HESLB yafafanua madai ya Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na Kadi ya CCM ili wapate mkopo

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
WhatsApp Image 2024-08-13 at 10.59.56_9ff0b289.jpg

Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa

UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO

Jumanne, Agosti 13, 2024
Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambazwa katika mitandao ya kijamii, likiwemo jukwaa la ‘JamiiForums’ kuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wanaoomba mkopo wanapaswa kuwa na kadi za chama cha siasa ili kupata mkopo.

Upangaji mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) unaongozwa na Sheria ya HESLB (SURA 178) na miongozo ambayo hutolewa kila mwaka kwa lugha ya kiingereza na Kiswahili na kupatikana katika www.heslb.go.tz

Sifa zinazotajwa na Sheria na miongozo ni mwombaji Awe Mtanzania; Awe ameomba mkopo; Awe amepata udahili katika taasisi inayotambuliwa na mamlaka za Serikali; Asiwe na chanzo kingine cha fedha cha kugharamia masomo; na kwa anayeendelea na masomo, awe amefaulu mitihani ya mwaka uliotangulia.

Aidha, miongozo inatoa kipaumbele kwa wahitaji kutoka katika makundi maalum kama yatima, wenye ulemavu na waliofadhiliwa katika masomo yao ya sekondari au stashahada ambao hupaswa kuthibitisha uhitaji wao kwa kujaza fomu maalum wakati wa uombaji.

Hivyo, miongozo ya mwaka wa masomo 2024/2025, kama ambavyo imekuwa katika miongozo ya miaka iliyopita, haitaji sifa ya uanachama kwa chama cha siasa kama kigezo cha kupata mkopo wa elimu ya juu.

Kwa msingi huo, tunawashauri wanafunzi wote wanaoomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB KUSOMA na KUZINGATIA miongozo ambayo ilizinduliwa na Mheshimiwa Prof. Adolf Mkenda (MB), Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, siku ya Jumatatu, Mei 27, 2024 jijini Tanga na ambayo inapatikana katika tovuti ya HESLB (www.heslb.go.tz).

Imetolewa na:
Dkt. Bill Kiwia,
Mkurugenzi Mtendaji,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,
Jengo la PSSSF, Barabara ya Makole,
S.L.P. 984,
DODOMA

Pia soma
~ Wajumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Wanaowakilisha Vyuo na Vyuo vikuu Taifa wafanya ziara Bodi ya Mikopo (HESLB)
~ Jumuiya ya Wanafunzi UDSM yapiga marufuku Wanafunzi wasiohusika kutoa matamko
 
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa

UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO

Jumanne, Agosti 13, 2024
Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambazwa katika mitandao ya kijamii, likiwemo jukwaa la ‘JamiiForums’ kuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wanaoomba mkopo wanapaswa kuwa na kadi za chama cha siasa ili kupata mkopo.

Upangaji mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) unaongozwa na Sheria ya HESLB (SURA 178) na miongozo ambayo hutolewa kila mwaka kwa lugha ya kiingereza na Kiswahili na kupatikana katika www.heslb.go.tz

Sifa zinazotajwa na Sheria na miongozo ni mwombaji Awe Mtanzania; Awe ameomba mkopo; Awe amepata udahili katika taasisi inayotambuliwa na mamlaka za Serikali; Asiwe na chanzo kingine cha fedha cha kugharamia masomo; na kwa anayeendelea na masomo, awe amefaulu mitihani ya mwaka uliotangulia.

Aidha, miongozo inatoa kipaumbele kwa wahitaji kutoka katika makundi maalum kama yatima, wenye ulemavu na waliofadhiliwa katika masomo yao ya sekondari au stashahada ambao hupaswa kuthibitisha uhitaji wao kwa kujaza fomu maalum wakati wa uombaji.

Hivyo, miongozo ya mwaka wa masomo 2024/2025, kama ambavyo imekuwa katika miongozo ya miaka iliyopita, haitaji sifa ya uanachama kwa chama cha siasa kama kigezo cha kupata mkopo wa elimu ya juu.

Kwa msingi huo, tunawashauri wanafunzi wote wanaoomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB KUSOMA na KUZINGATIA miongozo ambayo ilizinduliwa na Mheshimiwa Prof. Adolf Mkenda (MB), Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, siku ya Jumatatu, Mei 27, 2024 jijini Tanga na ambayo inapatikana katika tovuti ya HESLB (www.heslb.go.tz).

Imetolewa na:
Dkt. Bill Kiwia,
Mkurugenzi Mtendaji,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,
Jengo la PSSSF, Barabara ya Makole,
S.L.P. 984,
DODOMA

Pia soma ~ Wajumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Wanaowakilisha Vyuo na Vyuo vikuu Taifa wafanya ziara Bodi ya Mikopo (HESLB)
Hii kitu inachafua image ya taasis, ni vema wametokea kukanusha hayo mambo
 
Katika hilo bandiko naona wanafunzi wengi wa Kiislam wanakosa / watakosa mikopo kwa kipengele cha "yatima".

Kwa mafundisho ya Kiislam mtoto anakuwa siyo yatima tena anapofikisha balehe.
 
tatizo liko wapi kuweka kuwa na kadi ya ccm? ishi kama watu wanavyotaka kuishi. Mimi mkobani mwangu utakuta msahafu, nikiambiwa niwe na kadi nyengine nitazichukua tu hamna tatizo.
 
Katuja hilo bandiko naona wansfunzi wengi wa Kiislam wanakosa / watakosa mikopo kwa kipengele cha "yatima" .
. Kimafundisho y Kiislam mtoto anakuwa siyo yatima tena anapofikisha balehe.
nadhani hiyo tasisi haifuati mambo ya dini
so worry not madam Faizafox
 
Taasisi isifate dini lakini wakopaji wana mafundisho ya dini zao.

Kipengele cha yatima kiondolewe, kwa sababu mtoto wa Kiislam ukimuuliza hata kama alikuwa yatima, akisha balehe atasema yeye siyo yatima.

Kwa ntazamo wangu, hakuna yatima anaeomba mkopo wa masomo ya juu. Yote ni mijitu mizima.
 
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa

UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO

Jumanne, Agosti 13, 2024
Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambazwa katika mitandao ya kijamii, likiwemo jukwaa la ‘JamiiForums’ kuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wanaoomba mkopo wanapaswa kuwa na kadi za chama cha siasa ili kupata mkopo.

Upangaji mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) unaongozwa na Sheria ya HESLB (SURA 178) na miongozo ambayo hutolewa kila mwaka kwa lugha ya kiingereza na Kiswahili na kupatikana katika www.heslb.go.tz

Sifa zinazotajwa na Sheria na miongozo ni mwombaji Awe Mtanzania; Awe ameomba mkopo; Awe amepata udahili katika taasisi inayotambuliwa na mamlaka za Serikali; Asiwe na chanzo kingine cha fedha cha kugharamia masomo; na kwa anayeendelea na masomo, awe amefaulu mitihani ya mwaka uliotangulia.

Aidha, miongozo inatoa kipaumbele kwa wahitaji kutoka katika makundi maalum kama yatima, wenye ulemavu na waliofadhiliwa katika masomo yao ya sekondari au stashahada ambao hupaswa kuthibitisha uhitaji wao kwa kujaza fomu maalum wakati wa uombaji.

Hivyo, miongozo ya mwaka wa masomo 2024/2025, kama ambavyo imekuwa katika miongozo ya miaka iliyopita, haitaji sifa ya uanachama kwa chama cha siasa kama kigezo cha kupata mkopo wa elimu ya juu.

Kwa msingi huo, tunawashauri wanafunzi wote wanaoomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB KUSOMA na KUZINGATIA miongozo ambayo ilizinduliwa na Mheshimiwa Prof. Adolf Mkenda (MB), Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, siku ya Jumatatu, Mei 27, 2024 jijini Tanga na ambayo inapatikana katika tovuti ya HESLB (www.heslb.go.tz).

Imetolewa na:
Dkt. Bill Kiwia,
Mkurugenzi Mtendaji,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,
Jengo la PSSSF, Barabara ya Makole,
S.L.P. 984,
DODOMA

Pia soma ~ Wajumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Wanaowakilisha Vyuo na Vyuo vikuu Taifa wafanya ziara Bodi ya Mikopo (HESLB)
Unaweza kuonekana ni mjinga zaidi kufafanulia wajinga wa kujitakia..
Mwanafunzi yuko chuo kikuu anahitaji kurudiwa kuambiwa sifa za kupata mkopo? Km yupo hapaswi kuwepo chuo, hana akili ya kutambua kitu kdg km hiki..anawezaje kutambua anayofundishwa?
Ni km wmesingiziwa kutengeneza scenario ya sintofahamu ili kuwapata wenye akili ndogo wakate kadi za ccm..!
 
Hilo la la kuwa na kadi ya ccm nimelipenda sana, liwekwe kisheria kabisa.

Hakuna kuwapa mikopo wasiotambuwa kuwa CCM ndiyo chama tawala.
.
Upumbavu wako ndio unaanzia hapa. Nchi ni ya watanzania , mikopo ni ya watanzania si ya wana ccm, kulazimishia watu mambo ya kijinga ni kuvunja katiba ya nchi. Na kama chama kinavunja katiba ya nchi kuna haja gani ya kuwa na katiba?
 
Una h
Mpumbavu mwingine huyu!
Una haki na kauli zako, upukmbavu wangu nini hapo?

Wewe Huelewi kuwa CCM ndiyo chama tawala?

Ni lazima wanachama wa chama tawala wapewe kipaumbele.

Hilo wala siyo la kuonea haya.
 
Ivi ww unakuwaga huku JF kwaajili ya kutafutia watu Ban au?

Mambo mengine unakwaza sana Legend hata kama sheria za JF zinaruhusu Uhuru wa kufunguka chochote ila Tumia Ukongwe wako vzr
 
Back
Top Bottom