Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Israel inapoteza muda na rasilimali kufuata sheria za vita dhidi ya magaidi wasiofuata sheria za vita.
 
Thuuubutrruuuuuuuu...........unafikiri Israel kama uganda eehhh..........kaa kwa kutulia kama unapimwa tezi dume............hakuna hata mmoja atakaye thubutu kurusha kijikombola kikapige tel aviv .........hapo ndio ujue wajukuu wa yacob ni namba nyingine.......na inasemekana yuda alikuwa ni muiran ndio maana wanasalitiwa kira kukicha.......wameanza kujikamata wao kwa wao eti kuna mashudu yanauza ramani ya vita.......na bado mpka muite mmaaaa
𝑲𝒊𝒍𝒊𝒄𝒉𝒐𝒕𝒐𝒌𝒆𝒂 𝒎𝒂𝒚 𝒖𝒍𝒊𝒌𝒖𝒂 𝒃𝒂𝒅𝒐 𝒖𝒌𝒐 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒛𝒊𝒑𝒖?
 
Sawa we baki na bibilia ya Paulo hao walilaniwa na Mungu.mnao waita taifa teule.

Iran ana kwenda piga Haifa na Tela Aviv kesho naona bora iwe tarehe 14/8 we tega sikio tu, America kamtisha eti atamshambulia Iran. Hakutishika Iran kamwambia kipigo cha mbwa koko kinamsubiri Israel.
 
Nini rockets 50 wenzao walisharusha rockets mpaka 7000 .
 
Jamaa alivyoona tu makombora Basi
Hukuaangalia Iron Dome ilivyokuwa inayaharibu juu kwa juu
Israel wenyewe wamesema rockets 60 only 15 were intercepted.
Hivi unajua kama Galilaya raia wa Israel wote wamekimbia na kuhamia Central Israel!?
Kama ingekuwa hayaleti athari basi raia wasingekimbia Mathalan raia wa Russia pale Crimea.
Ukraine anarusha kombora na drone daily ila raia hawana wasiwasi.
 
Hezbollah kutoka Lebanon imeishambulia Israel Jana usiku Kwa makombora takribani 50 apo Jana usiku.

Hezbollah IMESEMA kwamba imeishambulia Israel Kwa makombora apo Jana usiku huku ikidaiwq kuwa uenda ikaendelea KUISHAMBULIA zaidi Israel kama kulipa kisasi Kwa kuuliwa Kwa kiongozi wao apo juzi na Israel.

Hali ni mbaya Huko Israel kwani makombora hayo ya Hezbollah japo mengi yaliangushwa na mfumo wa iron dome wa Israel ILa Kuna mengine yameleta madhara zaidi.

Marekani nayo tayari imetoa taarifa Kwa wananchi wake waliopo Lebanon kuondoka mara moja ndani ya nchi hiyo.
Na pia iran IMESEMA itaishambulia Israel leo usiku Kwa mashambulizi makali ambayo yataacha historia.
Nanukuu:
"Marekani nayo tayari imetoa taarifa Kwa wananchi wake waliopo Lebanon kuondoka mara moja ndani ya nchi hiyo.
Na pia iran IMESEMA itaishambulia Israel leo usiku Kwa mashambulizi makali ambayo yataacha historia".

Wooy! Oiyeyai. Hezbollah nae imeamua kuipita njia aliyopita HAMAS. Naionea huruma sana Lebanon kwa kile kitakachojiri kwake.
Iran ndo wanasubiriwa kwa hamu kubwa sana kwani hao ndo hasa "Target" kwani Iran ndo wanaoyafadhili makundi ya kigaidi HAMAS na Hezbollah. Huyo baba lao akishatenguliwa kiuno; magaidi watasalimu amri chap na game litakuwa limeisha.
 
𝑲𝒊𝒍𝒊𝒄𝒉𝒐𝒕𝒐𝒌𝒆𝒂 𝒎𝒂𝒚 𝒖𝒍𝒊𝒌𝒖𝒂 𝒃𝒂𝒅𝒐 𝒖𝒌𝒐 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒛𝒊𝒑𝒖?
Hiyo labda ndio siku uliyokatwa linda
 
Nanukuu:
"Marekani nayo tayari imetoa taarifa Kwa wananchi wake waliopo Lebanon kuondoka mara moja ndani ya nchi hiyo.
Na pia iran IMESEMA itaishambulia Israel leo usiku Kwa mashambulizi makali ambayo yataacha historia".

Wooy! Oiyeyai. Hezbollah nae imeamua kuipita njia aliyopita HAMAS. Naionea huruma sana Lebanon kwa kile kitakachojiri kwake.
Iran ndo wanasubiriwa kwa hamu kubwa sana kwani hao ndo hasa "Target" kwani Iran ndo wanaoyafadhili makundi ya kigaidi HAMAS na Hezbollah. Huyo baba lao akishatenguliwa kiuno; magaidi watasalimu amri chap na game litakuwa limeisha.
Gaidi mkubwa ni USA na Israel.
Chanzo cha hayo makundi kuundwa ni kupinga uingiliaji wa USA na Israel kwenye mataifa ya watu.
USA abaki kwake na Israel aache kuvamia ardhi za watu halafu uone kama hayo makundi yatakuwepo.
Lebanon Hizbollah sio sawa na Hamas.
Hizbollah wana uwezo wa kijeshi wa kulingana na Israel,kama itakavyochakaa Lebanon basi ndio sawa na itakavyochakaa Israel.
Iran mfupa mgumu msitegemee,nchi iliwahi kuhimili vita ya miaka nane we iache tu sio size yako.
 
Back
Top Bottom