Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Fanya ujinga tukujadili.Huyu mwamba mpira anaujua sana ila ana ujinga mwingi.
Mbona siku za karibuni kumekuwa na mfululizo wa kufukua makaburi? Kama mmekosa vitu vya kujadili basi nijadilini hata mimi.