Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Asaidie vikundi kwa kigaidi kwa maslahi yapi? Fafanua kdgPutin aache kudeal na WA Ukraine aliowashindwa Kwa miaka 2 Sasa aende kusaidia vikundi vya kigaidi, Israel is a nuclear power Siyo kama Ukraine... Hiyo emergency ni Kwa aJili ya vita yake ya Ukraine😁 na si vinginevyo