kwenye machafuko zaidi kuliko before endapo lissu akihukumiwa Kwa influence Aliyonayo inaweza kuleta shida kubwa sana katika Taifa

Lakini Kwa kuwa mi- ccm ni vichaa hayalioni Hilo , lissu ni ile falsafa aliyokuwa anapenda kuitumia Mugabe - Unapong'atwa na mbu kwenye mapumbu usimpige Kofi , tafuta njia sahihi ya kumuondoa Akimaanisha utakapo mpiga Kofi utamuua ndio lakini nawewe utaathirika Kwa kuyaumiza mapumbu Yako unaweza kuua nguvu za kiume pia na kubaki hanithi

Jambo dogo tu walilopaswa kujiuliza kama mtu alipigwa Risasi zote zile aka survive na Bado akarudi nchini kuendelea na mapambano ya kile anacho kiamini ni jambo Gani lingine linaloweza kumtisha !!!!!!

Ccm ni laana Nyerere alituachia tatizo zito nchini zaidi ya wakoloni
Mfumo wa Sheria wa hii nchi umeoza...
 
Wanabodi

Utangulizi Kuhusu Mashuhuri na Maarufu
Mtu mashuhuri nambari moja, kwenye nchi yoyote ni mkuu wa nchi, rais, ila kunaweza kuwa na mtu mwingine ambaye sio mashuhuri, na akawa ni maarufu kuliko mkuu wa nchi!. Kwenye Uzinduzi wa TASAF II Uwanja wa Jamhuri Dodoma, mgeni rasmi ni Rais JK,, rais alipokuwa anaingia, tukatangaziwa na MC, wote tusimame kumpokea mgeni rasmi, Jukwaa Kuu wakasimama wote, majukwaa mengine hawana time!.

Wakati JK ameusha kaa, watu wa protocal, hawaruhusu tena mtu mwingine yoyote kuingia ndani kupitia geti kuu, msanii Diamond na msafara wake wa yale ma ndiga yake makali akafika geti kuu kutaka kuingia, msafara ukazuiliwa, akaelezwa lazima ushuke, azunguke kwa miguu kuingilia geti dogo!, kumbe kosa!, ile Diamond kushuka tuu na kuanza kutembea kuelekea geti dogo na wale ma bodyguards wake, kukaibuka kelele huko nje, watu wakamzonga, polisi wakashindwa nguvu, watu wa usalama sukumiza kule, umati ukavamia geti kubwa, sukumiza geti chini, Diamond kuingia tuu ndani, kila mtu alisimama hadi JK kuangalia hii ni vurugu ya nini, kumbe ni Diamond!, hivyo Dai alikuwa maarufu kuliko JK!.

Baada ya verdict ya prima facie, kwa Tundu Lissu, sasa Tundu Lissu ndie mwanasiasa maarufu number 1 Tanzania kuliko hata nanilii, hivyo kwa sisi tunaomjua, naomba tuwasaidie wengine wasiomjua, ili kuwasaoidie wamjue, kwasababu tunaweza kuwa tufanya vi mambo vya ajabu ajabu tukijua ndio tuna mkomoa, kumbe ndio tunamuongezea umaarufu, huku nchi yetu ikizidi kubagazwa na kuchafuliwa kimataifa, kwa viongozi wetu kufanya maamuzi bila kutumia kanuni ya The Law of Unintended Consequences, ukajikuta badala ya kujenga ndio unaharibu zaidi!.

Bandiko hili ni bandiko elimishi kumhusu Tundu Lissu ninayemfahamu mimi toka shuleni kule Ilboru. Kama kuna watu wanadhani kumpiga kwa Prima Facie will bow him down kunyenyekea!, they are dead wrong!, Lissu ni wale watu watu wa type ya no retreat, no surrender, unapigana kufa na kupona, mpaka risasi ya mwisho, chozi la mwisho na tone la mwisho la damu, ndipo its over!, hivyo kwa Lissu, it is not over untill it is over!, linapokuja suala la kutete haki, heri afe huku amesimama kuisimamia kweli na haki, kuliko kuishi huku amepiga magoti!.

Naomba kwanza ni declare interest, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa mahakama kuu, neno "tutakinukisha" sio uhaini ni sedition tuu!, hivyo kama mahakama yetu imeona kuna prima facie ya uhaini, kwa maoni yangu, nauona uamuzi huu kama unakwenda sio tuu kutubagaza nchi yetu, but to expose how rot our justice system is before the eyes of international community. Msimamo wangu kuhusu kesi hii ni ule ule Pascal Mayalla: Kusema Tutakinukisha au kuandamana ...

Kwa vile TL namfahamu, ni mwana Ilboru mwenzangu, so does Mwigulu Nchemba na Lazaro Nyalandu, sisi wana Ilboru, tumefundishwa kusimama kwenye kweli, no matter what!.

Kama lengo la hii prima facie, is to make TL to bow down kwa kuogopa kuhukumiwa kifo kwa kosa la uhaini, hivyo baada ya kukutwa na prima facie, atakutwa na hatia, na atahukumiwa kifo kwa kunyongwa mpaka afe!, lakini baada ya hukumu kutoka, atatokea a saviour fulani, atamsamehe TL kwa msamaha wa rais, hivyo TL atarejea uraiani kichwa chini na hawezi tena kugombea wadhifa wowote!, then they are doing a terrible mistake!, the law of unintended consequences will take charge, hili jambo linakwenda kututesa kama nchi kuliko linavyochukuliwa sasa!.

Sisi wana Ilboru, tumefunzwa kusimama na haki, kuliko kunyenyekea kwa wadhalimu, huwa tuko tayari kufa, huku tumsimama kwenye haki, kuliko kuishi huku tumepiga magoti kuwanyenyekea wadhalimu!, sasa kwa vile sii wengi wanamfahamu TL kijuu juu tuu, mimi ni mmoja wa tunao mfahamu TL kwa undani.
Ili kuwasaidia na wengine, wasiomjua TL kwa undani, huyu ndiye TL ninayemfahamu mimi

View: https://youtu.be/nl3DZK-bXOM?si=wb7HlEOxwPdnNNcd

Hivyo kama amepigwa PF ili apige magoti kunyenyekea na kuomba msamaha,, huyu ni mtu wa no retreat, no surrender!, kama "tutakinukisha" sio uhaini, lakini watu wenye nia ovu, wameamua kuhainisha neno
"tutakinukisha na kuwa uhaini", then TL ata opt bora anyongwe, ila damu yake iwakomboe Watanzania, kuliko kuwa huru huku amepiga magoti kuwanyenyekea madhalimu.

Mzee Pasco
Rejea za Mwandishi kumhusu Tundu Lissu

  • ​

Huyu ndio Pascal tunayemjua tangu enzi za Kitimoto.
 
Back
Top Bottom