HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

Yeah nawafahamu watu hao ambao akaunti zilibadilika na walikosa
Sasa kama hajapata..
Mbona wanamuita beneficiary tayari?
Mnatuchanganya mjue wakuu
 

Attachments

  • Screenshot_20241013_160555_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20241013_160555_Opera Mini.jpg
    35.8 KB · Views: 6
Wakuu last year kuna watu akaunti zao zilibadilika kuwa SIPA na hawakupangiwa chochote mwaka huu wameomba tena so account yako ikibadilika bila kuona allocation endeleza maombi tu Mungu atabless
waliwekewa allocation afu zikafutika ama allocatiom hawakuwekewa
 
👉🏿👉🏿KWA FRESHERS ( FIRST YEAR) NA CONTINUOS........, WA VYUO VYA ELIMU YA JUU HAPA KILIMANJARO-MOSHI
👉🏿👉🏿KARIBUNI......,MJIPATIE ......,VYUMBA VILIVYO......,.KARIBU NA VYUO VYA #MOCU,#KCMC,#MWENGE,#MWEKA
👉🏿👉🏿WASILIANA ........NAMI...
..
.....
..
..0672701329...........
 
Sasa kama hajapata..
Mbona wanamuita beneficiary tayari?
Mnatuchanganya mjue wakuu
Hilo sijui mkuu ila nishawaona watu wa aina hiyo mwaka jana na miongoni mwao ni watu wangu wa karibu kabisa akaunti ilibadilika but nothing
 
Ila hii bodi ya mikopo ni wapumbavu sana! Hivi wameshindwa nini kuwapa wanafunzi wote japo kidogo kidogo? Let say angalau hata 2m kila mwanafunzi badala ya hivi vigezo vyao vya kijinga? Sasa mtu ada 5m unampa laki 2 inamfaa nini hiyo?
Wewe ndo mpumbavu huwezi kutoa Mkopo pasipo kutumia vigezo
 
Back
Top Bottom