Heshima kwa Dkt. Augustino Lyatonga Mrema

Kumbe upinzani haujafa. Tofauti ni kuwa this time Lisu hakubali akiibiwa kura.
 
Ngoja nikutie akili

Tofautisha nyakati, watanzania wameshajifunza kuwa hao wanaotoka ccm hasa ukaribiapo uchaguzi mkuu ni mamluki.

Waliona kwa huyo mrema, lowasa na sasa Membe.

Lissu hajahama toka ccm, lakini unaona mwitikio wa watu?
Mtakojolea chupi mwaka huu

Mahali alipo Mungu hapana fujo ila PANATISHA
Alipo shetani panafujo
Rejea kwa mrema na lowasa
 
Wajinga pia uzeeka tupo 2020 theory za miaka 25 iliyo pita hazi ingii apa .badilikaaaa
 
Mkuu unadhani kwanini magufuli analalamika kila siku,usishangae mwaka huu nyekundu ikaitwa nyekundu.usiishi kwa mazoea,
 
Tofauti ya chaguzi za awamu zote hizo na uchaguzi wa leo ni kubwa sana.

1) Mgombea wa upinzani amenusurika na kifo toka kwa watawala.

2) Serikali ya awamu hii katili waziwazi pasipo kificho kwa wananchi wake.(ubabe na ujeuri wa viongozi wa serikali hii)

3) Hakuna ulinzi kwa raia tena kama tunavyo ambiwa miaka yote na watawala. ( utekaji wa watu,kuuliwa watu ovyo aswa wanaoikosoa serikali ya mtukufu)
4) n.k

Kupitia kero hizo ndizo zinatofautishwa na chaguzi zote zilizopita na uchaguzi huu.

Kwanza watu wengi wameanza kujitambua,ndiyo maana kila uchaguzi upinzani unazidi kuimarika zaidi. Na sasa upinzani unamuondoa CCM madarakani.
 
Mku kwa hali ilivyo juu ya Lisu sidhani kama alivyodai ushindi wa mezani hatakubali kurudi nyuma kama alivyojinasibu.Na hili mwanaccm mwenzangu wakati umebadilika kumbuka vuguvugu la upinzani limezidi kukua kwani Mrema na Lisu ni watu wawili tofauti kwa msimamo na kila kitu.

Kwa ujumla Lisu ana nafasi kubwa na backup.

Kwa mwelewa Lisu ndo mwenye mamuzi ya mwisho juu juu siasa zetu
 
sasa wewe Tanzania ya 1995 unailinganisha na Tanzania ya sasa?

itoshe tu kusema umepungukiwa na akili
 
Tulioshiriki uchaguzi mkuu wa 1995 Mkapa vs Mrema hatushangazwi na hizi mbwembwe za Tundu Lisu, lazima atafeli!
Koma kumfananisha Mh. Tundu Antiphas Lissu na vitu vya kijinga. Mzee wa Kiraracha alikuwa anabebwa na wafuasi wake alioambatana nao kutoka CCM na si wana mageuzi waliohangaika juani wakipigania uwepo wa demokrasia ya vyama vingi.

Awali akiwa CCM kabla kwa tamaa ya kuusaka Urais baada kupitia NCCR Mageuzi, kama Waziri Mkuu mdogo, aliongoza mashambulizi dhidi ya wana mageuzi yaliyowaacha wengi wakiwa vilema. Tuliopenda Mageuzi kutoka moyoni hatukuhangaika hata kujitokeza kumpigia kura.

Mh. Tundu Antiphas Lissu alianza kutetea utawala wa haki na usawa kabla ya kumaliza shule na aliendelea na harakati hizo hata kabla hajaukwaa Ubunge. Eti leo unathubutu kumfananisha na mlafi aliyewapa watu siku saba akizengea hongo kwa wafanya biashara wa kihindi, koma kabisa!
 
Miongoni mwa waliokuwa wakimbeba Lyatonga huyu Lisu alikuwamo!
 
Unaishi kwa historia? Lafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…