Hezbollah wafanya shambulia la kuvizia kwenye jeshi la Israel mpakani. Sasa Firimbi ishapulizwa

Putin aache kudeal na WA Ukraine aliowashindwa Kwa miaka 2 Sasa aende kusaidia vikundi vya kigaidi, Israel is a nuclear power Siyo kama Ukraine... Hiyo emergency ni Kwa aJili ya vita yake ya Ukraine😁 na si vinginevyo
Asaidie vikundi kwa kigaidi kwa maslahi yapi? Fafanua kdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…