HESHIMA KUBWA: Jukwaa la uwanja kupewa jina la Okrah huko Ghana

HESHIMA KUBWA: Jukwaa la uwanja kupewa jina la Okrah huko Ghana

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Klabu yake ya zamani ya Bechem imempa heshima kubwa sana, katika uwanja wao wanajenga jukwaa jipya kwa pesa zote walizopata za kumuuuza Okrah kwenda simba sc na jukwaa hilo litaitwa kwa jina lake, Augustine Okrah stand.

bechem.JPG
 
Attachments

  • okrahhhhh.JPG
    okrahhhhh.JPG
    20.3 KB · Views: 6
Lage alivyo waita mbumbumbu hakukosea. Aya mambo muwe mnaandikiana kwenye page zeny za Simba kuficha umbumbumbu wenu sio uku kwenye watu wenye akili timamu.
 
tulieni mpelekewe moto ngao ya jamii,,, hao wachezaji wenu wapya wameenda misri kujiandaa wakati hawajazoea atmosphere ya bongo... ngoja waje kujionea wakitoka huko kwenye mabweni ya shule mlikoenda kuweka kambi.

Kuwakamua manyonyo hakukwepeki 😂😂😂
mmejinyea aisee, manara alikuwa sahihi, msimu uliopita kazi ilikuw akushangilia kwa kutingisha manyonyo kama mayele mkajipatia na jina kabisa, useless idiots
 
mmejinyea aisee, manara alikuwa sahihi, msimu uliopita kazi ilikuw akushangilia kwa kutingisha manyonyo kama mayele mkajipatia na jina kabisa, useless idiots
Karia kayakanyaga, ni kiongozi gani hivi ana ruhusa ya kutupa maneno machafu kama hayo na aitumie nguvu ya mamlaka yake kumfungia mtu aliekuwa anamrushia maneno.

Uzuri saizi ni kwamba mzee wa msoga ni kama rais kivuli, hii ishu itmchafua sana Karia na Manara anachukua points 3.
 
Lage alivyo waita mbumbumbu hakukosea. Aya mambo muwe mnaandikiana kwenye page zeny za Simba kuficha umbumbumbu wenu sio uku kwenye watu wenye akili timamu.
Kwani haji manara tarehe 25/07/2022 aliposema uto wote mna vinyesi kwenye chupi zenu alikosea?

Au yule legendary Luc Eymael aliposema yanga manyani,mambwa mnabweka bweka hovyo alikosea?
 
Kwani haji manara tarehe 25/07/2022 aliposema uto wote mna vinyesi kwenye chupi zenu alikosea?

Au yule legendary Luc Eymael aliposema yanga manyani,mambwa mnabweka bweka hovyo alikosea?
Hiyo ya Haji ni part two, part one alisema "pale yanga wenye akili ni wawili tu, Jakaya na dingi"
 
Huyu mwamba mpira anaujua sana ila ana ujinga mwingi.

Mbona siku za karibuni kumekuwa na mfululizo wa kufukua makaburi? Kama mmekosa vitu vya kujadili basi nijadilini hata mimi.
 
Back
Top Bottom