Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe

Watu wameuawa tume uchwara ikaenda Kizimkazi kumridhisha Malikia Yezebeli?
Kumuita binadamu yeyote Yezebeli, sio jina la heshima, sembuse huyo uliyemuita!.
Zingatia hoja za bandiko hili!.
P
 
Even the devil was once an angel. Alipokengeuka akawa shetani mpaka leo. Hakuna anayemuita malaika any more!
Huu ndio uzuri wa Mungu, shetani akitubu, anasamehewa na kurejea kuwa malaika!.
Haya mambo ya Mungu na shetani, akina sisi tuliwashauri watu humu, Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani na hapa PreGE2025 - Uchaguzi Wetu ni Umungu/Ushetani? Anayekinukisha kuuzuia Uchaguzi wa Kimungu ni Shetani, ila Kama ni wa Kishetani, anayeuzuia Afanya Kazi ya Mungu au?
P.
 
Last time I checked, neither the devil nor the Kizimkazi’s fazafaka had taken the trouble to repent!
 
Yaani huyu Samia bana…..kila afunguapo domo lake kuongelea
Naendelea kusisitiza matumizi ya lugha za kistaarabu na lugha za kiungwana kwa heshima ya jf.

Kwa sisi wa zamani humu, enzi zetu, mwana wa mwenzio ni mwanao, ukipita mahali ukakuta mtoto anatukana matusi, unamwadhibu na kumpeleka kwa wazazi wake nao wanamwadhibu.

Vivyo hivyo kwa watoto, baba au mama wa mwenzio ni baba yako na mama yako, hivyo Rais Samia, zaidi ya kuwa ni rais wetu, ambapo Watanzania wote, despite all the odds, tunawajibu wa kumheshimu ile heshima ya lazima ya wajibu, kwasababu ndiye kiongozi wetu mkuu, pia huyu ni mwanamke na ni mama, kuna ile heshima ya kawaida ya curtesy
to address a lady kutumia lugha za kiungwana na kistaarabu.

Hii lugha iliyotumika hapa sio ya kiungwana, staha au ya kistaarabu, kwasababu huyu ni mama, ana watoto, jichukulie mwanae au wanae ni rafiki zako, mchukulie kama ni mama yako mzazi!.
Ni ushauri tuu, no offence intended!.

P
 
Natumai ujumbe umefika !
Ni kweli ujumbe umefika, ila kuna vitu vibaya watu wanavifanya bila wao kujijua kuwa vinawaletea laana!, mtunajikuta mambo yako hayakunyookei, ukijiuliza sababu, hupati jibu, wenye imani duni, wanaweza kuamini kuwa wamelogwa, kumbe ni umejichumia dhambi na laana za kumtukana mtu wa umri wa mama yako mzazi, laana ya kumtukana mama wa mwingine inakushukia kama vile umemtukana mama yako!.

P
 
Muuaji hastahili heshima yoyote ile.

Samia ni muuaji. Kashindwa kuheshimu utu na ubinadamu wa Watanzania.

Katoa amri wauliwe hovyo hovyo.

Anastahili heshima gani huyo?

Wewe kama unampenda sana endelea kumheshimu.

Mimi siwezi kumheshimu muuaji aliyeua hadi watoto wadogo kabisa kwa kuwapiga risasi za kuulia tembo.

Fuk Samia 🖕

 
Huyu ni mke wa mtu, ni mama wa mtu, ni kiongozi mkuu wa nchi, despite all the odds, huwezi kumuita kwa hilo jina!, suppose angekuwa ni mama yako mzazi, ungemuita hivyo?!.
Sisi wa Afrika na Watanzania, mtu atu akiwa na umri wa mama yako, ni mama yako, unamuheshimu kama mama yako!
Shika adabu yako na ikushike!.

Kuna watu majina yenu ni ma icon humu jf, tena kama sikosei wewe uko kwenye ile Top Ten ya Wana JF wa mwanzo ile 2006, nyinyi ndio ma legendary, kama unaweza kumuita hivyo huyu mtu wetu, unawafundisha nini hawa madogo humu?.

Pia nimekunote, kila ukitukana, unaweka graphic photos za dilapidated dead bodies za watoto, that is morbid curiosity!,
its sickness!, ni sadism hivyo you could be sadist bila kujijua!, mwenzako ni huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea? tena niliuliza PostGE2025 - Voices from Within: Mauaji ya wananchi Dar, tusiwalaumu Polisi. Je Amri ya kuua Ilitoka kwa muuaji huyu?
P
 
Naam,

Hawa nao ni Watanzania. Ni watoto wa Watanzania ambao huyo unayedai ni kiongozi wa nchi, ni mke wa mtu, mama wa mtu, ndo alitoa amri ya kuwaua kisa tu wamekutwa barabarani au wamekutwa kwenye vibanda wakiangalia mpira.

Hawa watoto wa Watanzania hawatorudi tena. Uhai wao umechukuliwa kutokana na ukatili wa Samia.

Cumma la mamake huyo Samia. Ni muuaji mkatili asiyestahili heshima yoyote ile.

Anachostahili ni kuadhibiwa kwa kifo chenye maumivu makali kupita yote.

Na wewe unayemuunga mkono huyo muuaji, cumma la mamako pia.

Wewe ombea usije ukakutana na mimi bado ukiwa hai maana nitaugeuza uso wako kuwa pepperoni pizza.

Malaya Samia ni wa kuuliwa tu. Hawezi kuachwa aendelee kuishi kwa kutumia kodi za watu ambao kawaulia watoto wao.

This is wrong. It is indefensible. And the bitch will pay. Fuk her and fuk you, too.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…