HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

Sasa mimi mbona zangu nilisevu kabisa kwenye vifaa vyangu? Hebu kumbuka vizuri hatua nyingine ndugu uliyopitia
 
Waheshimiwa mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa chuo cha tumaini dar es salaam ( TUDARCO) niliomba mkopo sijapata na nasoma course ya sheria na mpaka saivi nafikiria kuhairisha masomo kutokana na ugumu wa maisha nilikuwa naomba unisaidie japo ada tu ya chuo au nisaidie mawazo niweze kujua na nilipata division one
 
Ngoja waje
 
Kama unaeza,fosi tu umalize first year.
Next year unaeza kupata.
Pole sana
 
Waheshimiwa, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCO) nikisomea sheria.

Nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa za kifedha baada ya kukosa mkopo licha ya kuambatanisha nyaraka muhimu kama cheti cha kifo cha baba yangu.

Control number yangu ni TU233351786402
Jina Joseph Msehi
Nambà yangu ya simu 0741995421

Hali hii imenifanya nifikirie kusitisha masomo kwa muda kutokana na ugumu wa maisha.

Naomba msaada wenu kwa namna yoyote, hasa katika kulipia ada ya mwaka huu, au hata ushauri kuhusu njia bora ya kusonga mbele. Kwa taarifa, nilihitimu shule ya sekondari kwa daraja la kwanza.
 
Back
Top Bottom