Siku hizi hadi vihamba wanapewaHayo ya kutafutq hesjima yalikua enzi za bibi zetu sio wanawake wa sasa ambapo ukimuoa unaambiwa akikushinda mrudishe. Bibi zetu kipindi wanaolewa wanaambiwa hapa hurudi tena huna mji. We timiza majukum yako na kuwe na mipaka ya kutovunjiana heshima.
Pole sana mkuu kwa kukosea kuoa.Habari za asubuhi wana MMU
Naleta kwenu mada. Tujadili tafadhali. Mwanaume afanye nini katika himaya yake ili kauli yake ndio iwe hitimisho la mijadala?
Mfano mdogo ni kwamba nimelumbana na wife jana kuhusu kugawa vitu bila ridhaa yangu (au niseme bila maridhiano kwanza kwamba nataka kufanya hili). Sasa hapo aliwaka kweli na kusema, hili linakutoa roho? Na maneno mengine mengi. Unajua tena wanawake.
I can handle it ila sio mbaya kujua toka kwenu pia ni kwa vipi ifike mabali mwanamke atambue hana kauli ya mwisho?
Ukioa familia yenye hizo kauli ndoa yako haiwezi kudumu kamweHayo ya kutafutq hesjima yalikua enzi za bibi zetu sio wanawake wa sasa ambapo ukimuoa unaambiwa akikushinda mrudishe. Bibi zetu kipindi wanaolewa wanaambiwa hapa hurudi tena huna mji. We timiza majukum yako na kuwe na mipaka ya kutovunjiana heshima.
1. Unamuelekeza.Ila sio hatua ya awali hiyo. Ya awali ni ipi kwako?
🤣 Hapo kumpandisha cheo sasa. Labda asijue maana kwa trend hiyo naye atakupandisha cheo1. Unamuelekeza.
2. Unamuelekeza Tena
3. Unamkataza
4. Unamuonya
5. Unamuonya Tena
6. Kelbu
7. Kelbu Tena
8. Unampamdisha cheo anakuwa mke mkubwa. JEURI ITAISHIA HAPA
Asante kwa maoni mazuri. All in all haya maisha yana trick sana. Kadhalika suala la u minor likichukuliwa ki minor, hawa wadau hujiongeza toka hapo.Baadhi ya mila,tamaduni au dini humpa Mume kua kiongozi mwenye mamlaka ya mwisho ya kufanya maamuzi katika baadhi ya maeneo,yakihusishwa na wajibu wao wa haki na ulinzi katika familia,
But kwa mitazamo ya kisasa inasisitiza zaidi ushirikiano,mawasiliano au makubaliano ya pamoja,unatakiwa upatane na mkeo ili kukubaliana kugawanya maamuzi kwa nyanja tofauti katika maisha yenu,
Issue ya mkeo kugawa vitu ni minor issue coz hatujui kwanini amegawa,pengine kuna mtu alikua ana shida akaona amsaidie kwa vile ameona kua nyinyi vitu hivyo mnavyo vya kutosha,
Approaching yako kwa mkeo kwenye hiyo issue inaonekana haikua yakiustaarabu,pengine ulianza kwa kumfokea tu kwa kujiaminisha kua wewe ndio mtawala wa nyumba na ndio mwenye mamlaka,maisha ya leo hayaendi hivyo,zama zilisha badilika,tumia zaidi akili kuliko ukali au utawala wa kimabavu.
Good luck.
Watoto je? Yani watoto wangu walale njaa ili kumkomoa mwanamke?Usiwe mtu wa kujibishana nae. Kama anagawa vitu basi hakikisha unaleta vingine ila viwe limited. Mfano unaweza kununua chochote kinachotosha kwa siku hiyo. Akigawa laleni njaa. Kama sio chakula basi usinunue tena ila akija mgeni mpate aibu. Atanyooka
Pia kuna vitu vingine zaidi ya chakulaUsiwe mtu wa kujibishana nae. Kama anagawa vitu basi hakikisha unaleta vingine ila viwe limited. Mfano unaweza kununua chochote kinachotosha kwa siku hiyo. Akigawa laleni njaa. Kama sio chakula basi usinunue tena ila akija mgeni mpate aibu. Atanyooka
Yeye atachepuka. Mwanaume unaoa mke wa pili hata kama dini haikuruhusu ilikradi jamii inayokuzunguka na ndugu wanajua hiyo ni sawa kabisa.🤣 Hapo kumpandisha cheo sasa. Labda asijue maana kwa trend hiyo naye atakupandisha cheo
Mwandishi na Director ni mwanamke, feminist.Nikirejea tamthilia ya Juakali, inatupa fundishon OVU sana juu ya hatma ya maisha ya ndoa hasa tukiangazia ndoa ya Diba na Anna. Labda mtunzi anajua atahitimisha vipi ila kama mfuatiliaji ataishia njiani atapata picha kwamba kumbe ni rahisi kwa mke kukimbia ndoa yake na kurudi kwao. Na akiwa kwao anaishi kama hajaolewa vile