HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

vyooote huvijui sawa, unashindwa kutumia public app ya napa ya kudownload tu playstore ili ujue namba yako ya nyumba??!
Ishu siyo namba ya nyumba,ishu nikwamba ili ujihudumie na kupata OTP kwa hiyo app na kumbukumbu namba lazma mfumo uwe unakuatambua kwanza kwa kusajiliwa na mtendaji,mfumo hauruhusi eti ukidawaload tu hiyo app ujisajili taarifa zako hapana
 
Mwanafunzi wa chuo kikuu anapaswa kugoma na kupaza sauti siyo kuwa chawa. Niligomea kuanzishwa kwa bodi ya mikopo kwakuwa nilijua madhira yatokatokayo
Wewe unataka huruma humu??
Sasa mwanzo si ndio huu, uligomea na imeanzishwa, jitihasada zako hazikuzaa matunda ndio maana vijana wanateseka sasa.
 
Mtateseka sana. Kwasababu mnafikiri chuo kikuu ni sehemu ya kwend kupiga selfie. Ww tangu uanze chuo ulishawahi kushiriki mgomo wowote???
 
Nimeshangaa kupigiwq simu kuulizwa mambo ya postikodi aisee.

Hiyo Napa ni kipengele, kwa sisi tuliowahi kufanya kazi za namna hiyo(Nida, anuani za makazi, sensa nk) ujazaji wa hizo data mara nyingi huwa na changamoto mno.

Ni afadhali Nida inaweza kua na taarifa sahihi kama muhisika alivyotaka iwe, japo nako kuna makosa ya majina nk.
Ila hizo anuani na sensa ambazo muhusika haoni kinachojazwa, hathibitishi kama hizo taarifa zimeenda basi ni changamoto mno zikitegemewa taarifa za namna hiyo.

Wajazaji wenyewe walikua wanalalqmia shida ya mtandao, baadhi yao hata matumizi ya vifaa husika ilikua changamoto, bado taarifa nyingi hazikujumuishwa mfano namba za simu na majina mengine ya wakazi.
 
Nani aliekwambia kushiriki mgomo ndio akili au njia sahihi ya kudai haki??

Mmekalilishwa vibaya sana.
 
Nimeshangaa kupigiwq simu kuulizwa mambo ya postikodi aisee.

Hiyo Napa ni kipengele, kwa sisi tuliowahi kufanya kazi za namna hiyo(Nida, anuani za makazi, sensa nk) ujazaji wa hizo data mara nyingi huwa na changamoto mno.

Ni afadhali Nida inaweza kua na taarifa sahihi kama muhisika alivyotaka iwe, japo nako kuna makosa ya majina nk.
Ila hizo anuani na sensa ambazo muhusika haoni kinachojazwa, hathibitishi kama hizo taarifa zimeenda basi ni changamoto mno zikitegemewa taarifa za namna hiyo.

Wajazaji wenyewe walikua wanalalqmia shida ya mtandao, baadhi yao hata matumizi ya vifaa husika ilikua changamoto, bado taarifa nyingi hazikujumuishwa mfano namba za simu na majina mengine ya wakazi.
nida haina location, taarifa za napa pia zipo online ukizitaka unarequest unatumiwa code kwny simu yako unatumiwa mzigo wako wote unausoma, kitu kingine hukijui ni kuwa anayeupdate taarifa za nida upo naye mtaani kwako, kitu chcht hakipo sawa unamfata tu mtendaji anakurekebishia..so mzee haupo sawa
 
Kingine NIDA hawana location, wala relation
 
nida haina location, taarifa za napa pia zipo online ukizitaka unarequest unatumiwa code kwny simu yako unatumiwa mzigo wako wote unausoma, kitu kingine hukijui ni kuwa anayeupdate taarifa za nida upo naye mtaani kwako, kitu chcht hakipo sawa unamfata tu mtendaji anakurekebishia..so mzee haupo sawa
Ati nini? Nida hiihii au unaongelea Nida ya nchi nyingine isiyo na changamoto??

Nida hii ambayo watu mpaka kesho hawana namba wala vitambulisho lisha ya kujisajili kwa muda mrefu??

Ina uafadhali lakini sio ya uhakika kwa asilimia zote.
 
soma vizuri kabla ya kujibu, unachanganya madesa
 
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu tuoneeni huruma watanzania jamani. Hiki kipengele Cha kuweka BARUA ya UTAMBULISHO tena kutoka huko kwenye app ya NaPA imekuwa ni changamoto sana. kwani;

1. Watu wengi hawana kumbukumbu za taarifa zao walizotumia kujaza wakati wa zoezi la anuani za makazi. Hata hivyo taarifa ziliwekwa za wenye nyumba na kama mtu ni mpangaji inakuwa ngumu kuzipata hizo taarifa hata akienda Kwa mtendaji wa Kijiji kufuatilia.

2. Watendaji nao hawaelewi kitu hata ukifika kuuliza.

3. Muda unaotumika ni mkubwa kuzunguka huko.

NB: Mambo ya postikodi, namba ya nyumba kulazimika kuwekwa ni usumbufu na changamoto pia.

Nadhani matumizi ya NIDA ndio yangekuwa kila kitu na suluhisho kwa waombaji, wazazi na wadhamini. Kwani nida ina kila kitu na taarifa zote za wahusika. Ingetumika hii na hayo mengine ondoeni yamekuwa kikwazo na ngumu kufanikisha uombaji. Wengi tumekwama, tunaomba msaada tafadhari.
Kwahiyo HESLB hawaamini taarifa za zako za nida badala yake wanataka waamini taarifa za baba mwenye nyumba wako?

Mbona kama kituko hivi
 
soma vizuri kabla ya kujibu, unachanganya madesa
Kwani Nida inatumikaje na taasisi nyingine??
Nadhani wewe hukuelewa nilicholenga.

Nida ina makosa kibao, na sababu za makosa hayo ni pamoja na ubovu wa ujazwaji wa taarifa kama huko kwenye sensa na anuani za makazi.
Ila Nida kuna unafuu, kwa kifupi ni hivyo.

Hoja yako ni ipi??
 
NIDA haiwezi kuwa mbadala wa napa, mana nida hajui unaishi wapi, mi nakwambia napa ina uafadhali coz anayeweza kuupdate taarifa za napa ni mtendaji wa mtaa, sasa angalia mtiti wa kubadilisha taarifa za nida
 
Nida haijui unaishi wapi??

Mkuu ulijaza vipi taarifa zako za Nida, hizo zina kila kitu.
Labda huko kubadilisha ndo kipengele.
 
Ni too complicated mkuu, Mimi naona NIDA ndo ingetumika kwani ina taarifa zote za mhusika yeyote yule.Sasa kinachofanyika ni kama mtu aweke fingerprint,halafu aambiwe tena weka miguu,weka uso,weka tumbo n.k

Haya yote ya Nini?
Hii ndio TZ yetu,nchi pekee unarenew pasipoti unaanza upya taratibu zote sawa na muombaji anayeomba kwa mara ya kwanza,nchi pekee kitambulisho cha kina expire date 😂😂
 
vyooote huvijui sawa, unashindwa kutumia public app ya napa ya kudownload tu playstore ili ujue namba yako ya nyumba??!
Watanzania wengi ni wapumbavu, wanapenda ganda la ndizi kwenye kila kitu
 
Back
Top Bottom