Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Kuharibiana tu hesabu. Muda mwingine unakuta mtu una nunua vitu vya mwezi mzima ili usisumbuke katikati ya mwezi. Mtu analeta upopoma wa kugawa vitu kwani yeye ni mtoto mdogo asiyejua bajeti au mipaka ya vitu?Usiwe mtu wa kujibishana nae. Kama anagawa vitu basi hakikisha unaleta vingine ila viwe limited. Mfano unaweza kununua chochote kinachotosha kwa siku hiyo. Akigawa laleni njaa. Kama sio chakula basi usinunue tena ila akija mgeni mpate aibu. Atanyooka
Ukiweka utaratibu wa kununua vitu kila siku kuna siku mnaamka vibaya hali haijakaa sawa then inakuwa usumbufu.
Pia manunuzi ya vitu kila siku ni gharama sana ukifanya total stock cost.