HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

Kupewa mkopo chuo ambacho uja confirm hii inakuaje hapo
 
Mimi imechange kwenda SIPA ila sioni kiasi wala percentage imedisplay tu kwamba ni upload passport ambayo nayo nikiweka inakuja error
 

Attachments

  • Screenshot_20241010-215627~3.jpg
    Screenshot_20241010-215627~3.jpg
    116.5 KB · Views: 12
Hivi account kuchange kwenda SIPA ndo kufanyaje?

Mana mimi bado inasoma OLAS
Itakuletea majina yako matatu halafu utaclikck kwenye vistari vutatu pale juu kushoto utaclik sipa then bonya allocations halafu utaselect academic year itakuletea kama bado endelea kusubiri
 
Back
Top Bottom