Hezbollah imekataa mazungumzo yoyote na Israel wataka vita waache kuwaonea raia wa Gaza

Hezbollah, Houthi.. all powerd by advanced weapons right now..

USA open a front in Ukraine
Russia is opening a front in middle East...

USA should stop this, it's meaningless
Hawa wapumbavu kama wapumbavu wengine tuuuu. Raisi kapanda Elcopter ya mwaka 1970. Ndio wakushindana na wanaozitengeneza izo Helcopter. Wakipasuka mnaaanza kuandamana dunia nzima apa
 
Hawa wapumbavu kama wapumbavu wengine tuuuu. Raisi kapanda Elcopter ya mwaka 1970. Ndio wakushindana na wanaozitengeneza izo Helcopter. Wakipasuka mnaaanza kuandamana dunia nzima apa
Kila mtu Kuna mahali yuko dhaifu kwenye maisha.. kiusalama hakuna mtu dunia hii ambaye yuko salama kabisa. Maadui zako wakifanyia kazi udhifu wako basi umeenda.
Iran imetengeneza taasisi imara ya urais, hata akiondoka yeyote hakuna mabadiliko makubwa..
Same as US..
 
Hizibolah piga hayo mashoga
 
Hawa wapumbavu kama wapumbavu wengine tuuuu. Raisi kapanda Elcopter ya mwaka 1970. Ndio wakushindana na wanaozitengeneza izo Helcopter. Wakipasuka mnaaanza kuandamana dunia nzima apa
nani kaandamana sasa
 
Wakaazi wa kaskazini ya usrhell wanataka kuregelea walipokimbizwa na hizbullah kule makwao wanalalamika hawana uhuru kuishi huko walipopelekwa ila usrahell hawawezi kuwaregesha
Tokea oktoba usrahell wanachapwa na hizbullah sasa unajiuliza idf inafanya kazi gani tokea mwaka jana
Wanachoweza kukifanya idf nikupambana na watoto pale ghaza na majengo tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…