Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea sana!

Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea sana!

We ndiyo maana Magufuli alikustukia kwamba ni mtunwa hovyo, Ilboru nimesoma mimi tena ikiwa special.school siyo ya wakati wa Lissu hakuna huo upumbavu unaoupamba. Kimsingi umekosa sifa ya kuwa afisa wa mahakama kuu maana umeingilia mahakama na unataka kuilazimisha kwa matakwa yako! Sheria ya nchi hii haijui personality ya mtu, km ni mbishi ni yeye, kufungwa anaweza kufungwa na hakuna kitachotokea. Km kweli ni mwamba asiyeoogopa kufa kwanini aliikimbia nchi mwaka 2020 wakati wa Magu? We ni mpotoshaji, mwongo, tapeli, uwezo wako wa kufanya uchambuzi ni mdogo sana. Anamjaribu Rais Samia labda kwa kuwa ni mzanzibari na ni mwanamke! Huyo lofa anaweza kupotezwa km wengine hakuna cha consequences, hakuna mkubwa kuliko hii nchi. Tena mshukuruni Samia vingine habari zake zingeshasahaulika!
Lete maana ya Neno kukinukisha toka kwenye kamusi kwanza tuone kama unasitahili Uteuzi?
 
Lissu kwa sasa ndio sura ya upinzani nchini kwa hiyo hata yeye najua kuna kete anazicheza vizuri kwa sababu akikosea step, political career yake inakufa.
Bila shaka, na ndio maana wanaotaka akapige goti labda hawaelewi itakuwa na implications gani kwenye career ya Lissu. Au wanafahamu ila wanacheza kekundu kekundu.
Uzuri ni mmoja. Yeye ndiye ameshikilia makali kwa sababu international community ipo nyuma yake kwa hiyo kesi yake. Si kama zingine za internal affairs kwa hiyo hii inampa upperhand kwenye negotiation zozote
Unawaamini hawa?
Hivyo kuna namna hii issue nzima ni ya

Ego mbili zilizokutana na zote zina power ya kutosha
Thinking of power kaka… Nadhani Lissu ana followers merely, wataka mabadiliko wote wanamuangalia yeye. Sasa kwa necha ya nchi yetu hii si kitu, real power wanayo watawala, na so far watawala mpaka sasa wameshatumia mbinu zote za ukandamizaji, ile 29 october wamecement tu, Kwa watu wa umri wetu hatujawahi kuona kitu kama kike popote nchini.

Swali je? Wanachi wametishika? Naona hapana ila wananchi wamebanwa, siioni chance ya watawala kuweka uzani wananchi waoneshe hasira zao kwa box la kura, au hata kutoa mwanya wa maandamano, ikitokea hivyo tutashuhudia maandamano makubwa ya ajabu nchini, until then sioni watawala wakizimbea hata kidogo. Haya yote hayampi favor Lissu wala mpinzani yeyote, so tell us more about power hasa ya upande wa pili.
 
Bila shaka, na ndio maana wanaotaka akapige goti labda hawaelewi itakuwa na implications gani kwenye career ya Lissu. Au wanafahamu ila wanacheza kekundu kekundu.

Unawaamini hawa?

Thinking of power kaka… Nadhani Lissu ana followers merely, wataka mabadiliko wote wanamuangalia yeye. Sasa kwa necha ya nchi yetu hii si kitu, real power wanayo watawala, na so far watawala mpaka sasa wameshatumia mbinu zote za ukandamizaji, ile 29 october wamecement tu, Kwa watu wa umri wetu hatujawahi kuona kitu kama kike popote nchini.

Swali je? Wanachi wametishika? Naona hapana ila wananchi wamebanwa, siioni chance ya watawala kuweka uzani wananchi waoneshe hasira zao kwa box la kura, au hata kutoa mwanya wa maandamano, ikitokea hivyo tutashuhudia maandamano makubwa ya ajabu nchini, until then sioni watawala wakizimbea hata kidogo. Haya yote hayampi favor Lissu wala mpinzani yeyote, so tell us more about power hasa ya upande wa pili.

Lissu power yake ni intervention ya nje,

Je, nawaamini HAPANA

Kwa sababu wanachokifanya ni kutumia kesi ya Lissu kwa ajili ya COLD WAR ambayo imevishwa sura ya Demokrasia

Angalia Eastern vs Western block zote zinachezwa Tanzania. Fuatilia ongezeko la influence ya China na Russia ndio utaelewa kwa nini Western countries zimeikaliza kooni Tz kuliko Rwanda.. SIMPLE

Msingidani analijua hili, na anajua international pressure inampa back up kwa sababu wote wana same interest against a common enemy. So yeye pia ana kete kubwa tu

Na hili si jambo jipya kihistoria

Kwa hiyo ukiona msingidani kakaa ndani naamini kuna TERMS hazijafikiwa ndio maana rulers wanaona kheri athari za nje kuliko athari za ndani zitazotokea kama msingidani hatokuwa nao kwenye same page

Kwa hiyo hata msingidani sio mnyonge kwenye hili na atapoteza advantage yake kama Western countries zitapotezea maslahi yake bongo. Kitu ambacho hakiwezekani
 
Duh, nahitaji muda ku-contemplate hili.

Na hili si jambo jipya kihistoria

Kwa hiyo ukiona msingidani kakaa ndani naamini kuna TERMS hazijafikiwa ndio maana rulers wanaona kheri athari za nje kuliko athari za ndani zitazotokea kama msingidani hatokuwa nao kwenye same page

Kwa hiyo hata msingidani sio mnyonge kwenye hili na atapoteza advantage yake kama Western countries zitapotezea maslahi yake bongo. Kitu ambacho hakiwezekani
Aiseee!

Nimeona nisiandike kingine.

Good time brother.
 
Wanabodi

Utangulizi Kuhusu Mashuhuri na Maarufu
Mtu mashuhuri nambari moja, kwenye nchi yoyote ni mkuu wa nchi, rais, ila kunaweza kuwa na mtu mwingine ambaye sio mashuhuri, na akawa ni maarufu kuliko mkuu wa nchi!. Kwenye Uzinduzi wa TASAF II Uwanja wa Jamhuri Dodoma, mgeni rasmi ni Rais JK,, rais alipokuwa anaingia, tukatangaziwa na MC, wote tusimame kumpokea mgeni rasmi, Jukwaa Kuu wakasimama wote, majukwaa mengine hawana time!.

Wakati JK ameusha kaa, watu wa protocal, hawaruhusu tena mtu mwingine yoyote kuingia ndani kupitia geti kuu, msanii Diamond na msafara wake wa yale ma ndiga yake makali akafika geti kuu kutaka kuingia, msafara ukazuiliwa, akaelezwa lazima ushuke, azunguke kwa miguu kuingilia geti dogo!, kumbe kosa!, ile Diamond kushuka tuu na kuanza kutembea kuelekea geti dogo na wale ma bodyguards wake, kukaibuka kelele huko nje, watu wakamzonga, polisi wakashindwa nguvu, watu wa usalama sukumiza kule, umati ukavamia geti kubwa, sukumiza geti chini, Diamond kuingia tuu ndani, kila mtu alisimama hadi JK kuangalia hii ni vurugu ya nini, kumbe ni Diamond!, hivyo Dai alikuwa maarufu kuliko JK!.

Baada ya verdict ya prima facie, kwa Tundu Lissu, sasa Tundu Lissu ndie mwanasiasa maarufu number 1 Tanzania kuliko hata nanilii, hivyo kwa sisi tunaomjua, naomba tuwasaidie wengine wasiomjua, ili kuwasaoidie wamjue, kwasababu tunaweza kuwa tufanya vi mambo vya ajabu ajabu tukijua ndio tuna mkomoa, kumbe ndio tunamuongezea umaarufu, huku nchi yetu ikizidi kubagazwa na kuchafuliwa kimataifa, kwa viongozi wetu kufanya maamuzi bila kutumia kanuni ya The Law of Unintended Consequences, ukajikuta badala ya kujenga ndio unaharibu zaidi!.

Bandiko hili ni bandiko elimishi kumhusu Tundu Lissu ninayemfahamu mimi toka shuleni kule Ilboru. Kama kuna watu wanadhani kumpiga kwa Prima Facie will bow him down kunyenyekea!, they are dead wrong!, Lissu ni wale watu watu wa type ya no retreat, no surrender, unapigana kufa na kupona, mpaka risasi ya mwisho, chozi la mwisho na tone la mwisho la damu, ndipo its over!, hivyo kwa Lissu, it is not over untill it is over!, linapokuja suala la kutete haki, heri afe huku amesimama kuisimamia kweli na haki, kuliko kuishi huku amepiga magoti!.

Naomba kwanza ni declare interest, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa mahakama kuu, neno "tutakinukisha" sio uhaini ni sedition tuu!, hivyo kama mahakama yetu imeona kuna prima facie ya uhaini, kwa maoni yangu, nauona uamuzi huu kama unakwenda sio tuu kutubagaza nchi yetu, but to expose how rot our justice system is before the eyes of international community. Msimamo wangu kuhusu kesi hii ni ule ule Pascal Mayalla: Kusema Tutakinukisha au kuandamana ...

Kwa vile TL namfahamu, ni mwana Ilboru mwenzangu, so does Mwigulu Nchemba na Lazaro Nyalandu, sisi wana Ilboru, tumefundishwa kusimama kwenye kweli, no matter what!.

Kama lengo la hii prima facie, is to make TL to bow down kwa kuogopa kuhukumiwa kifo kwa kosa la uhaini, hivyo baada ya kukutwa na prima facie, atakutwa na hatia, na atahukumiwa kifo kwa kunyongwa mpaka afe!, lakini baada ya hukumu kutoka, atatokea a saviour fulani, atamsamehe TL kwa msamaha wa rais, hivyo TL atarejea uraiani kichwa chini na hawezi tena kugombea wadhifa wowote!, then they are doing a terrible mistake!, the law of unintended consequences will take charge, hili jambo linakwenda kututesa kama nchi kuliko linavyochukuliwa sasa!.

Sisi wana Ilboru, tumefunzwa kusimama na haki, kuliko kunyenyekea kwa wadhalimu, huwa tuko tayari kufa, huku tumsimama kwenye haki, kuliko kuishi huku tumepiga magoti kuwanyenyekea wadhalimu!, sasa kwa vile sii wengi wanamfahamu TL kijuu juu tuu, mimi ni mmoja wa tunao mfahamu TL kwa undani.
Ili kuwasaidia na wengine, wasiomjua TL kwa undani, huyu ndiye TL ninayemfahamu mimi

View: https://youtu.be/nl3DZK-bXOM?si=wb7HlEOxwPdnNNcd

Hivyo kama amepigwa PF ili apige magoti kunyenyekea na kuomba msamaha,, huyu ni mtu wa no retreat, no surrender!, kama "tutakinukisha" sio uhaini, lakini watu wenye nia ovu, wameamua kuhainisha neno
"tutakinukisha na kuwa uhaini", then TL ata opt bora anyongwe, ila damu yake iwakomboe Watanzania, kuliko kuwa huru huku amepiga magoti kuwanyenyekea madhalimu.

Mzee Pasco
Rejea za Mwandishi kumhusu Tundu Lissu

  • ​

Ni sawa na kumpiga teke chura unadhani unamkomoa kumbe ndio unamuongezea hatua.
 
Serikali ikishaongozwa na kilazaa utaona kila aina ya ujinga!
Lissu angekuwa ametoka siku nyingi.

Ila kwa yaliyotokea 29/10/2025, Viongozi wanahofu na baruti ya hasira iliyolundikana mioyoni mwa waathirika na wahanga.

Hiyo baruti inasubiri mtu kama Lissu kuichokonoa kidogo tu, inalipuka. Na mlipuko wake sio wa kitoto.

Nionavyo mimi ni vigumu mno kumwachia Lissu katika mazingira ya sasa kutokana na kumbukumbu bado hazijawatoka wafiwa, wajane kwa yatima na wazee waliopoteza maelfu ya vijana.
 
sisi wana Ilboru, tumefundishwa kusimama kwenye kweli, no matter what!

ukishakuwa CHAWA tu huwezi kusimama kwenye ukweli LISU ameweza kwa sababu LISU sio chawa..

na sio sababu ni mwana ILBORU.ukiwa chawa hata uwe profesa,hata uwe mwana havard,..utakuwa sawa tu na lukasi mshmba na tlaa tla.
ukishachagua upande kaa upande mmoja kama chawa kuwa chawa kweli kama unasimamia ukweli simamia ukweli kikwelli kweli.
sina unakuwa vugu vugu si moto wa si baridi.
kuna wakati unakuwa lukasi mashamba kuba wakati unakuwa tindu lisu,chagua upande mmoja.
kuna mapatano gani kati ya NURU na GIZA...chagua moja ima NURU ama GIZA.

Uzi ufungwe hapa.
 
Mi sio mwanasheria na tangu awali naona kesi hii ilichukuliwa kisiasa zaidi Kwa pande zote mbili washtaki na mshtakiwa, shida inarudi kulekule kuanzia October 29, Kuna namna Fulani upande wa upinzani hawaamini vile mambo yanatokea, it's like Kila kinachofanyika kilikua kinalenga kumshinikiza mtawala kustep down hakufanya hivyo, hata mwenendo wa hii kesi wafuasi wengi wa TL walitegemea kuwa washtaki wanamzungusha then watamuachia na tukihisi aidha hawana ushahidi wa kutosha au hawana uwezo wa kuipigania hii kesi hata wakiambiwa TL ana kesi ya kujibu... Ila mpaka sasa mambo yanakua ni Surprise tu.. Nafkiri acha wapambane bila kutia huruma. Mchumia janga
mchango wa mpumbavu utaujua tu
 
Bandiko bora sana kutoka kwako mzee mkubwa.

Natamani hao wanaopambaniwa na TAL wazinduke usingizini wakomboe uhuru na haki zao.

Wao pekee ndiyo wenye uwezo wa kumkomboa TAL na kujikomboa kutoka mikononi mwa madhalimu wanyonyaji wa haki.

#Hallelujah!!!
 
Lissu power yake ni intervention ya nje,

Je, nawaamini HAPANA

Kwa sababu wanachokifanya ni kutumia kesi ya Lissu kwa ajili ya COLD WAR ambayo imevishwa sura ya Demokrasia

Angalia Eastern vs Western block zote zinachezwa Tanzania. Fuatilia ongezeko la influence ya China na Russia ndio utaelewa kwa nini Western countries zimeikaliza kooni Tz kuliko Rwanda.. SIMPLE

Msingidani analijua hili, na anajua international pressure inampa back up kwa sababu wote wana same interest against a common enemy. So yeye pia ana kete kubwa tu

Na hili si jambo jipya kihistoria

Kwa hiyo ukiona msingidani kakaa ndani naamini kuna TERMS hazijafikiwa ndio maana rulers wanaona kheri athari za nje kuliko athari za ndani zitazotokea kama msingidani hatokuwa nao kwenye same page

Kwa hiyo hata msingidani sio mnyonge kwenye hili na atapoteza advantage yake kama Western countries zitapotezea maslahi yake bongo. Kitu ambacho hakiwezekani
Well said...
Ila mtawala zile taarabu zake za "who are you?" Zilikua zinaonesha kabisa namna amejipanga na athari za so called "cold war" na ni kama tayari Alisha settle njia yake ya kutokea!!
 
Back
Top Bottom