hee kutoa siri zangu kiwatengu maana yake ni nini?
2007 kitambo sana ila sidhani ulikuwa bonge miss chagga kama ulivo now !
hahaha mimi je 2007 sijui nilikuwa form ngapi hata kitochi nilikuwa sina lol
kule migombani antenna zilikuwa hazishiki EATV..
Ni kweli aiseee
Form ngapi??? sema darasa la ngapi....
Inabidi. Unipe shkamoo
We mwanamke habari ya town?
Niini..... mekumiss dady ake charminglady
We mwanamke habari ya town?
nikuagizie? hapo kimara