Wewe ndiye Bendera fatal upepo maana umejitoa ufahamu kwa kutoona Ugaidi wa Hezbollah!!Waafrica sisi ni bendera fuata upepo. Yaani watu wanapigania maslahi ya Taifa lao na watu wao, sisi tunawaita magaidi kwa kufuata mkumbo wa Magharibi.
Wewe ndiye Bendera fatal upepo maana umejitoa ufahamu kwa kutoona Ugaidi wa Hezbollah!!Waafrica sisi ni bendera fuata upepo. Yaani watu wanapigania maslahi ya Taifa lao na watu wao, sisi tunawaita magaidi kwa kufuata mkumbo wa Magharibi.
Wewe ni mjinga sana Lebanon ipo na jeshi lake kama bile Palestina, Yemeni na Iraq ila kuna magenge yamewekwa na Irani tunayaita proxy war kama hao Hezibolaz hapo Lebanon, Hamas pale Palestina mouth Yemen ila hizo nchi zote zinayomajeshi yake ya kitaifaWaafrica sisi ni bendera fuata upepo. Yaani watu wanapigania maslahi ya Taifa lao na watu wao, sisi tunawaita magaidi kwa kufuata mkumbo wa Magharibi.
Sasa huwezi kujadili kitu bila kumuita mtu mjinga???? Anyway kwani Marekani ana proxy wangapi duniani au kunya anye kuku akinya Bata ameharisha.Wewe ni mjinga sana Lebanon ipo na jeshi lake kama bile Palestina, Yemeni na Iraq ila kuna magenge yamewekwa na Irani tunayaita proxy war kama hao Hezibolaz hapo Lebanon, Hamas pale Palestina mouth Yemen ila hizo nchi zote zinayomajeshi yake ya kitaifa
USSR
Nilifikiri unwataja hao prox mjinga mmoja wewe hata proxy nadhani hujui maana yakeSasa huwezi kujadili kitu bila kumuita mtu mjinga???? Anyway kwani Marekani ana proxy wangapi duniani au kunya anye kuku akinya Bata ameharisha.
Iwe ni proxy au sivyo iwe Lebanon ina Jeshi au haina jua tu kwamba hayo makundi ni kwa maslahi makubwa ya Mataifa yao.
Waafrica sisi ni bendera fuata upepo. Yaani watu wanapigania maslahi ya Taifa lao na watu wao, sisi tunawaita magaidi kwa kufuata mkumbo wa Magharibi.
Unaiga kunya kwa Tembo utapasuka Msamba!!Sasa huwezi kujadili kitu bila kumuita mtu mjinga???? Anyway kwani Marekani ana proxy wangapi duniani au kunya anye kuku akinya Bata ameharisha.
Iwe ni proxy au sivyo iwe Lebanon ina Jeshi au haina jua tu kwamba hayo makundi ni kwa maslahi makubwa ya Mataifa yao.
Unatapatapa kama mtu ana ugonjwa wa utapia mlioYesu akamwambia, “Waacheni wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”Luka 9;60
Hayo ni Maneno ya Bwana Yesu.
Magaidi wa Hezbollah wameanza kuzika mizoga yao baada ya kipondo cha Bint-Jbeil huko Lebanon kusini
View attachment 3577174
View attachment 3577175
View attachment 3577176
Unatapatapa kama mtu ana ugonjwa wa utapia mlio
View: https://youtube.com/shorts/eofCXSdiNLQ?si=GDlWNJmT3OEeHYyt