Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea sana!

Ugomvi wa Lisu Vs Serikali ni kwamba Lisu hataki kunyenyekea, sasa wanataka kumnyenyekeza lakini naye ni mbishi.

Mbaya zaidi Tundu Lisu anaamini yupo upande wa Haki. Hilo linampq nguvu

Ilo la mwisho ni siraha kubwa aliyoshikilia .Lissu ni Magufuli wa aina yako Lissu pia ana element za udikteta flani japokua lissu Exposure yake ni kubwa
 
Huyo shenzy hatakiwi kuwa uraiani,ni vile sikupoteza ndugu oktoba,ningepoteza I personally ningewinda uhai wake

Mathayo 25:10​

Basi, wale wasichana wapumbavu walipokwenda kununua mafuta, bwana arusi akafika, na wale wasichana waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye katika jumba la harusi, kisha mlango ukafungwa
 
Wanabodi

Utangulizi Kuhusu Mashuhuri na Maarufu
Mtu mashuhuri nambari moja, kwenye nchi yoyote ni mkuu wa nchi, rais, ila kunaweza kuwa na mtu mwingine ambaye sio mashuhuri, na akawa ni maarufu kuliko mkuu wa nchi!. Kwenye Uzinduzi wa TASAF II Uwanja wa Jamhuri Dodoma, mgeni rasmi ni Rais JK,, rais alipokuwa anaingia, tukatangaziwa na MC, wote tusimame kumpokea mgeni rasmi, Jukwaa Kuu wakasimama wote, majukwaa mengine hawana time!.

Wakati JK ameusha kaa, watu wa protocal, hawaruhusu tena mtu mwingine yoyote kuingia ndani kupitia geti kuu, msanii Diamond na msafara wake wa yale ma ndiga yake makali akafika geti kuu kutaka kuingia, msafara ukazuiliwa, akaelezwa lazima ushuke, azunguke kwa miguu kuingilia geti dogo!, kumbe kosa!, ile Diamond kushuka tuu na kuanza kutembea kuelekea geti dogo na wale ma bodyguards wake, kukaibuka kelele huko nje, watu wakamzonga, polisi wakashindwa nguvu, watu wa usalama sukumiza kule, umati ukavamia geti kubwa, sukumiza geti chini, Diamond kuingia tuu ndani, kila mtu alisimama hadi JK kuangalia hii ni vurugu ya nini, kumbe ni Diamond!, hivyo Dai alikuwa maarufu kuliko JK!.

Baada ya verdict ya prima facie, kwa Tundu Lissu, sasa Tundu Lissu ndie mwanasiasa maarufu number 1 Tanzania kuliko hata nanilii, hivyo kwa sisi tunaomjua, naomba tuwasaidie wengine wasiomjua, ili kuwasaoidie wamjue, kwasababu tunaweza kuwa tufanya vi mambo vya ajabu ajabu tukijua ndio tuna mkomoa, kumbe ndio tunamuongezea umaarufu, huku nchi yetu ikizidi kubagazwa na kuchafuliwa kimataifa, kwa viongozi wetu kufanya maamuzi bila kutumia kanuni ya The Law of Unintended Consequences, ukajikuta badala ya kujenga ndio unaharibu zaidi!.

Bandiko hili ni bandiko elimishi kumhusu Tundu Lissu ninayemfahamu mimi toka shuleni kule Ilboru. Kama kuna watu wanadhani kumpiga kwa Prima Facie will bow him down kunyenyekea!, they are dead wrong!, Lissu ni wale watu watu wa type ya no retreat, no surrender, unapigana kufa na kupona, mpaka risasi ya mwisho, chozi la mwisho na tone la mwisho la damu, ndipo its over!, hivyo kwa Lissu, it is not over untill it is over!, linapokuja suala la kutete haki, heri afe huku amesimama kuisimamia kweli na haki, kuliko kuishi huku amepiga magoti!.

Naomba kwanza ni declare interest, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa mahakama kuu, neno "tutakinukisha" sio uhaini ni sedition tuu!, hivyo kama mahakama yetu imeona kuna prima facie ya uhaini, kwa maoni yangu, nauona uamuzi huu kama unakwenda sio tuu kutubagaza nchi yetu, but to expose how rot our justice system is before the eyes of international community. Msimamo wangu kuhusu kesi hii ni ule ule Pascal Mayalla: Kusema Tutakinukisha au kuandamana ...

Kwa vile TL namfahamu, ni mwana Ilboru mwenzangu, so does Mwigulu Nchemba na Lazaro Nyalandu, sisi wana Ilboru, tumefundishwa kusimama kwenye kweli, no matter what!.

Kama lengo la hii prima facie, is to make TL to bow down kwa kuogopa kuhukumiwa kifo kwa kosa la uhaini, hivyo baada ya kukutwa na prima facie, atakutwa na hatia, na atahukumiwa kifo kwa kunyongwa mpaka afe!, lakini baada ya hukumu kutoka, atatokea a saviour fulani, atamsamehe TL kwa msamaha wa rais, hivyo TL atarejea uraiani kichwa chini na hawezi tena kugombea wadhifa wowote!, then they are doing a terrible mistake!, the law of unintended consequences will take charge, hili jambo linakwenda kututesa kama nchi kuliko linavyochukuliwa sasa!.

Sisi wana Ilboru, tumefunzwa kusimama na haki, kuliko kunyenyekea kwa wadhalimu, huwa tuko tayari kufa, huku tumsimama kwenye haki, kuliko kuishi huku tumepiga magoti kuwanyenyekea wadhalimu!, sasa kwa vile sii wengi wanamfahamu TL kijuu juu tuu, mimi ni mmoja wa tunao mfahamu TL kwa undani.
Ili kuwasaidia na wengine, wasiomjua TL kwa undani, huyu ndiye TL ninayemfahamu mimi

View: https://youtu.be/nl3DZK-bXOM?si=wb7HlEOxwPdnNNcd

Hivyo kama amepigwa PF ili apige magoti kunyenyekea na kuomba msamaha,, huyu ni mtu wa no retreat, no surrender!, kama "tutakinukisha" sio uhaini, lakini watu wenye nia ovu, wameamua kuhainisha neno
"tutakinukisha na kuwa uhaini", then TL ata opt bora anyongwe, ila damu yake iwakomboe Watanzania, kuliko kuwa huru huku amepiga magoti kuwanyenyekea madhalimu.

Mzee Pasco
Rejea za Mwandishi kumhusu Tundu Lissu

  • ​

Umeeleweka P.Kuna uncle wangu aliesoma hapo nae Alikuwa mkweli na alivhokiamini,hamtoi!
 
Unajua kila jambo huwa lina effect yake. Ikitokea ameshindwa kutakuwa na madiliko makubwa hasa wakati itakapofikia hatua wa uwandikaji wa katiba mpya hata kama sio leo wala kesho, kwasababu kesi hii imeonyesha baadhi ya mapungufu ambayo mtuumiwa anakosa vitu flani flani kwa sababu zisizo za msingi katika hii karne ya sasa
 
Viongozi wasio na akili huogopa na kuchukia watu wenye akili nyingi
 
Ni Lissu huyo huyo ambaye alipinga ufisadi kwa nguvu zote lakini Lowassa alipogombea urais kupitia chama cha CHADEMA kwa ghafla, alipita akimsafisha kwenye kampeni.

Kwa hiyo Lissu hata na yeye sio PERFECT kama watu wanavyoaminishana.

Namkubali kisheria, namkubali kwa kurudi ulingoni hata baada ya kukutana na kifo uso kwa uso, namkubali kwa kurudisha ile Vibe ya CHADEMA kusimamia haki.

Lakini point ya CHADEMA kujiona wana legitimacy kwenye maridhiano ni kupora haki ya wananchi ambao wao ndio waliingia barabarani pasipo kujali vyama bali mustakabali wa nchi yao.

CHADEMA kuanza kutoa soft spot kwa serikali kuwa wamtoe Lissu ndio wakae meza moja. Ni dhahiri kuwa wanalegeza kamba kwa kutumia kete ya Lissu ambaye hayupo kifungoni kwa sababu ya oct 29. So wanatoa mwanya wa serikali kusolve hiki kitu kwa njia za kisiasa pasipo kuwa accountable kwa kikichotokea ndio maana hata CHADEMA inaimba maridhiano zaidi kuliko accountability

Ni wazi CHADEMA & Lissu wanaitumia kete ya oct 29 kisiasa zaidi kuliko kuondoa grievances za waathirika ndio maana wameidandia na kuikumbatia figure ya 518 kwa tabasamu lote..

So ukiniuliza mimi, kuna dalili CHADEMA inajichelewesha tu kuzuga ila eventually wataingia kwenye mfumo ila wakifanya hivyo watapoteza golden chance ya kumaliza mchezo 2030..

So wanachadema mkitaka kunivamia, shauri yenu, ila mimi sio mwanasiasa ni mwananchi tu nisiye na chama. Ila fungueni bongi zenu na muwaze clearly.

Wanasiasa wengi nchii hii wametofautiana upande ila nature ni ileile
Unachanganya mchele na pumba.

Wapi Chadema wamejimilikisha maridhiano? Wao wametoa msimamo wao kama nyie mnataka kwenda kwenye maridhiano Nendeni.

Suala la Lowassa liliamuliwa na Kamati kuu ya chadema. Ulitaka apuuze jambo lililopitishwa kwa kura na walio wengi? After all kulikuwa na dhana ya ufisadi ndani ya mifumo ya CCM. Mormons Chadema isingempa magari ya kufanya ufisadi. Unaweza kukubaliana nao au usikubaliane nao Lakini hiyo ni hoja mezani.
 
Mueleze kama amekuelewa.
 
Back
Top Bottom