Kuharibiana tu hesabu. Muda mwingine unakuta mtu una nunua vitu vya mwezi mzima ili usisumbuke katikati ya mwezi. Mtu analeta upopoma wa kugawa vitu kwani yeye ni mtoto mdogo asiyejua bajeti au mipaka ya vitu?Usiwe mtu wa kujibishana nae. Kama anagawa vitu basi hakikisha unaleta vingine ila viwe limited. Mfano unaweza kununua chochote kinachotosha kwa siku hiyo. Akigawa laleni njaa. Kama sio chakula basi usinunue tena ila akija mgeni mpate aibu. Atanyooka
So anashuka cheo, sio? Anaend kuwa namba 2 huko nje. Kumbe kuna mambo angefanya/sacrifice ili msifike hukoYeye atachepuka. Mwanaume unaoa mke wa pili hata kama dini haikuruhusu ilikradi jamii inayokuzunguka na ndugu wanajua hiyo ni sawa kabisa.
Hahahaaaa... Somo limefika mahali pake. Jibu lake utasikia, GUBU hiloKama anagawa vitu tafuta kitu chake anachopenda mfano nguo,pochi,viatu,wigi, halafu vichukue ukaviweke sehemu mbali na nyumbani.
Akianza kuviulizia unamwambia umegawa kuna mdada hapo mtaani alikuwa anashida navyo akimaindi muulize amejisikiaje wewe kufanya maamuzi yanayomuathiri yeye kibinafsi bila kumshirikisha kama mke?
Atakachokujibu usiendeleze mjadala nenda kachukue vitu vyake mrejeshee. Halafu kaa kimya. Muandikie tu sms mwambie " nadhani leo sote tumejifunza kitu, kuwa wewe ni mbinafsi unajali zaidi unachotaka wewe na sio tunachotaka pamoja, huo ni utoto".
Ujumbe huu murua ni kwetu soteHakuna kitu kibaya sana duniani kama kuoa mwanamke mliyesoma shule moja au mnayelingana elimu na kipato(HAPA HAMTANIELEWA)
-hakuna kitu kibaya kama kuendesha familia kwa kutumia sheria za darasani(kama mlivyokuwa darasani mnasoma)
-ukio feminist hii ndo hatari yake
-hakuna kitu kibaya kuoa mwanamke anayemtii mchungaji zaidi ya mme wake.
-Kuna hatari sana kuoa mwanamke aliyeanza kujitegemea kisiri siri kuanzia mambo yake ya kifedha.
-JITAHIDI SANA KUMUOMBA MUNGU AKUPE ROHO YA UVUMILIVU(KUWA NA KIFUA)
-JITAHIDI SANA KUWA KARIBU NA WAZAZI WAKO/NDUGU WA UPANDE WAKO, MAANA HATIMA YA NDOA YENU SI NZURI (UTAKAPOGEUKWA UPATE PA KUEGEMEA)
-KAMA MPO MJINI JITAHD KWENDA KWENU KIJIJIN KUWASALIMIA NDUGU NA KUFANYA IBADA ZA KIKWENU/KUTOKANA NA IMANI YENU MAANA MWISHO WENU SI MZURI
-WE KAMA MWANAUME JITAHIDI SANA KUTUNZA AKIBA YAKO YA KIFEDHA KIMYA KIMYA ILI ANGALAU MWISHO WAKO UTAKAPOKUWA MBAYA UANZE NA CHOCHOTE.(zingatia sana hii pointi)
Yeah. Namjua na nilishamfuatilia ndio maana.Kwa hiyo anautumia ufeminist vilivyo, sio?
Miaka ya nyuma niliwahi kwenda kwa uncle, aunt nae alikuwa na tabia hizi. Ikifika jioni ananiambia, "mpwa twende tukanyoooshe miguu"...Watoto je? Yani watoto wangu walale njaa ili kumkomoa mwanamke?
Ushauri ndio huuUsiwe mtu wa kujibishana nae. Kama anagawa vitu basi hakikisha unaleta vingine ila viwe limited. Mfano unaweza kununua chochote kinachotosha kwa siku hiyo. Akigawa laleni njaa. Kama sio chakula basi usinunue tena ila akija mgeni mpate aibu. Atanyooka
Naam...Kwa hiyo mnaenda kula kwingine? 🤠