HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

msimamo wa wanachuo muhimu sana kwa kugomea kusaini hizi pesa..,mkisaini tu basi mjue mmeumia
 
Wewe utakuwa hujui maisha ya chuo kabisa, hivi hujui vijana wqmerudi vyuoni amabao wanaishi nje hostel wamelazimika kulipa Kodi kwa wenye nyumba hata siku za covid19!!, Hizi pesa wqnazitoa wapi? Miez 3×40000 ni shingapi??. Tukubali serikali haina uthamini na raia wake. Kagera watu waliathirika kwa tetemeko serikali ilichojibu ni upuuzi kabisa, ifike mahali serikali itambue maamzi inayofanya inafanyia watoto wa wanyonge sio watoto wao wenye kupata kula, kusoma e.t.c kupitia Kodi zetu.
 
fafanua na ulipaji wa hilo deni... na ile jumla ya pesa wanazoonyesha kwenye account ya muhusika...

je kama kwenye account inaonyesha una jumla ya 3459000 na jumla ya pesa ya kula ikiwemo...
na kwa situation iliyotokea hilo deni linakuwa hivyo hivyo kamili ama kunakuwa na deduction ya hiyo pesa walioipungiza..????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani huyo?
Najua ulikua na mipango minginna hiyo pesa..pole sana...Sasa mzee boom si unalipwa kulingana na siku unazokaaa..coz Ile meal and accommodation allowance. Vyote hivyo ulipwa per days..
 
Unaijua mikataba wewe
Boom mwanafunzi analipwa kwa idadi ya siku alizosoma darasani.. Utumie siku 10 kwa non ulipwe 20?? Ada hutumika pia kuendeshea shughuli zingine za chuo kulipa wafanyakazi, bill za umeme, maji, n.k
 
kwani chief we unaelewaje maana ya BOOM? ni hela ya kulipa ada au ya mwanafunzi kujikimu?
kama ni ya mwanafunzi kujikimu huoni Loan Board hawajakosea kuipunguza kutokana na ufupi wa semester?

swali la kuuliza ni kwamba katika ulipaji wa huo mkopo, hii adjustment wanayoifanya sasa hivi ya kupunguza kiwango cha pesa ya kujikimu ni kwamba je, mwisho wa siku deni zima la mkopo nalo litapungua au litabaki lilelile?
 
Kumekuchaaaa....
Stiglers, SGR, Elections....


Everyday is Saturday........................... 😎
 
Wanachuo mnataka kuleta chokochoko? Nawakumbusha, "mimi sijaribiwi!"
 
Utafikiri na kodi uku wanatupunguzia
Afu mbn wao walikuwa wanalipwa kipindi cha corona
 
Mnaosema siku zimebakia chache hivyo ni haki Bodi kupunguza, basi hata na ada ya chuo ingepunguzwa kwasababu siku zimepungua.

Ada bodi hawahusiki kabisa, chuo ndio kinahusika, bodi inalipa ada chuo, chuo kimetaka ada full bodi ikalipa ada full

kama ni malalamiko ya ada basi yaende chuo , ili wapunguze, sio kwa bodi
 
Kama kuna wanafunzi wameishalipwa hiyo pesa pungufu na wamo humu naomba wanitokeze ili wauthibitishie umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…