Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inalindwa na USA...Kihistoria kuna miungu mingi imejaribu sana kuifuta Israel, ikiwemo miungu ya Wafilisti, sasa huyu wa juzi wa Waarabu hana jipya atashindwa tu.
Ifahamike Israel wanalindwa, yaani jiwe ndogo la Daudi liliangusha jitu kubwa.
Haziwezi kuisha kwa sababu Marekani ndiyo shughuli zake hizo kugawa silaha kila sehemu, ili tu kuhakikisha dunia yote inatawaliwa na vita na machafuko ya kila aina.Hivi hawa israel hawaishiwi silaha+ wanajeshi? Maana tunaambiwa nchi ya israel inajumla ya watu 8m.
Serekali ya Lebanon haitaki kabisa kujihusisha na ugomvi wa Israel na Hezbollah, hao wanajeshi wa Lebanon wameondoka kuiachia Hezbollah huo msala, ngoja tuone kama Hezbollah itahimili vipigo vya IDFJeshi la lebanon limerudishwa mpakani,na magenerali wamesema whatever cost mipaka sharti ilindwe,lakini hizbullah walikua wakichukua nafasi zilizoachwa na jeshi
Kutokumpokea YESU KRISTO ndo chanzo cha machafuko na migogoro dunian hapa dini ya kiislamu ni dini ya kuzimu ndo maana ajenda zake zote ni za kuzimu kimizimu mizimu tuUkimaliza kuzika unazikwa
Mimi naomba kuwepo amani aiseee.
Vita sio nzuri
Kuna nyakati zinaashiriwa na vita hivi
Tuokoke tumuamini Yesu
Siku za mwisho hizi
Yaani ugomvi ulikuwa israel na palestina, sahv na hezbollah
8m +EU na USA.Hivi hawa israel hawaishiwi silaha+ wanajeshi? Maana tunaambiwa nchi ya israel inajumla ya watu 8m.
Waondoke kabisa kwanza wanajeshi wengi wa Lebanon ni wa KRISTO watakufa bure tu huo msala wawaachie HezbollahSerekali ya Lebanon haitaki kabisa kujihusisha na ugomvi wa Israel na Hezbollah, hao wanajeshi wa Lebanon wameondoka kuiachia Hezbollah huo msala, ngoja tuone kama Hezbollah itahimili vipigo vya IDF
Magaidi waache kujificha kwenye makazi ya watuWanaumia ni Watoto wasiojua hata maana ya vita ni nini
Nani kakwambia siku za mwisho,,, vita zipo tangu kuumbwa kwa dunia,,,,, na zitaendelea kuwepo to infinity…..Kuna nyakati zinaashiriwa na vita hivi
Tuokoke tumuamini Yesu
Siku za mwisho hizi
The Fifth Division of the Lebanese Army denied the news of the army withdrawing from its positions, confirms its steadfastness in all of them, and states that orders have been given to defend the south, whatever the sacrifices.Serekali ya Lebanon haitaki kabisa kujihusisha na ugomvi wa Israel na Hezbollah, hao wanajeshi wa Lebanon wameondoka kuiachia Hezbollah huo msala, ngoja tuone kama Hezbollah itahimili vipigo vya IDF
Kikubwa mbinu ndo maana wakipata target ya uhakika hawarembi wanamaliza kazi fastaHivi hawa israel hawaishiwi silaha+ wanajeshi? Maana tunaambiwa nchi ya israel inajumla ya watu 8m.
— ❗️🇷🇺 BREAKING: Putin rushes to the Kremlin for a sudden emergency meetinghongera sana idf...mambo yanazidi kuchemka vemaa