HESLB yafafanua madai ya Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na Kadi ya CCM ili wapate mkopo

Cheki Ngese hili....Hizo hela za kukopesha limetoka kwenye kodi ya wanachama au...
Wacha matusi ya kijinga, ukitaka kutukana tukana wazi tu.

CCM ni chams tawala ni lazima wanschsms wake wapewe kipa umbele.

Sisi tuihangaikie CCM halafu mitoto ya upinzani ipewe mikopo kwanza? Wasubiri mpaka watoto wetu watoshe kwanza.
 
Akili za waislamu wengi Tanzania ziko km za huyu..! ndio maana waislamu wengi wako ccm..kazi kwenu.
 
Wacha matusi ya kijinga, ukitaka kutukana tukana wazi tu.

CCM ni chams tawala ni lazima wanschsms wake wapewe kipa umbele.

Sisi tuihangaikie CCM halafu mitoto ya upinzani ipewe mikopo kwanza? Wasubiri mpaka watoto wetu watoshe kwanza.
Shetani wewe ajuza umezeeka bila akili
 
Ivi ww unakuwaga huku JF kwaajili ya kutafutia watu Ban au?

Mambo mengine unakwaza sana Legend hata kama sheria za JF zinaruhusu Uhuru wa kufunguka chochote ila Tumia Ukongwe wako vzr
Huyu kigongwe ni kumpa za uso hakuna kumuacha
 
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa

UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO

Jumanne, Agosti 13, 2024
Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambazwa katika mitandao ya kijamii, likiwemo jukwaa la ‘JamiiForums’ kuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wanaoomba mkopo wanapaswa kuwa na kadi za chama cha siasa ili kupata mkopo.

Upangaji mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) unaongozwa na Sheria ya HESLB (SURA 178) na miongozo ambayo hutolewa kila mwaka kwa lugha ya kiingereza na Kiswahili na kupatikana katika www.heslb.go.tz

Sifa zinazotajwa na Sheria na miongozo ni mwombaji Awe Mtanzania; Awe ameomba mkopo; Awe amepata udahili katika taasisi inayotambuliwa na mamlaka za Serikali; Asiwe na chanzo kingine cha fedha cha kugharamia masomo; na kwa anayeendelea na masomo, awe amefaulu mitihani ya mwaka uliotangulia.

Aidha, miongozo inatoa kipaumbele kwa wahitaji kutoka katika makundi maalum kama yatima, wenye ulemavu na waliofadhiliwa katika masomo yao ya sekondari au stashahada ambao hupaswa kuthibitisha uhitaji wao kwa kujaza fomu maalum wakati wa uombaji.

Hivyo, miongozo ya mwaka wa masomo 2024/2025, kama ambavyo imekuwa katika miongozo ya miaka iliyopita, haitaji sifa ya uanachama kwa chama cha siasa kama kigezo cha kupata mkopo wa elimu ya juu.

Kwa msingi huo, tunawashauri wanafunzi wote wanaoomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB KUSOMA na KUZINGATIA miongozo ambayo ilizinduliwa na Mheshimiwa Prof. Adolf Mkenda (MB), Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, siku ya Jumatatu, Mei 27, 2024 jijini Tanga na ambayo inapatikana katika tovuti ya HESLB (www.heslb.go.tz).

Imetolewa na:
Dkt. Bill Kiwia,
Mkurugenzi Mtendaji,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,
Jengo la PSSSF, Barabara ya Makole,
S.L.P. 984,
DODOMA

Pia soma ~ Wajumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Wanaowakilisha Vyuo na Vyuo vikuu Taifa wafanya ziara Bodi ya Mikopo (HESLB)
Hamna cha kuzungusha maneno, huo ndio ukweli. Bila kadi ya ccm hupati mkopo, na wala huo sio uzushi.
 
Katika hilo bandiko naona wanafunzi wengi wa Kiislam wanakosa / watakosa mikopo kwa kipengele cha "yatima".

Kwa mafundisho ya Kiislam mtoto anakuwa siyo yatima tena anapofikisha balehe.
Hayo ni mafundisho ya Kiislamu madame, je katiba na Sheria za nchi zinamtambua yatima ni yupi?
 
Hilo la la kuwa na kadi ya ccm nimelipenda sana, liwekwe kisheria kabisa.

Hakuna kuwapa mikopo wasiotambuwa kuwa CCM ndiyo chama tawala.
.
Kesho wakisema sharti la kupewa mkopo ni lazima uwe na cheti za ubatizo usije hapa kulalamika kuwa ni udini.

Acha kupongeza na kutetea vitu vya kijinga na kipuuzi.
 
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa

UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO

Jumanne, Agosti 13, 2024
Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambazwa katika mitandao ya kijamii, likiwemo jukwaa la ‘JamiiForums’ kuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wanaoomba mkopo wanapaswa kuwa na kadi za chama cha siasa ili kupata mkopo.

Upangaji mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) unaongozwa na Sheria ya HESLB (SURA 178) na miongozo ambayo hutolewa kila mwaka kwa lugha ya kiingereza na Kiswahili na kupatikana katika www.heslb.go.tz

Sifa zinazotajwa na Sheria na miongozo ni mwombaji Awe Mtanzania; Awe ameomba mkopo; Awe amepata udahili katika taasisi inayotambuliwa na mamlaka za Serikali; Asiwe na chanzo kingine cha fedha cha kugharamia masomo; na kwa anayeendelea na masomo, awe amefaulu mitihani ya mwaka uliotangulia.

Aidha, miongozo inatoa kipaumbele kwa wahitaji kutoka katika makundi maalum kama yatima, wenye ulemavu na waliofadhiliwa katika masomo yao ya sekondari au stashahada ambao hupaswa kuthibitisha uhitaji wao kwa kujaza fomu maalum wakati wa uombaji.

Hivyo, miongozo ya mwaka wa masomo 2024/2025, kama ambavyo imekuwa katika miongozo ya miaka iliyopita, haitaji sifa ya uanachama kwa chama cha siasa kama kigezo cha kupata mkopo wa elimu ya juu.

Kwa msingi huo, tunawashauri wanafunzi wote wanaoomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB KUSOMA na KUZINGATIA miongozo ambayo ilizinduliwa na Mheshimiwa Prof. Adolf Mkenda (MB), Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, siku ya Jumatatu, Mei 27, 2024 jijini Tanga na ambayo inapatikana katika tovuti ya HESLB (www.heslb.go.tz).

Imetolewa na:
Dkt. Bill Kiwia,
Mkurugenzi Mtendaji,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,
Jengo la PSSSF, Barabara ya Makole,
S.L.P. 984,
DODOMA

Pia soma ~ Wajumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Wanaowakilisha Vyuo na Vyuo vikuu Taifa wafanya ziara Bodi ya Mikopo (HESLB)
Kwa mujibu wa taarifa hii, HESLB haina makosa ila kosa lipo kwa uongozi wa UDSM-DARUSO.
Kumekuwa na taratibu za ovyo sana kuwafanya wanafunzi kuingia UVCCM kupata baadhi ya nyazifa mbalimbali wawapo chuoni hapa kuanzia Kuwa kiongozi wa DARUSO tu lazima uwe UVCCM japo hawasemi lakini mchakato mzima tunaujua, sambamba na taarifa hiyo kumekuwa na chembechembe za Aina hiyo ya kuweka kigezo cha UVCCM Kwa wanaoomba mkopo kwani wakaaminisha wanafunzi kufanyia applications zao ndani ya chuo stationary moja kwakusema watakuwa na first priority kitu ambacho hakisemwi hadhani Lakini ndyo uhalisia, huyo raia aliyesema hii kero yupo sahihi.
 
Katika hilo bandiko naona wanafunzi wengi wa Kiislam wanakosa / watakosa mikopo kwa kipengele cha "yatima".

Kwa mafundisho ya Kiislam mtoto anakuwa siyo yatima tena anapofikisha balehe.
Daaah
 
Pole. Mnapenda mno mserereko
 
Back
Top Bottom