Hezbollah imekataa mazungumzo yoyote na Israel wataka vita waache kuwaonea raia wa Gaza

Hezbollah imekataa mazungumzo yoyote na Israel wataka vita waache kuwaonea raia wa Gaza

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wamakumbi.

BREAKING:

🇱🇧🇮🇱 Hezbollah imekataa mazungumzo yoyote na Israel. Vita vya kiwango kamili ni hakika zaidi

Mjumbe Maalum wa Marekani, Amos Hochstein, anatangaza kwamba juhudi za kidiplomasia za kutuliza mivutano kati ya Israel na Hezbollah zimeshindwa rasmi, kwani Hezbollah inakataa kabisa mazungumzo yoyote.

Vyombo vya habari vya Israel pia vinatangaza kwamba 'Katika siku zilizopita, Israel imejaribu kwa kasi kusimamisha kuongezeka kwa Hezbollah na kuzuia vita. Lakini Hezbollah haipendezwi na kushuka kwa kasi'

View: https://x.com/megatron_ron/status/1803498321929232745?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Punde sii punde nao tutaaza kuwaona Al-jaazira wakilia na kutoa hesabu ya waliouawa na Israel.
Akili za mwarabu anazijua mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: I M
Wakipigwa Israel anaua watoto na wanawake
Siyo Gaza hiyo….

Hassan Nasrallah: Tulipata silaha mpya katika miezi hii, ambayo sitaifichua sasa.

Tulitengeneza baadhi ya silaha zetu na kutumia silaha mpya ambazo hatukuwa tumetumia hapo awali.

Tumepigana na sehemu ya silaha zetu hadi sasa. Kuna mengi zaidi, ambayo tutatumia tu wakati vita vitadai kuilinda Lebanon.

Tunatengeneza ndege zisizo na rubani sisi wenyewe na tuna idadi kubwa yao, na silaha zote ambazo zilipaswa kufika Lebanon zimefika.
- Ripoti ya Sasa
 
Hezbollah a.k.a Jeshi la Mungu hao ni wanaume na nusu hawatanii. Wanaitaka vita kwa hali na mali maana kama kipindi kile tu 2006 Israel alikula kichapo kikali itakuwaje sasahivi wame advance kiteknolojia.

Hezbollah amekuwa akiipiga Israel hasa miji ya kaskazini atakavyo hadi Israel amehamisha wakazi wake eneo la kaskazini maana hakuna kombora hata moja linalokosa target.
 
Kiongozi wa Hezbollah anasema wana silaha nyingi na za kisasa na hakuna silaha itakayorushwa kuelekea Israel ikakosa shabaha iliyokusudiwa.

Israel siyo mjinga amekuwa mpole kuingia kichwa kichwa virani na jeshi la Mungu (Hezbollah) maana moto wao hauzimwi kwa kitu chochote.
 
Siyo Gaza hiyo….

Hassan Nasrallah: Tulipata silaha mpya katika miezi hii, ambayo sitaifichua sasa.

Tulitengeneza baadhi ya silaha zetu na kutumia silaha mpya ambazo hatukuwa tumetumia hapo awali.

Tumepigana na sehemu ya silaha zetu hadi sasa. Kuna mengi zaidi, ambayo tutatumia tu wakati vita vitadai kuilinda Lebanon.

Tunatengeneza ndege zisizo na rubani sisi wenyewe na tuna idadi kubwa yao, na silaha zote ambazo zilipaswa kufika Lebanon zimefika.
- Ripoti ya Sasa
Kati ya hizo silaha zilizofika ni zile za kupiga na kuzamisha meli ndani ya bahari ya mediteranean.
 
Iran anamchezea Israel. Hapo Israel ikihamia Lebanon, Hamas wanajiimarisha ili aje kumsaidia Hezbollah. Mwisho wa siku atakaye umia na kutumia nguvu nyingi ni Israel.
Israel ilijiona kama simba nyikani kuwa kila mmoja anamuogopa.
Kumbe hata simba siku fisi wakimpatia vizuri wanamnyofoa nyofoa mpaka anaishiwa nguvu za kujitetea.
 
Back
Top Bottom