Heshima kwa nyumba inapaswa kusimamiwa na mwanaume kwanza

GoLC

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2025
Posts
268
Reaction score
466
Habari za asubuhi wana MMU

Naleta kwenu mada. Tujadili tafadhali. Mwanaume afanye nini katika himaya yake ili kauli yake ndio iwe hitimisho la mijadala?

Mfano mdogo ni kwamba nimelumbana na wife jana kuhusu kugawa vitu bila ridhaa yangu (au niseme bila maridhiano kwanza kwamba nataka kufanya hili). Sasa hapo aliwaka kweli na kusema, hili linakutoa roho? Na maneno mengine mengi. Unajua tena wanawake.

I can handle it ila sio mbaya kujua toka kwenu pia ni kwa vipi ifike mabali mwanamke atambue hana kauli ya mwisho?
 
Hayo ya kutafutq hesjima yalikua enzi za bibi zetu sio wanawake wa sasa ambapo ukimuoa unaambiwa akikushinda mrudishe. Bibi zetu kipindi wanaolewa wanaambiwa hapa hurudi tena huna mji. We timiza majukum yako na kuwe na mipaka ya kutovunjiana heshima.
 
Siku hizi hadi vihamba wanapewa
 
Pole sana mkuu kwa kukosea kuoa.

Hili swala la nafasi yake ulipaswa kumweleza kabla hujamuoa
 
Hayo ya kutafutq hesjima yalikua enzi za bibi zetu sio wanawake wa sasa ambapo ukimuoa unaambiwa akikushinda mrudishe. Bibi zetu kipindi wanaolewa wanaambiwa hapa hurudi tena huna mji. We timiza majukum yako na kuwe na mipaka ya kutovunjiana heshima.
Ukioa familia yenye hizo kauli ndoa yako haiwezi kudumu kamwe
 
Nikirejea tamthilia ya Juakali, inatupa fundishon OVU sana juu ya hatma ya maisha ya ndoa hasa tukiangazia ndoa ya Diba na Anna. Labda mtunzi anajua atahitimisha vipi ila kama mfuatiliaji ataishia njiani atapata picha kwamba kumbe ni rahisi kwa mke kukimbia ndoa yake na kurudi kwao. Na akiwa kwao anaishi kama hajaolewa vile
 
Baadhi ya mila,tamaduni au dini humpa Mume kua kiongozi mwenye mamlaka ya mwisho ya kufanya maamuzi katika baadhi ya maeneo,yakihusishwa na wajibu wao wa haki na ulinzi katika familia,

But kwa mitazamo ya kisasa inasisitiza zaidi ushirikiano,mawasiliano au makubaliano ya pamoja,unatakiwa upatane na mkeo ili kukubaliana kugawanya maamuzi kwa nyanja tofauti katika maisha yenu,

Issue ya mkeo kugawa vitu ni minor issue coz hatujui kwanini amegawa,pengine kuna mtu alikua ana shida akaona amsaidie kwa vile ameona kua nyinyi vitu hivyo mnavyo vya kutosha,

Approaching yako kwa mkeo kwenye hiyo issue inaonekana haikua yakiustaarabu,pengine ulianza kwa kumfokea tu kwa kujiaminisha kua wewe ndio mtawala wa nyumba na ndio mwenye mamlaka,maisha ya leo hayaendi hivyo,zama zilisha badilika,tumia zaidi akili kuliko ukali au utawala wa kimabavu.

Good luck.
 
Ila sio hatua ya awali hiyo. Ya awali ni ipi kwako?
1. Unamuelekeza.
2. Unamuelekeza Tena
3. Unamkataza
4. Unamuonya
5. Unamuonya Tena
6. Kelbu
7. Kelbu Tena
8. Unampamdisha cheo anakuwa mke mkubwa. JEURI ITAISHIA HAPA
 
🤣 Hapo kumpandisha cheo sasa. Labda asijue maana kwa trend hiyo naye atakupandisha cheo
 
Baadhi ya mila,tamaduni au dini humpa Mume kua kiongozi mwenye mamlaka ya mwisho ya kufanya maamuzi katika baadhi ya maeneo,yakihusishwa na wajibu wao wa haki na ulinzi katika familia,

But kwa mitazamo ya kisasa inasisitiza zaidi ushirikiano,mawasiliano au makubaliano ya pamoja,unatakiwa upatane na mkeo ili kukubaliana kugawanya maamuzi kwa nyanja tofauti katika maisha yenu,

Issue ya mkeo kugawa vitu ni minor issue coz hatujui kwanini amegawa,pengine kuna mtu alikua ana shida akaona amsaidie kwa vile ameona kua nyinyi vitu hivyo mnavyo vya kutosha,

Approaching yako kwa mkeo kwenye hiyo issue inaonekana haikua yakiustaarabu,pengine ulianza kwa kumfokea tu kwa kujiaminisha kua wewe ndio mtawala wa nyumba na ndio mwenye mamlaka,maisha ya leo hayaendi hivyo,zama zilisha badilika,tumia zaidi akili kuliko ukali au utawala wa kimabavu.

Good luck.
Asante kwa maoni mazuri. All in all haya maisha yana trick sana. Kadhalika suala la u minor likichukuliwa ki minor, hawa wadau hujiongeza toka hapo.

Nachoamini ipo misingi fulani ya kujengeana kiasi kwamba mke anajua nikifanya hili nitaleta disturbance. And vice versa is true.

Misingi hii inajengwa kwa jasho, damu, kejeli, kashfa, dharau, na hata matusi. Sasa mwanaume akihofia kuwa kwa kuwa hili ni dogo, basi katika udogo huo mwanamke hukuza na kuanza kuamua na makubwa pia pasina ridhaa. Imani yangu ni kwamba, kinachotuhusu lazima kiwe na ridhaa ya pande mbili, maana huwezi kujua kwa udogo huo kina thamani kiasi gani kwangu ile kushirikisha tu. Na hii ni kwa wote.

Ukitaka kujua kuna shida sehemu, nawe fanya jambo kama hilo kisha utaona mwitikio wake. Hii imani imejengeka kwa wanawake kwamba mkishatia mguu nyumbani, basi mama anashika usukani, wakati sio hivyo
 
Usiwe mtu wa kujibishana nae. Kama anagawa vitu basi hakikisha unaleta vingine ila viwe limited. Mfano unaweza kununua chochote kinachotosha kwa siku hiyo. Akigawa laleni njaa. Kama sio chakula basi usinunue tena ila akija mgeni mpate aibu. Atanyooka
Watoto je? Yani watoto wangu walale njaa ili kumkomoa mwanamke?
 
Usiwe mtu wa kujibishana nae. Kama anagawa vitu basi hakikisha unaleta vingine ila viwe limited. Mfano unaweza kununua chochote kinachotosha kwa siku hiyo. Akigawa laleni njaa. Kama sio chakula basi usinunue tena ila akija mgeni mpate aibu. Atanyooka
Pia kuna vitu vingine zaidi ya chakula
 
Kwa kizazi hiki cha usawa wa kijinsia ni ngumu kumkalisha kama huna nguvu za kiume, kama unazo we mchape kisawa sawa atatulia tu, wanawake wengi wa siku hizi wanapoingia kwenye ndoa huwa ni watulivu sana kosa akupatie mtoto hapo tear amani ndani ya nyumba inatoweka, na kama huna nguvu za kiume (humkuni vyema) kama nilivyo sema akikutazama anakuona kama mbuzi aliyekosa majani anakalibia kujifia mwezi ujao.
 
🤣 Hapo kumpandisha cheo sasa. Labda asijue maana kwa trend hiyo naye atakupandisha cheo
Yeye atachepuka. Mwanaume unaoa mke wa pili hata kama dini haikuruhusu ilikradi jamii inayokuzunguka na ndugu wanajua hiyo ni sawa kabisa.
 
Kama anagawa vitu tafuta kitu chake anachopenda mfano nguo,pochi,viatu,wigi, halafu vichukue ukaviweke sehemu mbali na nyumbani.

Akianza kuviulizia unamwambia umegawa kuna mdada hapo mtaani alikuwa anashida navyo akimaindi muulize amejisikiaje wewe kufanya maamuzi yanayomuathiri yeye kibinafsi bila kumshirikisha kama mke?

Atakachokujibu usiendeleze mjadala nenda kachukue vitu vyake mrejeshee. Halafu kaa kimya. Muandikie tu sms mwambie " nadhani leo sote tumejifunza kitu, kuwa wewe ni mbinafsi unajali zaidi unachotaka wewe na sio tunachotaka pamoja, huo ni utoto".
 
Nikirejea tamthilia ya Juakali, inatupa fundishon OVU sana juu ya hatma ya maisha ya ndoa hasa tukiangazia ndoa ya Diba na Anna. Labda mtunzi anajua atahitimisha vipi ila kama mfuatiliaji ataishia njiani atapata picha kwamba kumbe ni rahisi kwa mke kukimbia ndoa yake na kurudi kwao. Na akiwa kwao anaishi kama hajaolewa vile
Mwandishi na Director ni mwanamke, feminist.
 
Back
Top Bottom