Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Israel inapoteza muda na rasilimali kufuata sheria za vita dhidi ya magaidi wasiofuata sheria za vita.
 
π‘²π’Šπ’π’Šπ’„π’‰π’π’•π’π’Œπ’†π’‚ π’Žπ’‚π’š π’–π’π’Šπ’Œπ’–π’‚ 𝒃𝒂𝒅𝒐 π’–π’Œπ’ π’Œπ’˜π’†π’π’šπ’† π’›π’Šπ’‘π’–?
 
Sawa we baki na bibilia ya Paulo hao walilaniwa na Mungu.mnao waita taifa teule.

Iran ana kwenda piga Haifa na Tela Aviv kesho naona bora iwe tarehe 14/8 we tega sikio tu, America kamtisha eti atamshambulia Iran. Hakutishika Iran kamwambia kipigo cha mbwa koko kinamsubiri Israel.
 
Nini rockets 50 wenzao walisharusha rockets mpaka 7000 .
 
Jamaa alivyoona tu makombora Basi
Hukuaangalia Iron Dome ilivyokuwa inayaharibu juu kwa juu
Israel wenyewe wamesema rockets 60 only 15 were intercepted.
Hivi unajua kama Galilaya raia wa Israel wote wamekimbia na kuhamia Central Israel!?
Kama ingekuwa hayaleti athari basi raia wasingekimbia Mathalan raia wa Russia pale Crimea.
Ukraine anarusha kombora na drone daily ila raia hawana wasiwasi.
 
Nanukuu:
"Marekani nayo tayari imetoa taarifa Kwa wananchi wake waliopo Lebanon kuondoka mara moja ndani ya nchi hiyo.
Na pia iran IMESEMA itaishambulia Israel leo usiku Kwa mashambulizi makali ambayo yataacha historia".

Wooy! Oiyeyai. Hezbollah nae imeamua kuipita njia aliyopita HAMAS. Naionea huruma sana Lebanon kwa kile kitakachojiri kwake.
Iran ndo wanasubiriwa kwa hamu kubwa sana kwani hao ndo hasa "Target" kwani Iran ndo wanaoyafadhili makundi ya kigaidi HAMAS na Hezbollah. Huyo baba lao akishatenguliwa kiuno; magaidi watasalimu amri chap na game litakuwa limeisha.
 
Hiyo labda ndio siku uliyokatwa linda
 
Gaidi mkubwa ni USA na Israel.
Chanzo cha hayo makundi kuundwa ni kupinga uingiliaji wa USA na Israel kwenye mataifa ya watu.
USA abaki kwake na Israel aache kuvamia ardhi za watu halafu uone kama hayo makundi yatakuwepo.
Lebanon Hizbollah sio sawa na Hamas.
Hizbollah wana uwezo wa kijeshi wa kulingana na Israel,kama itakavyochakaa Lebanon basi ndio sawa na itakavyochakaa Israel.
Iran mfupa mgumu msitegemee,nchi iliwahi kuhimili vita ya miaka nane we iache tu sio size yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…