Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
are u after war?
yes unachosema ni kweli..
natamani usiwe/nisiwe mchepuko..
lakini unabisha nini..wewe 2007 si ulikuwa una miaka 10?
Njoo huku migombani asituone!
umehamia wapi shemeji?
Hakuna u.pupu huko lol...hebu ngoja nijimuvuzishe huko chap chap
Halafu nina shida ya kiofis,tutaftane mwanawane!
karibu hadi ndani...
Ntaingiaje wakati umenifungia lol
Mambo nipoa,nani kakuficha lakini?
Mlango tayari u wazi kwa ajili yako bi mkubwa...fanya kuusukuma tu
Polisi kamata mwizi meen