Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia sipa alfu kuna option ya allocation hapo ndo utaona kama umepewa mkopoMimi imechange kwenda SIPA ila sioni kiasi wala percentage imedisplay tu kwamba ni upload passport ambayo nayo nikiweka inakuja error
Hapo kuna tatizoMimi kila nikijaribu kuingia kwenye account ni kama inanitoa..., nazunguka tu hapo hapo, kila mara inaniridisha kwenye login page
Kama lipi? maana submission ya forms ilienda vzr kabisa...Hapo kuna tatizo
Unatakiwa kwenda kwenye vistari vitatu kule juu kushoto afu utachagua sipa afu bonyeza allocationsMimi imechange kwenda SIPA ila sioni kiasi wala percentage imedisplay tu kwamba ni upload passport ambayo nayo nikiweka inakuja error
Asantee kiongoziAisee ni hatari chuo gani hicho?
Hivi account kuchange kwenda SIPA ndo kufanyaje?Unatakiwa kwenda kwenye vistari vitatu kule juu kushoto afu utachagua sipa afu bonyeza allocations
Itakuletea majina yako matatu halafu utaclikck kwenye vistari vutatu pale juu kushoto utaclik sipa then bonya allocations halafu utaselect academic year itakuletea kama bado endelea kusubiriHivi account kuchange kwenda SIPA ndo kufanyaje?
Mana mimi bado inasoma OLAS
nami kwa mdogo wangu hivi hivkwenye accnt ya SIPA ya binti yangu imeandikwa no approved Allocation, hii ina maana gani? amekosa au?
Angalia jioni hii inasomekaje?nami kwa mdogo wangu hivi hiv
sasa hstuelewi kapata,au kakosa
CuhasAisee ni hatari chuo gani hicho?
LOANEE DETAIL FOR INDEX NUMBER X NOT FOUNDnami kwa mdogo wangu hivi hiv
sasa hstuelewi kapata,au kakosa
Hii inatokea mfumo wa heslb mdaa wa weekend kuna vitu uwa wana vipumzisha ko iyo error inatokea tu hapo mbaka jtatuLOANEE DETAIL FOR INDEX NUMBER X NOT FOUND
ndio inasema hivyo, vip kwako
Huyu Bado hasubiri itabadilika akipataKwa maana hiyo huyu kapata si ndio mkuu??
View attachment 3122385
okHii inatokea mfumo wa heslb mdaa wa weekend kuna vitu uwa wana vipumzisha ko iyo error inatokea tu hapo mbaka jtatu
Kapata tayari asubiri tu kupangiwa mkopo.Kwa maana hiyo huyu kapata si ndio mkuu??
View attachment 3122385