Wewe na nani? After all ht yeye hakutaki. Ni kwamba unajipendekeza tu kumtajatajaHatumtaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na nani? After all ht yeye hakutaki. Ni kwamba unajipendekeza tu kumtajatajaHatumtaki
Heshima zingine muwe mnasuburi zinakuja. Sio kuziforce. mtaambulia matusi watu wafungiwe.Jinsi hali ilivyo mbaya hasa maeneo ya Kijijini na hata mijini pia, Serikali inajaribu kuweka mamba sawa
- Unajiuliza utawalipaje watumishi mishahara.
Uongeze ajira mpya mana wasio na Ajira ni wengi na hali ni mbaya
- Ufanye maendeleo katika uongozi wako
-Ujibu matusi unayotukanwa mitandaoni.
-Unawza kufanyia kazi maoni ya wananchi.
-unawaza usalama wa Nchi.
- Mawiri wanaleta proposal zao kwako uboreshe.
- utekeleze sera na Ilani ya chama chako
-Ushirikiano wa na nchi nyingine
- yani kila kona ya hii nchi inataka ufanye jambo litakalo wanufaisha.
Alafu kuna mtu ametenga bajeti ya mamilioni ya pesa ili kukuchafua nchi nzima, kwamba wew ni Nothing.
Hata pale unapofanya jambo Ili uyatimize majukumu yako vyema, bado watu wanakufata fata.
Haya Nyie mmewahi toa hata kibaba kimoja kwa masikini?
Hata kuzitembele kaya masikini mmewahi?
Hata charity hakuna.
Tangu mmeanza Siasa za upinzani mmewahi hata kujenga shule ya msingi? Hata darasa moja tuseme hili lilijengwa na Chama Flani basi, Hakuna.
Mnataka kuweka mafuta magari mzunguke nchi nzima majukwaani mkieneze Chuki na Matusi,.
Hebu kuweni na huruma na Ustaarabu 😂🙏🏾
Tangu 1961 tunajaribu tu?? Kwanini tusiwape nchi dp world?Jinsi hali ilivyo mbaya hasa maeneo ya Kijijini na hata mijini pia, Serikali inajaribu kuweka mamba sawa
Kwani pesa anatoa mfukoni mwake ama ni hizi kodi na tozo tunazolipa sisi walalahoi??- Unajiuliza utawalipaje watumishi mishahara.
Kama kazi imekuwa ngumu kuna option ya kuachia ngazi pia, usitegemee kusifiwa kwa majukumu unayopaswa kuyafanya ingawaje ukiyafanya vyema zaidi hautakosa kupongezwa. Kwenye taifa lenye watu milioni 60 usitegemee wote wakusifie iwe kwa wema au ubaya. Chapa kaziUongeze ajira mpya mana wasio na Ajira ni wengi na hali ni mbaya
- Ufanye maendeleo katika uongozi wako
-Ujibu matusi unayotukanwa mitandaoni.
-Unawza kufanyia kazi maoni ya wananchi.
-unawaza usalama wa Nchi.
- Mawiri wanaleta proposal zao kwako uboreshe.
- utekeleze sera na Ilani ya chama chako
-Ushirikiano wa na nchi nyingine
- yani kila kona ya hii nchi inataka ufanye jambo litakalo wanufaisha.
Alafu kuna mtu ametenga bajeti ya mamilioni ya pesa ili kukuchafua nchi nzima, kwamba wew ni Nothing.
Hata pale unapofanya jambo Ili uyatimize majukumu yako vyema, bado watu wanakufata fata.
Haya Nyie mmewahi toa hata kibaba kimoja kwa masikini?
Hata kuzitembele kaya masikini mmewahi?
Hata charity hakuna.
Tangu mmeanza Siasa za upinzani mmewahi hata kujenga shule ya msingi? Hata darasa moja tuseme hili lilijengwa na Chama Flani basi, Hakuna.
Mnataka kuweka mafuta magari mzunguke nchi nzima majukwaani mkieneze Chuki na Matusi,.
Hebu kuweni na huruma na Ustaarabu 😂🙏🏾
[emoji1666]mimi tangu auze bandari na misitu yetu kwakweli heshima yangu imepungua, sitakuja kumpigia kura 2025. bora nipigie kura hata jiwe wakimshindanisha nalo. hata akitokea Bambo amegombea chama kingine nitampigia bambo au hata joti kuliko huyu mama.
Kala maokoto huyu sio bureNdugu urais sio mgumu hata kidogo kwenye hizi nchi za kiafrika! Stop overrating things