HESLB yafafanua madai ya Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na Kadi ya CCM ili wapate mkopo

HESLB yafafanua madai ya Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na Kadi ya CCM ili wapate mkopo

Una h

Una haki na kauli zako, upukmbavu wangu nini hapo?

Wewe Huelewi kuwa CCM ndiyo chama tawala?

Ni lazima wanachama wa chama tawala wapewe kipaumbele.

Hilo wala siyo la kuonea haya.
kuna sehemu niliona ukiongelea kuishi nje ya afrika? mbona bado una akili za kijinga hivi
bora ungeendelea kukaa kwenu huko kisiju tukajua moja
 
Katuja hilo bandiko naona wansfunzi wengi wa Kiislam wanakosa / watakosa mikopo kwa kipengele cha "yatima" .
. Kimafundisho y Kiislam mtoto anakuwa siyo yatima tena anapofikisha balehe.
Yatima iliyotumika hapo si hiyo ya kiimani mkuu.
 
Zile ofisi zenye kibango hatupokei rushwa. Kitaalamu ni kama zinasema tunakaribisha rushwa kwa njia ya kistaarabu
 
Una h
Mpumbavu mwingine huyu!
Una haki na kauli zako, upukmbavu wangu nini hapo?

Wewe Huelewi kuwa CCM ndiyo chama tawala?

Ni lazima wanachama wa chama tawala wapewe kipaumbele.

Hilonwala siyo la kyoneanhays.hakuna yatima zaidi ya kiimani. Hata wasio Waislam wana ukomo wa kuwa yatima.

Neno lenyewe yatima ni la kiimani.
 
Katuja hilo bandiko naona wansfunzi wengi wa Kiislam wanakosa / watakosa mikopo kwa kipengele cha "yatima" .
. Kimafundisho y Kiislam mtoto anakuwa siyo yatima tena anapofikisha balehe.
We akili zako unazijua mwenyewe. Sisi tunakememea ubaguzi wa kisiasa
 
Upumbavu wako ndio unaanzia hapa. Nchi ni ya watanzania , mikopo ni ya watanzania si ya wana ccm, kulazimishia watu mambo ya kijinga ni kuvunja katiba ya nchi. Na kama chama kinavunja katiba ya nchi kuna haja gani ya kuwa na katiba?
Haya masuala ya kijinga hata hayanipi shida mimi. Watoto wangu nimewaambia kila mmoja awe na kadi ya ccm mfukoni. Ikitokea fursa fulani ambapo wanaccm wanapendelewa, toa kadi yako. That is: kula ccm, pa kulala akili mu kichwa. Hilo likadi nalichukia mpaka naona kinyaa.
 
Taasisi isifate dini lakini wakopaji wana mafundisho ya dini zao.

Kipengele cha yatima kiondolewe, kwa sababu mtoto wa Kiislam ukimuuliza hata kama alikuwa yatima, akisha balehe atasema yeye siyo yatima.

Kwa ntazamo wangu, hakuna yatima anaeomba mkopo wa masomo ya juu. Yote ni mijitu mizima.
Msishangae hizi ndio Akili za kiislam
Kule mashariko ya kati wanafa eti wakiamini watapewa bikra 72
 
Haya masuala ya kijinga hata hayanipi shida mimi. Watoto wangu nimewaambia kila mmoja awe na kadi ya ccm mfukoni. Ikitokea fursa fulani ambapo wanaccm wanapendelewa, toa kadi yako. That is: kula ccm, pa kulala akili mu kichwa. Hilo likadi nalichukia mpaka naona kinyaa.
Makonda aligusia mpaka wafanyabiashara 2engi wanafanya hili japo ccm hawaitaki, alivokua mwenezi.

clip hata humu jukwaani iliwekwa
 
nadhani hiyo tasisi haifuati mambo ya dini
so worry not madam Faizafox
Neno yatima ni la kiimani 100% Vyovyote ilivyo, nani ambae yatima anaekwenda chuo kikuu?

Kigezo cha yatima ni kipi kisheria?

Tusidanganywe na hao maprofesa uchwara, waliojiwekea hizo loopholes.
 
Hilo la la kuwa na kadi ya ccm nimelipenda sana, liwekwe kisheria kabisa.

Hakuna kuwapa mikopo wasiotambuwa kuwa CCM ndiyo chama tawala.
.
Cheki Ngese hili....Hizo hela za kukopesha limetoka kwenye kodi ya wanachama au...
 
Una h

Una haki na kauli zako, upukmbavu wangu nini hapo?

Wewe Huelewi kuwa CCM ndiyo chama tawala?

Ni lazima wanachama wa chama tawala wapewe kipaumbele.

Hilo wala siyo la kuonea haya.
Ati huyu ndo icon ya uislam unaohubiri upendo kwa watu wote
 
Makonda aligusia mpaka wafanyabiashara 2engi wanafanya hili japo ccm hawaitaki, alivokua mwenezi.

clip hata humu jukwaani iliwekwa
Hilo halina ubaya wowote. Faida gani ya kuwa mwanachama wa chama tawala kama hauna kipaumbele?
 
Kabisa tena, leo umeelewa Kiislam mwisho wa yatima ni balehe.
. Wewenudiye amuislqm mwisho wa uyatima kikwenu ni upi?
Tubadili Sheria au uislam ukubaliane na Sheria

Inawezekana Mbona sharia ya kadhi mkuu iko pending
 
Back
Top Bottom