HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

Wakuu last year kuna watu akaunti zao zilibadilika kuwa SIPA na hawakupangiwa chochote mwaka huu wameomba tena so account yako ikibadilika bila kuona allocation endeleza maombi tu Mungu atabless
 
means hata account ikibasilika na kuwa Sipa unaweza kukosa mkopo duuh,🙉
 
Ila hii bodi ya mikopo ni wapumbavu sana! Hivi wameshindwa nini kuwapa wanafunzi wote japo kidogo kidogo? Let say angalau hata 2m kila mwanafunzi badala ya hivi vigezo vyao vya kijinga? Sasa mtu ada 5m unampa laki 2 inamfaa nini hiyo?
 
😂😂😂 Maisha mitihani mingi sana vumilieni tu vijana
 
Kwa hio kuna ya 3 na ya 4 sio mchezo vijana subirini mtapata wote hakuna atakaye kosa
 
Niliwasiliana na mtu wa heslb juzi akasema! Mwanzoni kuna watu waliona allocations zao ila saiv hawazioni,Jibu lake ni kwamba board inafanya marekebisho kidogo kutokana na misallocations kuwa nyingi.So baada ya hapo kila kitu kitarudi kama kawaida na hakuna mtu ambaye alishaona amepata mkopo atakosa.
 
Alikuambia na huu ujumbe una maana gani mkuu ?
 
Attachments

  • Screenshot_20241013_081227_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20241013_081227_Opera Mini.jpg
    216.8 KB · Views: 10
Back
Top Bottom