licygdfrey
New Member
- Oct 19, 2014
- 1
- 0
Password gani inatumika kwenye appeal form?HESLB wameanza kupokea form za ku-appeal kupia loan officer wa taasisi uliyopo.
msaada, nimelipia kwa mpesa na kutumia transaction id lakini inadai transaction id does not exist.
umelipa muda gani...?
usiku wa kuamkia jumapili
Mwenyewe bdo inasma hvyo hvyo
Poapoa mkuuu bt kulipa kwa mpesa unalipaje
wakuu naombeni mwenye uzoefu na kuappeal anisaidie hoja ambazo znakubalika sana wakati unappeal
wakuu naombeni mwenye uzoefu na kuappeal anisaidie hoja ambazo znakubalika sana wakati unappeal