Fanya ujinga tukujadili.Huyu mwamba mpira anaujua sana ila ana ujinga mwingi.
Mbona siku za karibuni kumekuwa na mfululizo wa kufukua makaburi? Kama mmekosa vitu vya kujadili basi nijadilini hata mimi.
Lage ndio nani..mbona unaandika kama.....Lage alivyo waita mbumbumbu hakukosea. Aya mambo muwe mnaandikiana kwenye page zeny za Simba kuficha umbumbumbu wenu sio uku kwenye watu wenye akili timamu.
Alikufa na njaayuko wapi siku hizi [emoji1787]
Mbona kama unamaind vitu vidogo!!Huyu mwamba mpira anaujua sana ila ana ujinga mwingi.
Mbona siku za karibuni kumekuwa na mfululizo wa kufukua makaburi? Kama mmekosa vitu vya kujadili basi nijadilini hata mimi.
Hamna.... Yanga mnapenda kutrend ndiyo maana mnafukua makaburi.Mbona kama unamaind vitu vidogo!!
Punguza makasiriko mkuuHamna.... Yanga mnapenda kutrend ndiyo maana mnafukua makaburi.
Usikute mnalipwa posho kutrendisha habari zenu.Punguza makasiriko mkuu
Yanga bingwaAlikufa na njaa