Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Kobaz bwana sijui wamerogwa na naniHivi karibuni Hezbollah wameonyesha silaha zao wanazotumia kumchapa nazo Isael daily. Miongoni mwa operations ambazo hezbollah wamefanya katika siku hizi za karibuni ni kulipua assets za kijasusi, yaani mitambo ya kijasusi ya kuchunguza anga la Syria, Iraq hadi uturuki.
Hezbollah wanatumia missiles ambazo zenyewe zinaitafuta target na kuipiga. Waktai missile hiyo ikitafuta target inakuwa inachukua picha inazotuma kwa mtu aliyeituma ili aweze kufuatilia performance.
Wakati huohuo Hezbollah wanasema kuwa wanawachapa waisrael kisawasawa ila Israel inaficha wahanga wake. Hapa chini ni video ikionyesha operesheni ya Hezbollah.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ShQKw3jrZts&ab_channel=TheElectronicIntifada
Mmmmmh hawa jamaa!Hivi karibuni Hezbollah wameonyesha silaha zao wanazotumia kumchapa nazo Isael daily. Miongoni mwa operations ambazo hezbollah wamefanya katika siku hizi za karibuni ni kulipua assets za kijasusi, yaani mitambo ya kijasusi ya kuchunguza anga la Syria, Iraq hadi uturuki.
Hezbollah wanatumia missiles ambazo zenyewe zinaitafuta target na kuipiga. Waktai missile hiyo ikitafuta target inakuwa inachukua picha inazotuma kwa mtu aliyeituma ili aweze kufuatilia performance.
Wakati huohuo Hezbollah wanasema kuwa wanawachapa waisrael kisawasawa ila Israel inaficha wahanga wake. Hapa chini ni video ikionyesha operesheni ya Hezbollah.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ShQKw3jrZts&ab_channel=TheElectronicIntifada
Jamaa wako vizuri
Mudy na bikira 72π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Kobaz bwana sijui wamerogwa na nani
Wamerogwa na nyie mnaopeana baraka ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£ Kobaz bwana sijui wamerogwa na nani
Papa na kubarikianaMudy na bikira 72