Sijui wapoje? NIDA ina taarifa zote,Sasa BARUA za uthibitisho za Nini?Haya wekeni namna rahisi ya kuzipata basi! Hawawezi kuweka urahisi aaaaaah!heslb ni wasengewasenge sana page yao tushalalamika kuhusu icho kitu lakin wapo kimya tu
wanatia hasira n kufikirisha sana sjui shida nn serikalini viongozi uelewa ni mdogo sana ni kama wanafanya mambo kwa nihemkoSijui wapoje? NIDA ina taarifa zote,Sasa BARUA za uthibitisho za Nini?Haya wekeni namna rahisi ya kuzipata basi! Hawawezi kuweka urahisi aaaaaah!
Sisi tulipinga kuanzishwa kwa bodi ya mikopo pale UDSM tukapigwa sana mabomuBodi ya mikopo ya elimu ya juu tuoneeni huruma watanzania jamani.Hiki kipengele Cha kuweka BARUA ya UTAMBULISHO tena kutoka huko kwenye app ya NaPA imekuwa ni changamoto sana.kwani;
1.Watu wengi hawana kumbukumbu za taarifa zao walizotumia kujaza wakati wa zoezi la anuani za makazi.Hata hivyo taarifa ziliwekwa za wenye nyumba na kama mtu ni mpangaji inakuwa ngumu kuzipata hizo taarifa hata akienda Kwa mtendaji wa Kijiji kufuatilia.
2.Watendaji nao hawaelewi kitu hata ukifika kuuliza.
3.Muda unaotumika ni mkubwa kuzunguka huko.
NB: Mambo ya postikodi,namba ya nyumba kulazimika kuwekwa ni usumbufu na changamoto pia.
Nadhani matumizi ya NIDA ndo yangekuwa kila kitu na suluhisho kwa waombaji,wazazi na wadhamini.kwani nida ina kila kitu na taarifa zote za wahusika.ingetumika hii na hayo mengine ondoeni yamekuwa kikwazo na ngumu kufanikisha uombaji.wengi tumekwama,tunaomba msaada tafadhari.
Kaka unacomplicatisha tu hili jambo kuliko uhalisia wake, taarifa pekee unazopaswa kukumbuka ni aidha namba ya simu ama NIDA no, co kingine, na hata kama utasahau hizo taarifa zote(kitu ambacho co rahisi) basi ukumbuke jina la mtaa wako, namba ya nyumba na jina la barabara....ambavyo vyote hivyo unavipata kama utatumia public app ya NaPA (bofya jihudumia > anwani za karibu yako) ukiwa hapo home kwenu....nakujibu kama mwanafunzi mwenzio ambaye nimemaliza process zoote in just 2 daysBodi ya mikopo ya elimu ya juu tuoneeni huruma watanzania jamani.Hiki kipengele Cha kuweka BARUA ya UTAMBULISHO tena kutoka huko kwenye app ya NaPA imekuwa ni changamoto sana.kwani;
1.Watu wengi hawana kumbukumbu za taarifa zao walizotumia kujaza wakati wa zoezi la anuani za makazi.Hata hivyo taarifa ziliwekwa za wenye nyumba na kama mtu ni mpangaji inakuwa ngumu kuzipata hizo taarifa hata akienda Kwa mtendaji wa Kijiji kufuatilia.
2.Watendaji nao hawaelewi kitu hata ukifika kuuliza.
3.Muda unaotumika ni mkubwa kuzunguka huko.
NB: Mambo ya postikodi,namba ya nyumba kulazimika kuwekwa ni usumbufu na changamoto pia.
Nadhani matumizi ya NIDA ndo yangekuwa kila kitu na suluhisho kwa waombaji,wazazi na wadhamini.kwani nida ina kila kitu na taarifa zote za wahusika.ingetumika hii na hayo mengine ondoeni yamekuwa kikwazo na ngumu kufanikisha uombaji.wengi tumekwama,tunaomba msaada tafadhari.
Halafu kingine kaka mkubwa, HESLB wanataka kujua wanufaika wa mkopo wanakaa wapi, NIDA taarifa zake zinaishia katani tu, ila NAPA kwa maelezo ya HESLB ni kwamba wana taarifa za mpaka location ya ulipo ww, mmiliki wa nyumba yako ama wategemezi wengine unaoishi nao....lengo la serikali ni kuwezesha urejeshaji wa mikopo badaye ....so again, NIDA haina kila kitu, sana sana kwny NAPA kuna NIDA ila NIDA hawana taarifa za NAPA (location ya mhusika), kaka ukikwama wapigie simu wahusika...mimi nimepata msaada kupitia call centre yaoBodi ya mikopo ya elimu ya juu tuoneeni huruma watanzania jamani.Hiki kipengele Cha kuweka BARUA ya UTAMBULISHO tena kutoka huko kwenye app ya NaPA imekuwa ni changamoto sana.kwani;
1.Watu wengi hawana kumbukumbu za taarifa zao walizotumia kujaza wakati wa zoezi la anuani za makazi.Hata hivyo taarifa ziliwekwa za wenye nyumba na kama mtu ni mpangaji inakuwa ngumu kuzipata hizo taarifa hata akienda Kwa mtendaji wa Kijiji kufuatilia.
2.Watendaji nao hawaelewi kitu hata ukifika kuuliza.
3.Muda unaotumika ni mkubwa kuzunguka huko.
NB: Mambo ya postikodi,namba ya nyumba kulazimika kuwekwa ni usumbufu na changamoto pia.
Nadhani matumizi ya NIDA ndo yangekuwa kila kitu na suluhisho kwa waombaji,wazazi na wadhamini.kwani nida ina kila kitu na taarifa zote za wahusika.ingetumika hii na hayo mengine ondoeni yamekuwa kikwazo na ngumu kufanikisha uombaji.wengi tumekwama,tunaomba msaada tafadhari.
hichi kipengele ni kibano kwanza kwa wanafunzi na kwa wazazi ila baadaye raisi au serikali itajitokeza kwamba serikali yenu sikivu imesikia kiliochenu wanafunzi na wazazi hivyo hicho kipengele kimeondolewa hadi pale elimu itakapotolewa vizuri kwa jamii. usisahau huu ni mwaka wa uchaguziBodi ya mikopo ya elimu ya juu tuoneeni huruma watanzania jamani.Hiki kipengele Cha kuweka BARUA ya UTAMBULISHO tena kutoka huko kwenye app ya NaPA imekuwa ni changamoto sana.kwani;
1.Watu wengi hawana kumbukumbu za taarifa zao walizotumia kujaza wakati wa zoezi la anuani za makazi.Hata hivyo taarifa ziliwekwa za wenye nyumba na kama mtu ni mpangaji inakuwa ngumu kuzipata hizo taarifa hata akienda Kwa mtendaji wa Kijiji kufuatilia.
2.Watendaji nao hawaelewi kitu hata ukifika kuuliza.
3.Muda unaotumika ni mkubwa kuzunguka huko.
NB: Mambo ya postikodi,namba ya nyumba kulazimika kuwekwa ni usumbufu na changamoto pia.
Nadhani matumizi ya NIDA ndo yangekuwa kila kitu na suluhisho kwa waombaji,wazazi na wadhamini.kwani nida ina kila kitu na taarifa zote za wahusika.ingetumika hii na hayo mengine ondoeni yamekuwa kikwazo na ngumu kufanikisha uombaji.wengi tumekwama,tunaomba msaada tafadhari.
hakuna cha bodi zile ni ofisi za ccmSisi tulipinga kuanzishwa kwa bodi ya mikopo pale UDSM tukapigwa sana mabomu
je mwanafunzi ambaye taarifa zake hazikujazwa kwenye anuani ya makazi unafikiri anaweza fanya hivyo kirahisi, halafu kwanza napa ukiwapigia simu hawapokeiKaka unacomplicatisha tu hili jambo kuliko uhalisia wake, taarifa pekee unazopaswa kukumbuka ni aidha namba ya simu ama NIDA no, co kingine, na hata kama utasahau hizo taarifa zote(kitu ambacho co rahisi) basi ukumbuke jina la mtaa wako, namba ya nyumba na jina la barabara....ambavyo vyote hivyo unavipata kama utatumia public app ya NaPA (bofya jihudumia > anwani za karibu yako) ukiwa hapo home kwenu....nakujibu kama mwanafunzi mwenzio ambaye nimemaliza process zoote in just 2 days
hata kama hujasajiliwa, kutojua namba yako ya nyumba, jina la barabara unapoishi ni zaidi ya uzembe kwa mwanafunzi uliyemaliza form 6je mwanafunzi ambaye taarifa zake hazikujazwa kwenye anuani ya makazi unafikiri anaweza fanya hivyo kirahisi, halafu kwanza napa ukiwapigia simu hawapokei
vyooote huvijui sawa, unashindwa kutumia public app ya napa ya kudownload tu playstore ili ujue namba yako ya nyumba??!je mwanafunzi ambaye taarifa zake hazikujazwa kwenye anuani ya makazi unafikiri anaweza fanya hivyo kirahisi, halafu kwanza napa ukiwapigia simu hawapokei
Unaomba mkopo halafu unatukana as if ni mkopo ni kitu cha lazima kua na nidhamu tuna ndugu zetu hukoheslb ni wasengewasenge sana page yao tushalalamika kuhusu icho kitu lakin wapo kimya tu