Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Yani walimpelekea moto huko huko handakini?hakuwa wazi bali alifichwa sana . Hassan alikuwa anaishi katika mahandaki urefu wa minazi ya kiarabu. siku hiyo ya ijumaa ilikuwa tarehe yake ya kuzaliwa alikuwa antimiza miaka sitini na nne. Zainab ambaye ni mtoto wake hassan wa kike aliuwawa pia humo humo handakini akipeleka birthday keki.