Hezbollah wazidi kusonga mbali na mpaka wa Israel, licha ya makelele yote yale

Nakhbaliana na wewe . Hata yule aliyewahi kuwa Rais wa Iran , aliyewahi kutoa kauli ya kuifuta Israel inasemekana alikuwa myahudi kwa asili yake, uchaguzi uliopita alizuiliwa kugombea japo ana wafuasi wengi .
 
Wameshaona kukaa mpakani haisaidii, Israel inatuma drone popote walipo magaidi na inawaulia hukohuko.
Israel ana askari kiasi gani mpakani na Lebanon?.. hizbullah walienda mpakani kuzuwia jeshi la Israel lisiende kamata magaidi Lebanon!?..we mbona unafikiri kipunguani!?
 
Nakhbaliana na wewe . Hata yule aliyewahi kuwa Rais wa Iran , aliyewahi kutoa kauli ya kuifuta Israel inasemekana alikuwa myahudi kwa asili yake, uchaguzi uliopita alizuiliwa kugombea japo ana wafuasi wengi .
Wayahudi wa iran wanatambulika kama Mizrahi. Hutosikia katika maisha yako mpk unakufa kuwa Iran au lebanon inapigana na Israel.
 
Nakhbaliana na wewe . Hata yule aliyewahi kuwa Rais wa Iran , aliyewahi kutoa kauli ya kuifuta Israel inasemekana alikuwa myahudi kwa asili yake, uchaguzi uliopita alizuiliwa kugombea japo ana wafuasi wengi .
Uchaguzi ulopita alizuiwa kwa sababu gani?
 
Amini unachotaka kuamini
Tunabishana kwa hoja sio maneno matupu unayotaka tumeze bila kuhoji

Isil wanaotaka sharia ndio hawa walokua wanaripua watu miskitini au kuna aina tofauti za isil

Isil wanaotaka sharia ndio hawa walioripua watu jana sijui juzi wakiwa hawana hata manati

Sasa sharia gani wanayoipigania isil wakati sharia moja inapingana kuuana waislam kwa waislam kama wanavyoua watu misikitini hao isil

Pia sharia inakataza kuua watu bila sababu kama walivyoua watu huko iran jana kwenye kumbukumbu

Sasa utueleze isil wanapigania sharia gani ambayo unaiongelea wewe

Juu huko ulisema Lebanon hawawezi kupigana na israhell inawezekana ikawa ukweli ila sio sababu mashia Lebanon wengi wakristo sio mashia

Shia ni hao Hizbullah ambao nao uliowalenga na tayar mwaka 2006 walipigana au ulitaka kutwambia nini labda ndugu mtoa hoja

Mwisho isil hawaipiganii sharia yeyote labda utueleze wanaipigania sharia gani unayoisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…