Hewa Chafu India: Mahakama yaagiza Ofisi Jijini New Delhi kufungwa na watu wafanyie kazi nyumbani

Hewa Chafu India: Mahakama yaagiza Ofisi Jijini New Delhi kufungwa na watu wafanyie kazi nyumbani

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mahakama ya Juu ya India imeelekeza Mamlaka kufunga Ofisi katika Mji Mkuu wa New Delhi, na Miji ya karibu. Hatua hiyo itaruhusu Mamilioni ya watu kufanya kazi nyumbani wakati Maafisa wakitafuta mbinu za kupunguza hewa chafu.

Jiji hilo limekuwa likipambana na ukungu wenye sumu tangu mapema Mwezi Novemba, na Viongozi wameanza kuchukua hatua za dharura ikiwemo kuamuru kufungwa kwa Shule na kazi ya ujenzi kwa siku nne.
===

India's Supreme Court told authorities on Monday to shut offices in the capital and nearby cities, allowing millions to work from home as officials seek ways to reduce hazardous air pollution that led to the closure of schools.

Its action came after city authorities in New Delhi, which has been battling a toxic haze since early November, took emergency measures on Saturday, ordering the closure of schools and building work for four days.

"We direct the centre and states of the national capital region to impose work from home for the meantime," said Chief Justice N.V. Ramana, head of a panel of three judges considering a petition by a city resident.

The court also sought urgent steps to rein in crop waste fires in the neighbouring states of Haryana, Punjab and Uttar Pradesh, set by hundreds of thousands of farmers looking to clear fields for a new sowing season.

"We want action on the issue," said Justice Surya Kant. Although the court did not set a deadline for the action by authorities, it will next take up the pollution issue on Wednesday.

India's efforts to reduce the burning of crop waste, a major source of air pollution during winter, have had little benefit, despite its expenditure of billions of rupees over the past four years.

An index of air quality stood at 343 on a scale of 500 in Delhi on Monday, a sign of "very poor" conditions that can cause respiratory illness on prolonged exposure.

The capital experienced severe conditions late last week as temperatures dropped and the index reached 499.

The Supreme Court also ordered measures to halt vehicle traffic that is not essential, cut industrial pollution and limit dust.

Contributors to the poor air quality in Delhi, often ranked the world's most polluted capital, include coal-fired plants outside the city as well as the burning of garbage in the open.

Source: Reuters
 
Nchi ya viwanda vinatapika tu moshi, waje na solution badala, changamoto makanjibai ni bahili
 
Dah ni halali corona ipekeche mapafu kwa kadri inavyo ona inafaa
 
Kuna taahira wa humu JF anakwamhia huo ni mpango wa freemason
 
Corona tu hawajamalizana nayo tayari wanahewa chafu kazi kwelikweli
 
Hii sio suluhisho hao wahindi wanaona ubahili kuchukua tahadhari tuu...
Wapunguze viwanda vinavyotoa hewa chafu pia wapige marufuku uchomaji wa mashamba kwa ajili ya kilimo.
 
Wahindi ni wachafuzi wa hali ya hewa kweli kweli ,hata ukipita mitaa ya uhindini harufu yake siyo mchezo kwenye zile chemba.
 
Back
Top Bottom