licygdfrey
New Member
- Oct 19, 2014
- 1
- 0
Habari za asubuhi! Mi nataka nilipie mpesa hyo 5,000 kwa ajili ya kuappeal,naomba kujua kama natakiwa kulipia kwa kutumia zile steps nilizotumia kulipia ile 30,000/= ya mara ya kwanza au nifanyeje..?naomba kueleweshwa km kuna steps mpya za kulipia mpesa kwa ajili ya kuappeal. Thanks